Uchawi: Kwanini Nigeria na sio Misri?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,576
15,337
Ukikagua mabango ya waganga utaona "Mganga hatari kutoka Nigeria".

Tunasikia uchawi mwingi ni kutoka Nigeria.

Manabii wachawi nao utasikia kabla ya kufanikiwa lazima aanzie nigeria kuwaona wazee wa jadi. Manabii wakubwa wenye pesa na uwezo wa kuoshabongo za wafuasi hata bila neno wako Nigeria. Yaani top ten ya wenye fedha wachungaji duniani zaidi ya saba ni wanigeria. Nao wanatuhumiwa kutumia juju.

Wachawi wanaokamatwa uswahilini, wakipewa mfweni au mkong'oto wanafunguka, tumekuwa tukienda Nigeria.

NAJIULIZA, KWA NINI NIGERIA NA SIO MISRI.

1: Uchawi wote duniani asili yake ni Misri.

2: Miujiza ya kutisha na kuogofya ilifanyika misri. Kumbuka kile chama cha wqchawi kikiongozwa na Yane na Yambre walivyoonyesha show hatari hadi nabii Musa akapanic.

3: Library ya vitabu vya kichawi, acha hutu dhaifu unakuta mtu anapewa vikaratasi vya maneno ya kiarabu kama hirizi kwenye bahasha, vyenyewe vilikuwa misri. Kwenye maktaba kubwa kuliko zote na nzee kuliko zite duniani huko alexandria. Hata napolion Bonapatre alipotaka kutawala dunia alituma kikosi kwenda kubeba hayo magombo ya kichawi alexandria ili kuongeza nguvu.

Sasa kwa nini watu hawaendi misri, wala hawaizungumzii kabisakabisa katika uchawi.

Sifa wanapewa wahindi, wachina,wacongo, wanigeria, na tumefika mbali tunawaogopa wasumbawanga kuliko wamisri.

Nini kilitokea hapo wakuu
 
Nigeria hakuna uchawi huo wa kutisha kuliko sehemu nyingine Afrika.

Kilichofanya Nigeria ionekane ni gwiji wa uchawi, ni movie zao za NOLLYWOOD.

Yes mkuu ni stereotype tu ,nilikuwa nawasikiliza wadada flani hivi mapacha wapo youtube wanatoka Jamaica ,kuna vitu pia walizungumzia watu wa nje wanavyowachukulia wajamaika na wao huwa wanashangaa...,..Moja ya kitu walichozungumzia wakasema watu wa nje wanajua kwamba ganja ni legal jamaica na kila mjamaika ana smoke weed na ndio hivyo hivyo mganga lazima aseme anatoka Lyamba lya mfipa sumbawanga.

Mambo mengi kumbe huwa tunalishwa matango pori tu.

Kuna jamaa nilikuwa nafuatilia sana step kwa step nigeria ni nabii hivi nione uchawi wake nimekuja kuconclude sio mchawi ila ni msanii tu kama matapeli wengine. Anacheza na media graphics, anaaminisha watu yeye yuko vipi, na tricks nyinginyingi na anapiga pesa balaa ila tena anawaambia mimi sitegemei pesa zenu.

Usanii ni mwingi kuliko uchawi. Hata waganga wa nigeria wanatumia loophole hiyohiyo kula vichwa
 
Haiti wanga kinoma wazee wa voodo.
Wanga na wameambukiza uchawi wao unatumika hata huko latino america hasa kwa wauza unga
Vodoo ni noma hata namibia kuna kabila wanahiyo culture.

Kwa vodoo unaponya hata mgonjwa na kutoa pepo. Wasanii wa wanaopenda miujiza wakiingia shule ya vodoo watapiga pesa hadi wakose pa kuweka waumini fuata upepo
 
Wauza unga wanautumia kama kinga eti. Sema una makafara sana
 
Ntaifuatilia. Maana mimi nilijua kundalini yoga na uchawi wa kihindi ndio noma zaidi.

Maana kuna mhindi (mungu) sai baba huyo alikuwa anapiga show za hatari Yesu asogei kwa miujiza yake maana hadi kufufua. Au kupotea katikati ya watu.

Ila ni uchawi
 
Mambo mengi kumbe huwa tunalishwa matango pori tu.

Kuna jamaa nilikuwa nafuatilia sana step kwa step nigeria ni nabii hivi nione uchawi wake nimekuja kuconclude sio mchawi ila ni msanii tu kama matapeli wengine. Anacheza na media graphics, anaaminisha watu yeye yuko vipi, na tricks nyinginyingi na anapiga pesa balaa ila tena anawaambia mimi sitegemei pesa zenu.

Usanii ni mwingi kuliko uchawi. Hata waganga wa nigeria wanatumia loophole hiyohiyo kula vichwa

Yes mkuu ,manabii wanacheza na mindsets za waamini wao na pia magic tricks(mazingaombwe).
 
Yap. Mimi huwa naangalia macho yao.
Yanachezacheza sign of dishonest na uongouongo.

Full manipulation, mmoja wa nigeria namfollow youtube japo sio maarufu ila anakuja kasi, yeye akiona upepo haujakaa vzr anatupia zile lugha zetu kama kudraw attention.

Ukiingia na freemind utaona mengi
 
Ntaifuatilia. Maana mimi nilijua kundalini yoga na uchawi wa kihindi ndio noma zaidi.

Maana kuna mhindi (mungu) sai baba huyo alikuwa anapiga show za hatari Yesu asogei kwa miujiza yake maana hadi kufufua. Au kupotea katikati ya watu.

Ila ni uchawi
Bado yuko hai huyo sai baba? India ni nchi yenye mambo mengi ya ajabu. Kuanzia historia, imani, majengo ya kale, na mambo ambayo scientifically hayana maelezo
 
Yes mkuu ni stereotype tu ,nilikuwa nawasikiliza wadada flani hivi mapacha wapo youtube wanatoka Jamaica ,kuna vitu pia walizungumzia watu wa nje wanavyowachukulia wajamaika na wao huwa wanashangaa...,..Moja ya kitu walichozungumzia wakasema watu wa nje wanajua kwamba ganja ni legal jamaica na kila mjamaika ana smoke weed na ndio hivyo hivyo mganga lazima aseme anatoka Lyamba lya mfipa sumbawanga.

Vinakula Ganja
 
Back
Top Bottom