ndugu yangu inaonesha hata mimi nikikujua naweza nikakuwasha,hao ndio wanaitwa WASHAWASHA,kuna njia nyingi za kumuua paka,hapo ukweli hakuna ni zengwe tu,stuka! Nalog off
Hao wasanii tu hawana lolote, wanatengeneza jina wapate wateja au umesahau yale ya Dk. Manyaunyau wa Gongola mboto sasa anamiliki MaDCM kibao ya Gongolamboto Posta
Hawa jamaa huwa wanaitwaga...yaani mnakaa kikao wananchi mnaamua kuwaita kwa kibali cha serikali(nasikia kikwete kawaruhusu), halafu inabidi mupate kibali cha watendaji wa kijiji...sasa hapa ndipo kuna kikwazo,(hawa jamaa mara nyingi wanakataaga, mpaka muwatishie kuwaua ndio wanatoa kibali). So nadhani ndio hivyo:spy:
Mi sina contacts zao man, labda nikienda leo niwaombe, nasikia mnasumbuliwa sana na maepe huko
Uchawi wa maendeleo ni kitu cha kawaida hasa nchi zilizoendelea za ulaya ila hakizungumzwi hadharani kama ilivyo ngono ila ukija kwetu huku sasa..ni balaa kabisaaa watu hawataki kusikia kitu kinachoitwa uchawi wala ngono lakini watu wanateswa na uchawi na wanawake wanashika mimba zisizotarajiwa ikiashiria kuwa ngono inafanyika mtindo mmoja.
Fanya hivyo kwn watu wamewamaliza wenzio kiujanja Kamanda we fanya nao mahojiano ujuwe na utujuze!
duh hivi vibinti vya utumishi vitaangamiza taifa la mtwaramtwara wachawi two week ago nilikua huko........ Zile meli zinazoondoka siku nzima zimejaa crude oil nilizikubali........ Ni uchawi wa hali ya juu.... Meli kuondoka zimejaa crude oil, na serikali haioni? Na mbaya zaidi wale wazungu wanaishi dar es salaam, mchana saa 7 wanaletwa dar kula hadi saa tisa na saa kumi mbili wanarudi dar kulala. Wadada wa saut, utumishi etc ndio viburudisho kwenye meli kwa 200,000/=. Kweli mtwara wachawi............... Niliambiwa wakati wa korosho ndio kbs..........
sio mbishi mie mwenyewe ndio michezo yangu,ila poa nisiwaharibie wengine kazi.Nalog offDuh we ni m-bishi kama tomaso wa Yesu, sasa hapo zengwe linakuaje mkuu wakati watu wanaaibika? na inakuaje huyo waziri wa kikwete akapiga mkwara wasiende kijijini kwao??