Tufike sehemu tuwe wakweli, mfumo wa soko hulia (ubepari) ni unyama. Unachukua rasilimali za jamii na kuziweka mikononi mwa wachache, matokeo yake ndio hayo. Tujiulize ni nchi gani ya kibepari haina madanguro (kwa mujibu wa sheria)? Hayo unayoona ni matokeo ya mfumo wa uchumi wa kuwapuuza wengi na kuwasukuma pembenzoni mwa fursa za kiuchumi. ''Huwezi kuungua upele ukaacha kujikuna''.