Uchawi kupitia panya

Acha uoga mbona maswala ya kawaida tu hayo sisi huku wanatula hadi visigino
Kwamba panya kuchukua mkwanja ni suala la kawaida. Uko pand zipi nije kutalii na kushuhudia matukio adimu ya namna iyo.
 
Nadhani upo mie humu ndani Kuna panya anapoingilia sijui nikimtafuta nimuon Na vitu vyangu vinapotea ukiweka simu hagusi
 

Achana wasiwasi hapo umeelezea tabia za panya. Na huo mda wa saa 4 anapotoka panakuwa pametulia.
 
mkuu umeongea vema sana ,ila ajabu ni kwamba ndani mwangu kuna panya mmoja tu huyohuyo wa kila siku,yani kazi yake ni kupita juu ya kenji za nyumba kwenda na kurudi,ukilala naona ndio huwa anashuka china
Ni kweli. Hilo sio jambo jipya na nimeshakutana na matukio ya aina hiyo mengi. Panya mmoja tu anasumbua sana na kumuua inakuwa ni shida sana. Wanakuwaga wajanja utafikiri ni binadamu. Lakini nakuhakikishia hakuna uchawi hata kidogo. Namna nzuri sana ya ku-overcome hofu za aina hiyo ni kuwa na imani ya dini na kumwamini Mungu. Hilo litakusaidia japokuwa naamini huyo panya sio wa uchawi!
 
ILA MKUU, hiyo ndimu uliyosema niweke chini ya mto iwe nzima au niikate na je kama nikiikata si itamwaga asid kwenye tandiko ,au naifanyaje,naomba ufafanuzi katika hilo mkuu
Weka pembeni kwenye tendegu ikiangalia juu
 


Mhhhh, kama wenye nyumba yako ni watu wa Kigoma, Rukwa, Tanga, hii ni asili yao. Pole lakini na jitahidi uhame haraka sana kwani huyo panya mwisho wa siku wenye nyumba wakiona hauna mpango na msichana wao watakufila ili wakukomoe kisha wakusanifu.
 
Panya kavaa tai na mwingine mkoba? Hao jamaa wakali,labda zilikuwa hirizi
Kuna mwalimu alikuwa anakaa kule Ludewa alikuwa anawaona panya wamevaa suti tai na mwingine kaning'iniza kimkoba halafu wanapita alipo yeye kila siku, nusura aache kazi.
Ikabidi serikali imhamishe na kuwaacha wanakijiji waendelee na ujinga wao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…