Uchawi- Mtwara Mjini

Hao wasanii tu hawana lolote, wanatengeneza jina wapate wateja au umesahau yale ya Dk. Manyaunyau wa Gongola mboto sasa anamiliki MaDCM kibao ya Gongolamboto Posta
Nalo neno.
 
vp maeneo ya shanghani? kuanzia Veta kupita mpaka makonde beach club, chuo cha utumishi, ikula mpaka Tumaini university?

makubwa hayo.

Mtwara hakuna Tumaini university, labda kama unamaanisha SAUT.
 
Wamefika Chikongola, tandika, magomeni, mangamba na naliendele??
 
Vp hao jamaa wamefika mdenga kwa wabishi wa mtwara?au kule shangan ilipo ndanda ndogo?
 
Watu wanaogopa kuchangia wakidhani watapigwa Tunguli, plz Mods msiiweke hii coment yangu

hahahahahahahhahahahahahahahahaahahahhahahahaaaaahahahahha Ezan umenichekesha sana jamani.....
 
Mimi ninataka waje hapa Dares-salaam kuwatoa Watu Uchawi hahahahahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…