Uchawi: Nguvu ya uchawi na uwezo wa kuloga, jua kwanini unalogwa na kuchezewa

Soma neno la Mungu kwa bidii zaidi.
Utajua unamshinda vipi mchawi.

Utoaji wa Sadaka kanisani haukukingi na roho za kichawi.
Kaka anachokisema kina ukweli ingawa sijajua ana experience gani lakini kwa nijuavyo mimi zaka na sadaka ni ulinzi kwa mali ya muumini yoyote na njia moja ambayo wachawi hutumia ili kuweza kuwaibia wakristo wengi fedha zao ni kuwafanya wasirudishe zaka na sadaka kwa kueneza maneno yasiyo na maana kama hiyo zaka yako au sadaka yako anakula mtu kama wewe, ili wapate upenyo wa kuwaibia kichawi maana fedha ambayo haikutolewa zaka na sadaka haina ulinzi wa kiMungu kwa hiyo adui yoyote anakuwa na mamlaka nayo.

Na watu wengi hawajui kwamba hata wachawi hutoa zaka na sadaka kwenye madhabahu zao tena kubwa kuliko za wakristo wengi, Maana zaka katika uchawi ni 6/10 badala ya 1/10 tunayorudisha kanisani, na sadaka huwa wanatoa sadaka nono sana kuliko wanaojiita waamini wa leo, jamani wachawi hufunga ndugu ili wawashinde wakristo, lakini leo utakuta hata hiyo moja ya kumi ina miaka zaidi ya mitano haijalipwa, halafu ukutane na mwenzako anatoa kwa uaminifu kila akipata, halafu umshinde kirahisi no way. Sema kinachotulinda sana ni neema tunayopata kwa damu ya Yesu maana yeye alikuwa na asili ya uungu na akajitoa kwa ajili yetu kwa hiyo hata tunapokuwa wakati mwingine hatuwezi yeye hutuwezesha kwa neema tu kwa nguvu zake bila kustahili huo upendeleo, lakini uchawini hakuna anayekufa kwa ajili ya mwingine mjomba , ni sadaka yako nono ndio inakuokoa, maana falme katika ulimwengu wa kiroho zimeimarisha kwa damu, ndio maana ufalme wa nuru una nguvu kubwa kwa sababu aliyemwaga damu kwa ajili ya wanadamu alikuwa sawa na Mungu ila upande wa pili hakuna anayejitoa kwa ajili ya mwingine , kila mtu anamuwinda mwenzake amwage damu yake ndio aongeze credit, na nguvu zake na ndio maana hujikuta wanalazimika kutoa vingi zaidi either ndugu zao wa karibu, wazazi na damu zao wenyewe ili kujilinda na nguvu ya maombi, maana kadiri sadaka yako inavyokuwa nono ndivyo unaxidi kupanda rank ya kichawi.

Lakini ndugu zangu wa neema hata hiyo 1/10 hatutoi,na hatupo upande wa pili (giza), unafikiri unaanzaje kupona shambulizi la kiroho
Sijui niwaambie kwa maneno gani labda mnielewe lakini ukweli wana wa giza ni waaminifu, kuliko wale wa nuruni katika Mambo yao ya giza.
 
Na kingine wachawi wana mbinu nyingi kushinda wana wa nuruni, wachawi wanafunga kila baada ya miezi mitatu wanatoa zaka na sadaka nono ya nafsi za watu ili kupanda cheo zaidi na kuongeza nguvu zao, lakini kuna watu leo wanajiita waaumini wa kweli lakini matumbo hayajawahi kuingia baridi toka January mpaka December halafu unakutana na huyu na yeye anataka kumshinda adui yake shetani
 
Kaka anachokisema kina ukweli ingawa sijajua ana experience gani lakini kwa nijuavyo mimi zaka na sadaka ni ulinzi kwa mali ya muumini yoyote na njia moja ambayo wachawi hutumia ili kuweza kuwaibia wakristo wengi fedha zao ni kuwafanya wasirudishe zaka na sadaka kwa kueneza maneno yasiyo na maana kama hiyo zaka yako au sadaka yako anakula mtu kama wewe, ili wapate upenyo wa kuwaibia kichawi maana fedha ambayo haikutolewa zaka na sadaka haina ulinzi wa kiMungu kwa hiyo adui yoyote anakuwa na mamlaka nayo.

Na watu wengi hawajui kwamba hata wachawi hutoa zaka na sadaka kwenye madhabahu zao tena kubwa kuliko za wakristo wengi, Maana zaka katika uchawi ni 6/10 badala ya 1/10 tunayorudisha kanisani, na sadaka huwa wanatoa sadaka nono sana kuliko wanaojiita waamini wa leo, jamani wachawi hufunga ndugu ili wawashinde wakristo, lakini leo utakuta hata hiyo moja ya kumi ina miaka zaidi ya mitano haijalipwa, halafu ukutane na mwenzako anatoa kwa uaminifu kila akipata, halafu umshinde kirahisi no way. Sema kinachotulinda sana ni neema tunayopata kwa damu ya Yesu maana yeye alikuwa na asili ya uungu na akajitoa kwa ajili yetu kwa hiyo hata tunapokuwa wakati mwingine hatuwezi yeye hutuwezesha kwa neema tu kwa nguvu zake bila kustahili huo upendeleo, lakini uchawini hakuna anayekufa kwa ajili ya mwingine mjomba , ni sadaka yako nono ndio inakuokoa, maana falme katika ulimwengu wa kiroho zimeimarisha kwa damu, ndio maana ufalme wa nuru una nguvu kubwa kwa sababu aliyemwaga damu kwa ajili ya wanadamu alikuwa sawa na Mungu ila upande wa pili hakuna anayejitoa kwa ajili ya mwingine , kila mtu anamuwinda mwenzake amwage damu yake ndio aongeze credit, na nguvu zake na ndio maana hujikuta wanalazimika kutoa vingi zaidi either ndugu zao wa karibu, wazazi na damu zao wenyewe ili kujilinda na nguvu ya maombi, maana kadiri sadaka yako inavyokuwa nono ndivyo unaxidi kupanda rank ya kichawi.

Lakini ndugu zangu wa neema hata hiyo 1/10 hatutoi,na hatupo upande wa pili (giza), unafikiri unaanzaje kupona shambulizi la kiroho
Sijui niwaambie kwa maneno gani labda mnielewe lakini ukweli wana wa giza ni waaminifu, kuliko wale wa nuruni katika Mambo yao ya giza.
Hongera sama mpendwa, Naona unafahamu habari Za Neema tuliyopewa na Bwana wetu Yesu kristo.
Zidi Kusoma neno la Mungu, uko vizur ..

Ulinzi unaotokana na Kumtolea Mungu Zaka kweli upo, Lakini kama Huna Roho mtakatifu, adui atatumia udhaifu huo kuteketeza Mali zako.

Lakini Unapokua na Roho wa Mungu, Hata kama hutoi zaka, Mwovu hana kibali cha kugusa hata sh. 50 yakwako.
 
Na kama kweli una roho wa Mungu lazima akuelekeze tu katika kumheshimu Mungu kwa kila kitu ikiwemo mali na fedha zako, sema wengi tuna mioyo ya choyo kwa tunayemtumikia , na ni kwasababu Mungu wetu anarehema na anatusamehe sana na kutulinda pamoja na choyo zetu lakini hii haimanishi tupo salama sana kwa kula zaka ya Mungu, maana neema imefunuliwa kwetu ili kutufundisha kukataa ubaya wa kila namna, sio kichaka cha kuficha choyo na tamaa zetu kwa vitu tulivyoazimwa(mali za duniani) na muumbaji vitumike kwa kazi yake na kwa manufaa yetu.

Laiti tungeona jinsi wale wa upande wa pili wanavyotoa sadaka zao kwa kicho na kujipendekeza ili kumfurahisha master wao, na wao hawatoi vitu kama fedha na mali zingine bali huenda mbali zaidi kwa kutoa nafsi za wanadamu wenzao ikiwemo watoto wao wa kuzaa ndugu zao wa karibu, wazazi wao tena kwa lazima,hutaki kutoa unatolewa wewe mwenyewe, labda ndio tungejifunza kuwa kumbe Mungu wetu anahuruma sana maana anatuomba kwa kusihi na kubembeleza tumtolee vitu tu na muda wetu wala sio uhai wa wale tuwapendao, hii ni kuonesha jinsi anavyojali na kuguswa na maisha ya wanadamu aliowaumba lakini still bado mtu anaona kama anamnufaisha sana, Ndugu Mungu hana shida sana na fedha zetu kinachopimwa ni nia ya utayari wa moyo kwa kutimiza matakwa yake, ni sawa na wewe unapomnunulia mwanao karanga ukampa halafu ukamuomba tena ki uhalisia unakuwa huna shida sana na karanga ili kuna kitu unapima maana kama ungekuwa na shida nayo sana ungenunua hata box zima uweke chumbani kwako ukawa unakula taratibu .
vitu vingine huwa vinachekesha ila basi tu laiti ungejua wenzako wanatakiwa kumwaga damu za watu kiasi gani kwa lazima ili kujilinda, lakini wewe hujui hata jinsi unavyolindwa ungeona walivyokuwinda Mungu akakutetea ungetoa kwa uaminifu wote sema mambo haya tumefichwa tusione kinachoendelea upande wa pili, lakini ungeona watu jinsi ambavyo usiku hawalali wanawinda roho za wenzao ili tu watajirike na kuongeza nguvu zao ungemheshimu sana Mungu kwa ulinzi wake maana idadi ya watu wanaokuwa tu kwa usiku mmoja, basi tu ngoja nisiseme maana kuna mtu atabisha lakini kwa wanaojua wanaelewa nachozungumza, maana vifo vya kichawi usiku huanzia saa sita na nusu na kuendelea mpaka alfajiri maana saa 00:00 ndipo wale majemedari wa sheol hufungua zamu ya mauaji mpaka saa 00:30 na baada ya hapa ndio wazee wa shughuli (wachawi) wanakuwa wamesharuhusiwa kukufanya chochote kama huna ulinzi ndio tumekupoteza(sio mada ya leo lakini ) ila tu najaribu kukuonesha ni jinsi gani wenzetu wanavyojitoa kwa mungu wao ili wabarikiwe ila wakristo duu, ni huzuni, sijui isingekuwepo neema ingekuwaje, Ila asingetoboa hata mmoja kwa ulegevu ninaouona kwa wengi wetu, na kuzimu ingekuwa imeshatutawala mapema sana, basi tu ashukuliwe Mungu aliliona hili tukaletewa neema, halafu mbaya zaidi neema ipo ila kuna watu wanaitumia vibaya na mbaya sana kuna ambao hawaiamini sasa sijajua hawa usalama wao huwa inakuwaje, ila anyway Mungu hutulinda tu sote ila ipo tofauti ya ulinzi kati ya anayemjua na mwingine asiye na elimu kumhusu.

Source: Elimu changa

#
Zakuambiwachanganyanazako
 
mmmh
 
Haya mambo yanakuwa exaggerated Sana Africa, sababu kuna wengine ndiyo source ya mKate wao wakila siku kutisha kutisha watu sijui hivi sijui vile ,vitu vya kufikirika tu si wachungaji fake si wanajimu .WITO WANGU KAMA MZAZI epuka kusimulia au kujenga imani ya mambo yanayo husiana Na imani hizi kwa watoto wako wafundishe kumjua Mungu na kuyashika maagizo yake (KUMB 6 -7)
 
Na kama kweli una roho wa Mungu lazima akuelekeze tu katika kumheshimu Mungu kwa kila kitu ikiwemo mali na fedha zako, sema wengi tuna mioyo ya choyo kwa tunayemtumikia , na ni kwasababu Mungu wetu anarehema na anatusamehe sana na kutulinda pamoja na choyo zetu lakini hii haimanishi tupo salama sana kwa kula zaka ya Mungu, maana neema imefunuliwa kwetu ili kutufundisha kukataa ubaya wa kila namna, sio kichaka cha kuficha choyo na tamaa zetu kwa vitu tulivyoazimwa(mali za duniani) na muumbaji vitumike kwa kazi yake na kwa manufaa yetu.

Laiti tungeona jinsi wale wa upande wa pili wanavyotoa sadaka zao kwa kicho na kujipendekeza ili kumfurahisha master wao, na wao hawatoi vitu kama fedha na mali zingine bali huenda mbali zaidi kwa kutoa nafsi za wanadamu wenzao ikiwemo watoto wao wa kuzaa ndugu zao wa karibu, wazazi wao tena kwa lazima,hutaki kutoa unatolewa wewe mwenyewe, labda ndio tungejifunza kuwa kumbe Mungu wetu anahuruma sana maana anatuomba kwa kusihi na kubembeleza tumtolee vitu tu na muda wetu wala sio uhai wa wale tuwapendao, hii ni kuonesha jinsi anavyojali na kuguswa na maisha ya wanadamu aliowaumba lakini still bado mtu anaona kama anamnufaisha sana, Ndugu Mungu hana shida sana na fedha zetu kinachopimwa ni nia ya utayari wa moyo kwa kutimiza matakwa yake, ni sawa na wewe unapomnunulia mwanao karanga ukampa halafu ukamuomba tena ki uhalisia unakuwa huna shida sana na karanga ili kuna kitu unapima maana kama ungekuwa na shida nayo sana ungenunua hata box zima uweke chumbani kwako ukawa unakula taratibu .
vitu vingine huwa vinachekesha ila basi tu laiti ungejua wenzako wanatakiwa kumwaga damu za watu kiasi gani kwa lazima ili kujilinda, lakini wewe hujui hata jinsi unavyolindwa ungeona walivyokuwinda Mungu akakutetea ungetoa kwa uaminifu wote sema mambo haya tumefichwa tusione kinachoendelea upande wa pili, lakini ungeona watu jinsi ambavyo usiku hawalali wanawinda roho za wenzao ili tu watajirike na kuongeza nguvu zao ungemheshimu sana Mungu kwa ulinzi wake maana idadi ya watu wanaokuwa tu kwa usiku mmoja, basi tu ngoja nisiseme maana kuna mtu atabisha lakini kwa wanaojua wanaelewa nachozungumza, maana vifo vya kichawi usiku huanzia saa sita na nusu na kuendelea mpaka alfajiri maana saa 00:00 ndipo wale majemedari wa sheol hufungua zamu ya mauaji mpaka saa 00:30 na baada ya hapa ndio wazee wa shughuli (wachawi) wanakuwa wamesharuhusiwa kukufanya chochote kama huna ulinzi ndio tumekupoteza(sio mada ya leo lakini ) ila tu najaribu kukuonesha ni jinsi gani wenzetu wanavyojitoa kwa mungu wao ili wabarikiwe ila wakristo duu, ni huzuni, sijui isingekuwepo neema ingekuwaje, Ila asingetoboa hata mmoja kwa ulegevu ninaouona kwa wengi wetu, na kuzimu ingekuwa imeshatutawala mapema sana, basi tu ashukuliwe Mungu aliliona hili tukaletewa neema, halafu mbaya zaidi neema ipo ila kuna watu wanaitumia vibaya na mbaya sana kuna ambao hawaiamini sasa sijajua hawa usalama wao huwa inakuwaje, ila anyway Mungu hutulinda tu sote ila ipo tofauti ya ulinzi kati ya anayemjua na mwingine asiye na elimu kumhusu.

Source: Elimu changa

#
Zakuambiwachanganyanazako
Unakosea kulinganisha wana wa Mungu na wale wa shetani hao hawana hiyari wasipotoa wanapigwa hata kuuwawa.. Ss tuko chini ya NEEMA .."Nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi".. Hatulindwi na sadaka tunalindwa kwa KUMWAMIN/NA KUMUISHI YESU KRISTO KAMA BWANA NA MWOKOZI .. 1Pet 1 : 5 Nanyi mnalindwa na NGUVU ZA MUNGU kwa njia ya Imani...(nguvu za Mungu ni zaidi ya nuclear...) Kwa taarifa tuu mimi kwa kutumia JINA LA YESU naipigaga huto tumiungu twa wachawi (makata, subian & co) mpaka wanalia na kutema udele...ktk Jina la Yesu Kristo Amen...mchawi Si lolote ni takataka tuu Kwa MTU mwenye Roho wa Kristo
 
nipe namba ya Mungu ili nimtumie ZAKA direct sio kumtumia hela mtu ambaye ana guts za kuniita mie ni fala tu!
 
Luka 9 ; 1 Akawaita wale Thenashara (wewe pia waweza kuwa mwanafunzi wa Yesu) akawapa UWEZO NA MAMLAKA juu ya pepo WOTE (wote kabisa) na kuponya maradhi(yote)
Mjomba aliye na Roho wa Kristo anao UWEZO na MAMLAKA !
Luka 10 ; 19 Tazama, nimewapa AMRI ya KUKANYAGA nyoka na nge , na nguvu ZOTE za yule adui, wala hakuna kiti kitakachowadhuru
.. Sikia ndg kila Mkristo anayo AMRI hii asipoitekeleza atae nda kutoa hesabu siku ile... Tunayo AMRI ya kumkanyaga shetani na nguvu zake, Tena shetani ndio miungu wa wachawi... Kama tunamshughulikia mungu -miungu wa wachawi Kwa kumkanyaga itakuwa hao wachawi !?... Hosea 4 ; 6 tunaangamia/ kuogopa bure kwa kukosa maarifa
 
Unakosea kulinganisha wana wa Mungu na wale wa shetani hao hawana hiyari wasipotoa wanapigwa hata kuuwawa.. Ss tuko chini ya NEEMA .."Nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi".. Hatulindwi na sadaka tunalindwa kwa KUMWAMIN/NA KUMUISHI YESU KRISTO KAMA BWANA NA MWOKOZI .. 1Pet 1 : 5 Nanyi mnalindwa na NGUVU ZA MUNGU kwa njia ya Imani...(nguvu za Mungu ni zaidi ya nuclear...) Kwa taarifa tuu mimi kwa kutumia JINA LA YESU naipigaga huto tumiungu twa wachawi (makata, subian & co) mpaka wanalia na kutema udele...ktk Jina la Yesu Kristo Amen...mchawi Si lolote ni takataka tuu Kwa MTU mwenye Roho wa Kristo
umesema kweli. ubarikiwe.
 
Basi kwa neema na baraka zake Mungu baba alie juu mbinguni mahali patakatifu ahimidiwe kwa busara na hekima zake kwa uhai aliotujalia na afya na anijalie niandike vyema ili kusudi langu lieleweke, Kuna jambo katika mambo ambayo yapo, jambo ambalo ni dogo katika mengi ambayo kwangu nimeyaona na kuamini katika hayo kuhusu uchawi.

Nitasema kuhusu nguvu ya uchawi na uwezo wa kuloga kwa nafasi niliyoshudia na kugundua kwa miaka yangu hii michache niliopata kuishi toka nijitambue kwa upana, hili jambo ni muhimu na si la mzaha hata kidogo.

Nitaanza na kukili kuwa uchawi upo duniani kote tena hapa bongo upo mwingi sana mbwa kila siku hawachoki kuwabwekea wakipita usiku saa sita, upo kwa karne na karne na utakuwepo sikuzote za maisha yetu kwa kutaka na bila kutaka.

"Mtanisamehe wenzangu kwa kunukuu hiki kifungu "

"Ufunuo 22:15 inasema hivi Huko nje wako mbwa, WACHAWI, na wazinzi, na wajuaji, na hao waabuduo sanamu , na kila mtu apendaye uongo na kuufanya.

Baadhi ya mazoea ya kiuchawi ambayo watu hujihusisha sana nayo ni uaguzi na kuwasiliana na pepo kutia ndani unajimu, ubashiri wa kutumia namba, usomaji wa viganja, kuwasiliana na “wafu” na vilevile ulozi. Mazoea hayo yana historia ndefu, kwani mengi kati yake yalianzia Babiloni la kale (Isaya 47:1, 12, 13)

Inasema (12 Endelea basi na uganga wako, tegemea wingi wa uchawi wako. Wewe uliyapania hayo tangu ujana wako ukitumainia kwamba utafanikiwa au kusababisha kitisho kwa watu! 13 Wewe umejichosha bure na washauri wako. Basi, na wajitokeze hao wanajimu wakuokoe! Wao huzigawa mbingu sehemu sehemu, huzichunguza nyota na kubashiri kila mwezi yatakayokupata.) Kutoka Babiloni, mazoea ya uchawi yalienea kote katika ulimwengu wa kale na kutia mizizi katika tamaduni na jamii nyingi.

Nimenukuu ili kuaaminisha uchawi upo kwa wale ambao hawajawahi kutana na kadhia hii mpaka waamini labda wataamini kwa neno la bwana ili nitakolosema waelewe.

Nguvu za gizaa zinatumiwa na watu wenye maarifa maalumu yasiyo ya kisayansi katika jamii nyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), ingawa kuna tofauti nyingi kulingana na mahali au utamaduni.

SASA KWA NINI WANA NGUVU NA WANALOGA KWA MAFANIKO MAKUBWA.

Wameingia maagano na wakuu wa nguvu za giza kiasi wameweza kuwaangusha na kuuwa maelfuu ya watu kuna wengine ni watu wa Mungu na wameweza kuwachezewa watakavyo na kuwa acha katika majonzi, magonjwa, shida, mikosi na kubebewa nyota, hata akili wanachukua na kuvuruga kila walionalo wakiendeshwa na tamaa, wivu pamoja na chuki binafsi wao wakiona unaringa, unafaidi una raha n.k

Kwanza wachawi wanaasheria kali sana, hawana utu na wenye kufata sheria za Maagano yao na wanatekeleza vizuri kabisa sheria zao licha ya kua wachache wao hukwama ila wako vizuri.

Nguvu zao zipo kwenye damu, damu wanazomwaga ndio nguvu ya kwanza kuliko chochote kile halafu ndio yanafata mambo mengine ya mitishamba. Wachawi wanatoa sadaka wanauua watu, wanaua wanyama tena mara nyingi au kila mara, ili kufanikisha kazi zao.

Nataka kutoa mfano " Mtu akitaka kuloga au kuaguliwa lazima alete kimoja wapo kama ni mayai,nazi, njiwa, kuku, mbuzi , mtoto wa mtu, mtu baki au zaidi ili kutimiza lengo lake.

Basi sadaka anayotoa huwa ndio njia ya kufanya mambo yake yaende kwa kutumia majini, mashetani au mapepo kwenda kwa adui yake ambae ndo wewe " upo ofisini, sijui mwinjilisti, mwana jamii una maisha yako, upo kwenye gari, upo bafuni, unacheza mpira , umepumzika, au umelala usiku " kinatumwa kitu 'puuu" unacho.

TUJUE KWA NINI UNALOGWA NA KUCHEZEWA AU KUHARIBIWA MAMBO YAKO.

Kwanza kama huna msimamo husali, hulogi kotekote haupo wewe ni chakula cha wenzio. Hili kundi la watu hubebwa sana labdaa kama kwenu kuna mizimu mikali utapona na haya mawindo .

Mwinjilisti, mwana dini, askofu,padre mchungaji , hata kama una cheo gani upande wa dini hii vitaa ni yaa wote muda wote wapo kazini kuangusha waliojiwekea ngome za kiimani kwa sababu ndio wazuri zaidi na ndio wanaharibu kazi zao zaidi, hawa watu wakiangukia kwenye uzinzi,ulevi, uasherati hapo hapo wakinasa wanapigiwa haraka sana na kuharibu huduma, biashara, mafanikio hawa ni dhahabu muda wote wanatafutwa ndio sehemu ya kupandia cheo .

Sasa kama hujajizindika hesabu kulogwa na kuchezewa au kuharibiwa mambo yako muda wowote na ukizidiwa nguvu lazima yatakusibu.

KWA WALE WANAO TAKA KUTOLOGWA KABISA NA KUISHI KWA AMANI FANYA HAYA.

MTUMAINI MUNGU, Mungu ananguvu kuliko chochote kile hakuna kiwezacho akiweka mkono wake.

Toa sadaka na zaka " Et mtu analipwa mshahara wa laki 4, wengine laki 9 , wengine millioni 1 au zaidi anatoa
SADAKA mia mbili , mia tano, shilingi 100, anaomba Mungu amlinde na Mungu kweli anatulinda na choyo zetu, Muda huo huo unaenda bar unakula na kusaza unaacha elfu 50,laki moja, laki mbili halafu unasema utapata .
Wengine wanahonga nyumba , gari , malaki wanawapa malaya halafu nae anataka Mungu amtendendee makubwa zaidi binadamu tunakwama sana.

" Muda huo mtu kaenda kununua jini la millioni 2 akutumie likumalize, muda huo mtu katoa mbuzi ili ufe, muda huo mtu kachinja kuku ufe, muda huo mtu kavunja nazi kuharibu maisha yako.

Je utafua dafu kwa sadaka yako? Ili kuzuia kombora za maadui zetu.
Tujifunze kutoa sadaka ndugu zangu, tufunge tusali, umeenda mnadaani mmeangusha mbuzi si bora mchange mnunue mwingine aende kanisani, nunua vikuku viwili au kimoja peleka kanisani Watu wapo tayari kupeleka kuku kwa mganga lakini sio kanisani.

TUBADILIKE KWA KUTOA SADAKA NA ZAKA ZA MAANA NA KUSALI ILI KUWASHINDA ADUI ZETU HAWATUWEZI TUKIWEKEZA HUO UPANDE ILI KUKABILIANA NAO.

Mwisho siamini katika uganga lakini hivi vitu vipo na wanatibiana na kupona ila vikiwa chini ya nguvu za giza. Kwahiyo kama wanaweza kuloga basi hawezi kunshindwa kutegua wakilogana na Mungu hafungamani na haya mambo, mimi pia sifungamani na haya mambo ya uganga na uchawi.

Nawasilisha.

Mungu azidi kutulinda, Amina
Mzee maneno haya we ungesema tu moja kwa moja kuwaambia waumini wako watoe sadaka na zaka kwa wingi uko uko kanisani tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom