Uchawi wa kutumia dekio

Jitahidi ujenge hata vyumba viwili, au tafuta nyumba nyingine, magomvi sio mazuri, watu wanauwawa siku hizi, anaweza kuwawekeeni sumu kwa taadhali tu.
 
Chukua mkaa uufunge tambaa jeusi nawe kalirushe mlangoni kwake akiwa anaona. Hii ni michezo ya kisaikolojia tu. Mshirikina ataogopa ushirikina
 
MKABIDHI YESU KRISTO WA NAZARETH AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO...

Kila kitu KUTAKUA sawa mkuu usiogope mkaribishe YESU KRISTO WA NAZARETH KUA NI BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO.......
 
Acha uoga mkuu labda deki yake imeharibika mkaushie au km vp mpe dekio lote
 
Nashangaa anachelewa nini na yeye akanunue nazi nyekundu achore maandishi yoyote yasiyoweza kusomeka kisha avunje mbele yake huku akisema kama alivyochana tambaa na mimi namvunja viungo🤪😬😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Watu wengi wanajifanya uchawi haupo, uchawi upo ni ushirika wa mwanadamu na roho za giza. Kama kweli wewe sio mchokozi katika ugomvi huo basi ujue kwamba unadili na mshirikina au mchawi kabisa.

Hivyo kuwa makini na kwangu ningekushauri uwe imara na imani yako kwa Mungu. Kama umemkosea basi mwombe msamaha. Kisha kaa katika ulinzi wa Yesu Kristo utakuwa salama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…