kutofautiana mawazo, mtazamo ama maoni juu ya jambo fulani ni jambo la kawaida na ni afya kwa uhuru wa kujieleza. Ni vizuri kivumiliana, lakini zaidi kukubaliana kutofautiana bila kubezana wala kupeana majina......Hakika Leo nimeamini kuwa Taifa hili tumefika hapa tulipo Kwa ajili ya unafiki na uchawa wa Viongozi ambao ndiyo washauri wa Rais kuwa waongo na watu wakujipendekeza tu kwenye mamlaka ya uteuzi.
Haiingii hakilini eti kadogosa DG wa TRC anasema Rais SAMIA kawashinda wajerumani katika ujenzi wa reli, wakati ukweli haupo hivo, hata angekuwa anamsifu Kwa kuanza Kwa SGR watanzania tunajua kuwa wazo hili ni JPM,,,,na pia kuna uchakachuaji mkubwa wa mradi ule Kwa Sasa mbali na kucheleweshwa kukamilika kwake kutokana na wizi unaoendelea. Kadogosa acha kumdanganya mama Samia, fanya kazi. Action speaks louder than words,,,,,,
Nilifikiri una hoja nzito zaidi ya hiyo iliyoathiriwa na ulindaji wako wa legacy. Ni ujinga mkubwa kujilinganisha na hawa wenzetu weupe kwani wamepita huko musa mrefu sana. Lakini ni uj8nga mkubwa zaidi kupinga uchawa kwa sababu ya uchawa (ulinda legacy) huohuo..Hakika Leo nimeamini kuwa Taifa hili tumefika hapa tulipo Kwa ajili ya unafiki na uchawa wa Viongozi ambao ndiyo washauri wa Rais kuwa waongo na watu wakujipendekeza tu kwenye mamlaka ya uteuzi.
Haiingii hakilini eti kadogosa DG wa TRC anasema Rais SAMIA kawashinda wajerumani katika ujenzi wa reli, wakati ukweli haupo hivo, hata angekuwa anamsifu Kwa kuanza Kwa SGR watanzania tunajua kuwa wazo hili ni JPM,,,,na pia kuna uchakachuaji mkubwa wa mradi ule Kwa Sasa mbali na kucheleweshwa kukamilika kwake kutokana na wizi unaoendelea. Kadogosa acha kumdanganya mama Samia, fanya kazi. Action speaks louder than words,,,,,,
Anakenua na kudemka tuSamia yeye anaona raha tu?
Hakika Leo nimeamini kuwa Taifa hili tumefika hapa tulipo Kwa ajili ya unafiki na uchawa wa Viongozi ambao ndiyo washauri wa Rais kuwa waongo na watu wakujipendekeza tu kwenye mamlaka ya uteuzi.
Haiingii hakilini eti kadogosa DG wa TRC anasema Rais SAMIA kawashinda wajerumani katika ujenzi wa reli, wakati ukweli haupo hivo, hata angekuwa anamsifu Kwa kuanza Kwa SGR watanzania tunajua kuwa wazo hili ni JPM,,,,na pia kuna uchakachuaji mkubwa wa mradi ule Kwa Sasa mbali na kucheleweshwa kukamilika kwake kutokana na wizi unaoendelea. Kadogosa acha kumdanganya mama Samia, fanya kazi. Action speaks louder than words,,,,,,
Hakika leo nimeamini kuwa Taifa hili tumefika hapa tulipo Kwa ajili ya unafiki na uchawa wa Viongozi ambao ndiyo washauri wa Rais kuwa waongo na watu wakujipendekeza tu kwenye mamlaka ya uteuzi.
Haiingii akilini eti kadogosa DG wa TRC anasema Rais SAMIA kawashinda Wajerumani katika ujenzi wa reli, wakati ukweli haupo hivyo.
Hata angekuwa anamsifu kwa kuanza Kwa SGR Watanzania tunajua kuwa wazo hili ni Hayati Magufuli na pia kuna uchakachuaji mkubwa wa mradi ule kwa Sasa mbali na kucheleweshwa kukamilika kwake kutokana na wizi unaoendelea.
Kadogosa acha kumdanganya Rais Samia, fanya kazi.
Action speaks louder than words
Uchawa ndio Sifa Kuu ya Mtu kuweza kupata uteuzi. Wengi wanaosifia sana wako kwenye mkakati wa 'Kuvizia Uteuzi.'Hakika leo nimeamini kuwa Taifa hili tumefika hapa tulipo Kwa ajili ya unafiki na uchawa wa Viongozi ambao ndiyo washauri wa Rais kuwa waongo na watu wakujipendekeza tu kwenye mamlaka ya uteuzi.
Haiingii akilini eti kadogosa DG wa TRC anasema Rais SAMIA kawashinda Wajerumani katika ujenzi wa reli, wakati ukweli haupo hivyo.
Hata angekuwa anamsifu kwa kuanza Kwa SGR Watanzania tunajua kuwa wazo hili ni Hayati Magufuli na pia kuna uchakachuaji mkubwa wa mradi ule kwa Sasa mbali na kucheleweshwa kukamilika kwake kutokana na wizi unaoendelea.
Kadogosa acha kumdanganya Rais Samia, fanya kazi.
Action speaks louder than words
Very trueAnayedanganywa ndiyo tatizo zaidi
VIONGOZI WAMERUKWA NA AKILIHakika leo nimeamini kuwa Taifa hili tumefika hapa tulipo Kwa ajili ya unafiki na uchawa wa Viongozi ambao ndiyo washauri wa Rais kuwa waongo na watu wakujipendekeza tu kwenye mamlaka ya uteuzi.
Haiingii akilini eti kadogosa DG wa TRC anasema Rais SAMIA kawashinda Wajerumani katika ujenzi wa reli, wakati ukweli haupo hivyo.
Hata angekuwa anamsifu kwa kuanza Kwa SGR Watanzania tunajua kuwa wazo hili ni Hayati Magufuli na pia kuna uchakachuaji mkubwa wa mradi ule kwa Sasa mbali na kucheleweshwa kukamilika kwake kutokana na wizi unaoendelea.
Kadogosa acha kumdanganya Rais Samia, fanya kazi.
Action speaks louder than words
Kabisa ana vyanzo vyote vya taarifa lakini bado anakubali kudanganywaVery true
Hivi hawa watu wanakuwa wamenyangaywa akili au!Haiingii akilini eti kadogosa DG wa TRC anasema Rais SAMIA kawashinda Wajerumani katika ujenzi wa reli, wakati ukweli haupo hivyo.