Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,517
- Thread starter
-
- #261
Ndio maana nikasema Uchawi haupo kwa wenyewe,ila kilichopo ni Imani tu,maana yake uwepo wa Uchawi unategemea mindset yako.Biblia yenyewe inasema usiache mwanamke mchawi aishi, wewe mtoto wa juz bado unanuka maziwa unakuja kuropoka utopolo, huu uzi ma mods wauweke kwenye jukwaa la jokes
Ndio maana nikasema Uchawi haupo kwa wenyewe,ila kilichopo ni Imani tu,maana yake uwepo wa Uchawi unategemea mindset yako.
Wewe bado hujanielewa.Great thinker peke yao ndio wanaweza kunielewa.Khaa ipo siku utabadilisha mindset yako! Na nakuonea huruma kwsbb inaonekana hata neno la kwenye biblia hulijui vizuri maana biblia yenyewe imeacknowledge kuwa uchawi upo na hadi kusema usimwache mwanamke mchawi aishi yaani ni wanatakiwa kuuwawa kabisa ‘Kutoka 22:18 or 18:22’. Sasa mtu mwenyewe unakinzana na neno
Cheka ukimaliza weka jina tukuroge,Kha!kha!kha!,acha nicheke mie.
Nina uchawi wangu mpyaaa nataka wewe ndio uuzindue, [emoji23]Wewe sio Mchawi ila ni mpambe wa mambo ya Uchawi, huna uwezo wa kuniroga.
Ndio maana nikasema Uchawi haupo kwa wenyewe,ila kilichopo ni Imani tu,maana yake uwepo wa Uchawi unategemea mindset yako.
Pole kwa kushindwa kunielewa.Kwa hiyo unaenda kinyume na kitabu cha Mungu unachokiamin? Kama uchawi haupo basi Mungu pia ni Imani tu hayupo au sio
Huna lolote wewe,njoo ujaribu km hujateketezwa kwa moto wa damu ya YESU.Wewe ni Mchawi wa mtandaoni,isitoshe Wachawi kweli kweli huwa hawajisemi.Nina uchawi wangu mpyaaa nataka wewe ndio uuzindue, [emoji23]
Usiku wako wa leo utakua wa tabu sana.
[emoji83][emoji84][emoji49][emoji1782][emoji317][emoji89][emoji451][emoji88][emoji316]
Nacheka jinsi watu mlivyo wajinga kwa kuamini na kuuogopa Uchawi wakati kiuhalisia haupo.Cheka ukimaliza weka jina tukuroge,
Ili uende ukatoe ushuhuda kwa waumini wako,
Unaamini kuna mapepo halafu huamini kuna uchawi
Hakika washakuroga huko Rukwa [emoji1]
Ok baada ya siku tatu utaandika tatizo lolote just stay tunedWewe huna lolote,Wachawi ninao wajua mimi wangeshajua jina langu hata bila kuambiwa,sasa wewe inaonesha ni walewale wapiga kelele mithili ya Mbwa kibogoyo anayebweka.
Your warmly welcomedOk baada ya siku tatu utaandika tatizo lolote just stay tuned
Imani ihusuyo Mungu ina nguvu kuliko uchawiUnasema uchawi hakuna bali ni imani tu uliyojijengea kwenye ubongo.
Lakini hapohapo unaamini kuna mungu.
Ina maana mungu hayupo ni imani tu uliyojijengea kwenye ubongo wako?
Kha!kha!kha!,ninawakaribisha sanauchawi upo mkuu usikatae maan ata kwenye vitabu vitakatifu wachawi wametajwa sanaa....
Na njia pekee ya kujilinda nao ni iman... ukiamin huwez kusumbuliwa na hutomwogopa...
sasa usijisifu uchawi haupo ukabweteka ukaacha kushikilia iman yako... Mkuu utapigwa na wachawi kipogo cha barcelona
Aiseee.Huamini kuna uchawi Ila unaamini Kuna Mungu, hii Kali ya mwaka,ungekuwa huamini uchawi na kanisaji pia usingeenda otherwise huo wa kanisani ndo uchawi wako wenyewe uliowazidi nguvu uchawi wa kienyeji..
Lakini still ni imani.Imani ihusuyo Mungu ina nguvu kuliko uchawi
Mungu yupo,usifananishe Mungu na huo UpumbavuLakini still ni imani.
Imani kuwa na nguvu au lah hakuondoi uhalisia wa imani.
Hata uchawi ni imani pia hivyo kusema haupo ni sawasawa na kusema mungu hayupo sababu vyote ni imani.