Haya bi mkubwaNdio mkuu
Dah kuna zingine pini kk, vp kama hawajafunga ndoa yaani jamaa nae anakula kiselaKuacha michepuko tu basi hasa wake za watu
Naona sasa hivi ndio unaamka. Asante kwa kufuata ushauri wangu.= glory
Haya maujinga ya kubadili R na L kumbe mpaka katika Kingereza mnayafanya? Aibu.
Hakika mlisomea ujinga.
Hapana badala ya kwenda huko nenda NECTA utafanyiwa utaratibu wa kupata duplicateDaah mkuu mi juzijuzi nlipotelewa na cheti cha form four na chuoni wakawa wanakihitaji, so nlikaa nkawazaaa bs nkataka niende kwa mganga wa kienyeji ili ajaribu kukilocate kilipo, sijui ingewezekana?
nilisha kwenda necta na nikafanikiwa lakn nahtaj kujuwa vp waganga wangeweza kulocate cheti changu kilipo?Hapana badala ya kwenda huko nenda NECTA utafanyiwa utaratibu wa kupata duplicate
Yesu anahusu nini na mada hii hivi shuleni ulisomea ujinga?= maluuni
Hiyo maana yake ni aliyefanywa laana. Sasa mimi na Yesu ni nani alifanywa laana kwa mujibu wa imani ya Kikristo?