Uchangudoa: Aina za uchangudoa

Uchangudoa: Aina za uchangudoa

Ukitoa hela yako kwa mwanamke kwa sababu tu anakupaga penz basi huyo anakuuzia na maana yake ni cjangudoa acha kupotosha
tofautisha kutoa na kuomba!
ukitoa kwa hiari yako ni kama sadaka!
akiomba kwa shida za kawaida its ok!
akiomba kuzidi uwezo ndo tunaita mizinga..

ww na girlfriend wako mnaweza kukwepa yote lakini bado ni wazinzi
 
Changudoa. yeye yupo kipesa tu nahuyu ni mzululaji yani mwindaji .Anatabia ya kufuata na kushawishi
Malaya. huyu ni mutu ambaye anapenda sana ngono iwe kipesa au starehe .Anatabia ya kumu ganda mutu kutokana na sifazake. Hu ambukiza sana watu magonjwa sugu. Hawana bei sana
Kahaba.huyu huwa ana lengo anapofanyakitu .Wengi hupitia wakati mgumu .wana ambukiza magonjwa pia
 
Back
Top Bottom