Uchawi wa kutumia dekio

Yaani membe bado hajalipwa bil. 9 yake tena kumbe kuna uchawi wa dekio. Hii nchi ina matukio back to back yaani hatupumziki.
 
chukua chura mzima mshonee kwenye kitambaa cheusi kama hirizi kisha weka mlangoni kwake.kisha leta mrejesho hapa
 
Unagombana na mpangaji mwenzio kwann ? Mm huwa hata siongeagi nao zaid
 
HAMA .
 
Liloweke kwenye chumvi ya mawe asubuhi mtupie ndani kwake dekio lote,tafuta lingine.
 
Wewe mtegee akipita sehemu nenda kachukue mchanga aliokanyaga na aone kuwa umechukua halafu zunguka nyuma ya nyumba kautupe.mtie jamba jamba kama alivyokujambisha wewe na kipande cha tambala la deki
 
Hakuna uchawi tena hapo, hawezi kukudhuru tena! Kila kitu kiliharibika alipoonwa
 
Ebu mchawi wetu mkuu Mshana Jr njoo umsaidie huyu Aunt Cash
 
Mvizie vizie chota unyayo.
Alf tuone atachukua uamuzi gani😁😁
 
Ma mdogo huyo anaenda kukuloga njoo PM haraka sana unipe namba zako tufanye tambiko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…