AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,666
- 2,841
Ha ha ha ha ha hao panya wenu kibokoAcha uoga mbona maswala ya kawaida tu hayo sisi huku wanatula hadi visigino
[emoji23] [emoji23] [emoji23] michezo tu ya wanga hiyo alale na kipande cha ndimu chini ya mto kisha ajipake kitunguu saumu kwenye paji la uso
tiba imepatikana, topic closed...[emoji23] [emoji23] [emoji23] michezo tu ya wanga hiyo alale na kipande cha ndimu chini ya mto kisha ajipake kitunguu saumu kwenye paji la uso
Ila hawaibi karanga wala pesaMbona ni kama hali ya kawaida tu ya hao mapanya.
Ila tu mawazo yamewaza sana shirki.
May be waje wataalamu kusema zaidi.
Kwenye maganda yake [emoji15] [emoji3]tiba imepatikana, topic closed...
ila mkuu kuna thread yako kuna link ukifungua ndani unakutana na tiba ya mafuta ya figiri na mafuta ya ndimu, yanapatikanaje hayo mkuu
Mbona panya ni kitu cha kawaida? Inaonekana wewe ulishajenga wasiwasi wa wachawi kiasi ambacho mawazo yako yanakufanya uhisi vitu ambavyo havipo au vishindo vidogo unasikia kama ni vikubwa! Kwa mfano hizo karanga naweza kusema ni huyo panya alichukua! Na inaonyesha unaogopa hata kumuua huyo panya kwa kuwa ulishajenga mawazo ya uchawi. Kuondokana na hiyo hali ni ngumu sana, ila jaribu sana kujiamini.Wakuu habari,
Nimeona niweke uzi huu ili kupata usaidizi wa kina kwa wajuzi na juu ya kukabiliana na hili tatizo. Naishi peke yangu katika kachumba kangu, lakini ajabu ni kwamba kila ikifika mida ya saa nne usiku na kuendelea kila siku kuna panya mmoja anapita juu ya dari kutoka jikoni kuja ndani kwangu, atazunguka akichka atashuka chini ya uvungu wa kitanda kupitia miti ya neti.
Pamoja na hayo nishichoelewa ni juu ya matukio haya mawili, kuna siku niliweka elfu kumi na mbili juu ya meza yangu nikaamka nikakuta zipo elfu sana tu, nilijiuliza sana mwisho nikaamua kupotezea, Pili ni usiku wa kuamkia leo, nikiwa na akili timamu, nakumbuka jana nilinunua karanga mbichi za miambili kwa jili ya kutafuna asubuhi ya leo nikiwa katika mishe zangu, nazo nikaziweka pembezoni kabisa mwa PC yangu katika hako kameza, ilipofika usiku mnene nikasikia kwa masiko yangu kwani siku hiyo sikupata usingizi mapema kama mjongeo wa mtu si mtu kitu si kitu kikifanya kukurukakara ndani ya chumba changu, nikapatwa na hofu zaidi hiko kitu/mtu alipokanyaga kitu mithili ya karatasi kuja kuelekea nilikolala, nikapata kaujasiri nikapiga kadua kafupi hali ikatulia.
But nilipoamka asubuhi na nilichelewa kuliko kawaida ajabu sikuziona zile karanga, nimetafuta kila kona ya chumba sikuoziona, sasa wajuzi wa haya mambo na wanaojua masuala ya shiriki, embu niambieni hii inamaana gani na naweza vipi kuitataua katiaka hali ya ubinadamu pamoja na kwamba najua fika kuwa sala ni na kukemea ni dawa nzuri zaidi.
Pia kama ni wachawi nataka niwaone ili niwaulize hasa wanataka nini kwangu?
Natanguliza shukrani kwa wachangaiaji, ila tafadhali changia inavyokupa, matani na matusi plus jokes sio busara.
INABIDI AISEEMbona ni kama hali ya kawaida tu ya hao mapanya.
Ila tu mawazo yamewaza sana shirki.
May be waje wataalamu kusema zaidi.
mkuu umeongea vema sana ,ila ajabu ni kwamba ndani mwangu kuna panya mmoja tu huyohuyo wa kila siku,yani kazi yake ni kupita juu ya kenji za nyumba kwenda na kurudi,ukilala naona ndio huwa anashuka chinaMbona panya ni kitu cha kawaida? Inaonekana wewe ulishajenga wasiwasi wa wachawi kiasi ambacho mawazo yako yanakufanya uhisi vitu ambavyo havipo au vishindo vidogo unasikia kama ni vikubwa! Kwa mfano hizo karanga naweza kusema ni huyo panya alichukua! Na inaonyesha unaogopa hata kumuua huyo panya kwa kuwa ulishajenga mawazo ya uchawi. Kuondokana na hiyo hali ni ngumu sana, ila jaribu sana kujiamini.
mkuu kuna watu huwa wanasema ati hawaamini jambo hili wakati lipo kabisaPanya wa kichawi wapo. Ninapoishi nilipatwa na hali kama yako. Baada ya maombi tu walipotea. Cha ajabu wakati wa maombi mfanyakazi wa ndani alilipuka mapepo na mbwa walikuwa wakali sana. MUNGU ameingilia kati na yote yameisha
Jina la bwana Libarikiwe
so nitawaona hao wanga au hawatakuja tena?[emoji23] [emoji23] [emoji23] michezo tu ya wanga hiyo alale na kipande cha ndimu chini ya mto kisha ajipake kitunguu saumu kwenye paji la uso
nyau mbele ya mchawi kweli?Hebu fuga nyau halafu utupe mrejesho. Ina maana ndio mara ya kwanza kujua kuwa panya akitaka kuzaa hukusanya makaratasi? Fedha ni karatasi, weka sarafu, akibeba sarafu KIMBIA MBIO
duh,hiyo noma sanaKuna mwalimu alikuwa anakaa kule Ludewa alikuwa anawaona panya wamevaa suti tai na mwingine kaning'iniza kimkoba halafu wanapita alipo yeye kila siku, nusura aache kazi.
Ikabidi serikali imhamishe na kuwaacha wanakijiji waendelee na ujinga wao.