Mimi nadhani mzizi hapo ni wasichana. Hebu jiulize, nani ana uamuzi wa mwisho kuhusu kukubaliana kwenda kujamiiana, mwanaume au mwanamke?Wana - Supply "K" kwa ajili demand ipo! Tungeanza kukata mzizi kwanza, ambao ni wateja wao!
sinza mwananyamala uwanja wa fisi aiseeee wale wamejenga vijumba vinavyoingia vitanda vya futi moja kwa moja
hiyo ni fursa mkubwa watu wanaturingia wakati zinauzwa bei chee mchana kweupe mie nataka kumchukua mmoja chap chap
we ulijuaje ukubwa wa vitanda?:biggrin:
Umaskini mbaya na ukiongezea tamaaa ndio balaa!!
haya jamani,nimeshafika temeke hapa,nielekezeni mtaa wenyewe,na nyumba ikiwezekana,nimeshavaa kamasutra tayari.
Haya ndio mambo ya jamii na kujamiiana
Mtu anayewashwa atatafuta dushelele kumi zimkune kwa siku?UMASKINI NDIO CHANZO KIKUBWA!!sio wanawashwa?
niko wangu ila mishe za town...tutafutanemhhhh ya kweli hayo@kipaji halisi alafu wewe nimekumis
Kuna mtaa ya temeke ..wanauza mchana kweupeee...
Jamani sijui serikali inasaidia vipi wananchi wake. Maeneo ya Buguruni na Kinondoni hali ni mbaya nyakati za usiku. Wasichana wadogo wanajiuza - wanagawa uroda - ngono inaendelea bila aibu. Huu ni msiba kwa nchi.
Tufike sehemu tuwe wakweli, mfumo wa soko hulia (ubepari) ni unyama. Unachukua rasilimali za jamii na kuziweka mikononi mwa wachache, matokeo yake ndio hayo. Tujiulize ni nchi gani ya kibepari haina madanguro (kwa mujibu wa sheria)? Hayo unayoona ni matokeo ya mfumo wa uchumi wa kuwapuuza wengi na kuwasukuma pembenzoni mwa fursa za kiuchumi. ''Huwezi kuungua upele ukaacha kujikuna''.
Na ni nchi gani ya kijamaa haikuwahi kuwa na uzinzi hata kama sio wa ki soko huria? Vipi cuba hata leo, au EASTERN BLOCK yote Enzi za ujamaa?Tufike sehemu tuwe wakweli, mfumo wa soko hulia (ubepari) ni unyama. Unachukua rasilimali za jamii na kuziweka mikononi mwa wachache, matokeo yake ndio hayo. Tujiulize ni nchi gani ya kibepari haina madanguro (kwa mujibu wa sheria)? Hayo unayoona ni matokeo ya mfumo wa uchumi wa kuwapuuza wengi na kuwasukuma pembenzoni mwa fursa za kiuchumi. ''Huwezi kuungua upele ukaacha kujikuna''.
we ulijuaje ukubwa wa vitanda?:biggrin:
haya jamani,nimeshafika temeke hapa,nielekezeni mtaa wenyewe,na nyumba ikiwezekana,nimeshavaa kamasutra tayari.