Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 196
- 404
Unajua kuzitafuta pesaNiliwai kwenda kula mgahawani sasa nikaja na samaki wakubwa nikagiza milinda nyeuc ugali nikachukua wa bei ya juu mwingi najaziwa pale ndani kuliko na waha wana kopesha vitu kama watatu wana ongea kiluga tu, iyo siku nikicho kula hakutoki, yani spati haja ndogo wala kubwa nina six-pack ila nikawa kama na kiriba tumbo nikafanya mazoez ili nipate haja wapi siamin ktk maombi ila usku nikamtafuta mama alipo nikamuelezea akaanza kuomba ndo usku sana nikaanza kupata choo.
Katika kuadisi watu, kuna mtu nae alisema walienda kwao mkoani kipindi yupo kama form three akanunua karanga kula njiani kuna mzee akamuangalia sana kuna karanga kama ikampalia iv, aliumwa sana kwenda hospital wap ndo wakaenda kwa bibi yao uko wakampa dawa za asili meza akalala pale kesho yake akatapika sana wakamwia usile vitu njiani.
DuhKaskazini wanaita zongo. Huku hata ndizi ya 200 mtu anakupiga nayo zongo kudadeki, utafurahia hayo maswaibu.
Dawa magadi.. loweka unywe.. usubiri kutapika unapona
Ila wanasema mwingine unakuta macho yake yana zongo ila ye mwenyewe hajui..
Nimependa tu jinsi unavyoandika. Mpaka raha kusoma yaani dah!Niliwai kwenda kula mgahawani sasa nikaja na samaki wakubwa nikagiza milinda nyeuc ugali nikachukua wa bei ya juu mwingi najaziwa pale ndani kuliko na waha wana kopesha vitu kama watatu wana ongea kiluga tu, iyo siku nikicho kula hakutoki, yani spati haja ndogo wala kubwa nina six-pack ila nikawa kama na kiriba tumbo nikafanya mazoez ili nipate haja wapi siamin ktk maombi ila usku nikamtafuta mama alipo nikamuelezea akaanza kuomba ndo usku sana nikaanza kupata choo.
Katika kuadisi watu, kuna mtu nae alisema walienda kwao mkoani kipindi yupo kama form three akanunua karanga kula njiani kuna mzee akamuangalia sana kuna karanga kama ikampalia iv, aliumwa sana kwenda hospital wap ndo wakaenda kwa bibi yao uko wakampa dawa za asili meza akalala pale kesho yake akatapika sana wakamwambia usile vitu njiani.
Kweli kabisa ni zongo hilo au Evil eye ni baya kuliko uchawiKaskazini wanaita zongo. Huku hata ndizi ya 200 mtu anakupiga nayo zongo kudadeki, utafurahia hayo maswaibu.
Dawa magadi.. loweka unywe.. usubiri kutapika unapona
Ila wanasema mwingine unakuta macho yake yana zongo ila ye mwenyewe hajui..
AiseeKaskazini wanaita zongo. Huku hata ndizi ya 200 mtu anakupiga nayo zongo kudadeki, utafurahia hayo maswaibu.
Dawa magadi.. loweka unywe.. usubiri kutapika unapona
Ila wanasema mwingine unakuta macho yake yana zongo ila ye mwenyewe hajui..
Hiyo ni zongo. Mambo hayo yapo sana Tanga, Mara na Kigoma.Niliwai kwenda kula mgahawani sasa nikaja na samaki wakubwa nikagiza milinda nyeuc ugali nikachukua wa bei ya juu mwingi najaziwa pale ndani kuliko na waha wana kopesha vitu kama watatu wana ongea kiluga tu, iyo siku nikicho kula hakutoki, yani spati haja ndogo wala kubwa nina six-pack ila nikawa kama na kiriba tumbo nikafanya mazoez ili nipate haja wapi siamin ktk maombi ila usku nikamtafuta mama alipo nikamuelezea akaanza kuomba ndo usku sana nikaanza kupata choo.
Katika kuadisi watu, kuna mtu nae alisema walienda kwao mkoani kipindi yupo kama form three akanunua karanga kula njiani kuna mzee akamuangalia sana kuna karanga kama ikampalia iv, aliumwa sana kwenda hospital wap ndo wakaenda kwa bibi yao uko wakampa dawa za asili meza akalala pale kesho yake akatapika sana wakamwambia usile vitu njiani.
We ni mlokole if yes jitafakari mienendi yakoNaomba msaada..... Mtu anapoitwa na watu eidha anaowajua au asiowajua kuwa ni mshirikina.... Lakini hata kwa mganga hajawahi kwenda... Hajui mambo ya uchawi/ ulozi / ushirikina.... Maana yake hasa hapa ni ipi??