Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,399
Neno la utangulizi ( preamble)
BILA SERIKALI KUWAJIBIKA.. RECONCILIATION haina maana yoyote
.Kuwajibika kwenye uchafuzi wa kura uliowanyima mamilion ya Watanganyika haki yao ya kuchagua na kuchaguliwa
. Kuwajibika kwenye kupika matokeo ya uchufuzi wa kura.. Yenye kutia kinyaa na aibu kubwa
. Kuwajibika kwenye uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu
.Kuwajibika kwa majeruhi waliokuwa wanatumia haki yao ya kikatiba kupaza sauti
.Kuwajibika kwa vifo vingi vilivyoyokana na wananchi waliotumia haki yao ya kikatiba kuandamana
. kuwajibika kwa kuwanyima majeruhi wote nafasi ya kupata matibabu
.Kuwajibika kwa marehemu wote waliokosa staha na heshima kwenye kuhifadhiwa
.Kuwajibika kwa kuwazuia ndugu na jamaa kupata taarifa za wafiwa na majeruhi
. Kuwajibika kwa kuzima mtandao kwa masaa yasiyopungua 80
Mtazamo wangu kwenye maandamano
Maandamano yalikuwa ya kimkakati na yaliyopangiliwa vema
1. Kupaza sauti kupitia kutoa futuko la hasira ya muda mrefu kwenye miundombinu ya mwendokasi... Simulizi za kunyanyasika na huu usafiri kwa muda mrefu wanazo wakazi wa Morogoro road.. Mbagala wameunganishwa humo humo
2. Kupaza sauti kupitia uwekezaji wa wasanii.. Hawa walionekana mas nitch wasaliti waliojivuna na kutoa lugha za kashfa kwa wananchi huku wakikumbatiwa na mamlaka
3. Wawekezaji na wafanyabiashara ambao mali zao zimejaa utata na harufu ya rushwa huku wakiwa bega kwa bega na utawala unaolalamikiwa sana
4. Viongozi wa kisiasa wa chama na serikali waliothibitisha kwa kauli na matendo kwamba wamedharau vilio cya wananchi kwa muda mrefu
5. Majengo ya serikali hasa TRA NA POLISI na MAHAKAMA. haya habari zake si ngeni kwenye unyanyasaji wa wananchi, kubambikiwa kodi, kesi na kuwanyima watu haki zao
Waandamaji wanaotajwa kutoka nje ya nchi hawakuwa wengine bali watanganyika wa
Dini zote
Imani zote
Vyama vyote
Makabila yote
Jinsia zote nknk
Tukumbuke hata wana ccm kwa wingi wao walishiriki haha maandamano kutokana na kutoridhishwa na yote yaliyotokea kwenye chama chao
Vyombo vyote vya ulinzi na usalama walau kwa kificho walikuwa sehemu ya maandamano huku wakiwatia wananchi hamasa moto na kuwapa mbinu mbalimbali za kuandamana!
Naendelea sehemu ya pili