ndugu michezo midogo tu hiyo wala isikuumize kichwa.Nalog offHapa wamefanikiwa kukamata tunguli moja lililokimbia toka ndani ya nyumba likashikwa chini ya mti kama unavyowaona hao jamaa. Tunguli likivuja damu tu...!!
Hawa jamaa huwa wanaitwaga...yaani mnakaa kikao wananchi mnaamua kuwaita kwa kibali cha serikali(nasikia kikwete kawaruhusu), halafu inabidi mupate kibali cha watendaji wa kijiji...sasa hapa ndipo kuna kikwazo,(hawa jamaa mara nyingi wanakataaga, mpaka muwatishie kuwaua ndio wanatoa kibali). So nadhani ndio hivyo:spy:Mkuu! Ina maana hao jamaa toka msumbiji wamekuja kwa kazi hiyo tu? Ama kuna mtu amewaleta aje kuwaumbua wachawi? Ingetakiwa wafike sehemu mbali mbali hapa Tanzania ye2 maana nasikia watu wanawamiliki watu wengine kimiujiza hapa Nchi nyakati hii. Endelea ku2juza yajirio Kamanda!
Duh kumbe unayafahamu hayo maeneo? Huko Kianga ni kabla ya Veta, so nadhani wakimaliza huku wataenda na huko, bt huko pia kuna vigogo wanakaa, sasa sijui kama watapata kibalivp maeneo ya shanghani? kuanzia Veta kupita mpaka makonde beach club, chuo cha utumishi, ikula mpaka Tumaini university?
makubwa hayo.
Ndugu hata mi mwenyewe nikidhani ni mazingaombwe, lakini mazingaomwe gani yanapita nyumba hadi nyumba huku wenye nyumba wakiaibishwa?? na badae wananyolewa ama kunyeshwa dawa...u cant be seriaz. nalog offsasa hapo msukule wako wapi? halafu usisahau ya kuwa mazingaombwe pia yapo.Nalog off
wajinga ndio waliwao,hapo washapigwa na mazingaombwe jamaa wanajikata na kuwaacha wengine wakigombana! Nalog offWataalamu kutoka nje ya nchi!
Kweli nchi hii inahitaji wataalamu zaidi.
ndugu yangu inaonesha hata mimi nikikujua naweza nikakuwasha,hao ndio wanaitwa WASHAWASHA,kuna njia nyingi za kumuua paka,hapo ukweli hakuna ni zengwe tu,stuka! Nalog offNdugu hata mi mwenyewe nikidhani ni mazingaombwe, lakini mazingaomwe gani yanapita nyumba hadi nyumba huku wenye nyumba wakiaibishwa?? na badae wananyolewa ama kunyeshwa dawa...u cant be seriaz. nalog off
Ndugu hata mi mwenyewe nikidhani ni mazingaombwe, lakini mazingaomwe gani yanapita nyumba hadi nyumba huku wenye nyumba wakiaibishwa?? na badae wananyolewa ama kunyeshwa dawa...u cant be seriaz. nalog off
je hao waganga toka msumbiji wanakibali cha kufanya hyo shughuli nchini.
KAKA....HIII MICHEZO HUFANYIKQ KILA MWAKA, ALAF UNAENDA HADI VIJIJINI KULE KITAYA, MBEMBALEO, NANYAMBA NA KWINGINEKO.......
BASI, HAO WAGANGA NI MAWIZI.....wanapga pesa na mazao ya wakulima...tena wanagonga.madem ile mbaya huko vijijini......aibu!!!!!""$$"@#$