Uchanganyaji wa sabuni ya maji

maramojatu

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,169
1,533
Wanajamii,

Leo nimeona nitoe kero ambayo nimekuwa nikikutana nayo maeneo mengi hata ya serikali. Wanachanganya sabuni ya kunawia na maji.

Nafikiri lengo la wachanganyaji ni ili isiishe mapema bila kujua inaweza isiwe inakamilisha lengo.

Hivi hawa wachakachuaji wanatumia mwongozo Gani? Na kama hawafuati muongozo wowote nani anawaruhusu?

Ifike sehemu mamlaka zetu zikemee jambo hili Ili lisitokee.

Nawasilisha
 
Mjini shule, bajeti ya mwezi ya sabuni unakuta laki tatu Ila sabuni inanunuliwa ya laki inapigwa maji maisha yaendelee cha muhimu kaharufu ka sabuni kawepo kwa mbali 😃🤸
 
Back
Top Bottom