Uchambuzi wa sakata la Mohammed Damaro Camara

Hii ishu nilijua utani Simba kufungua kesi kuhusu uraia wa Damaro, kumbe ni kweli wamefungua shauri. Hapa kuna shida kwa wanasheria na viongozi wa Simba kutojua maswala ya mipaka ya sheria na taratibu za FIFA zinapokomea. Na wengi wanafanana na huyu anayejiita mchambuzi nguli
Nafikiri una kumbukumbu za kesi za Simba Tff, Kesi ya Simba dhidi ya Ngassa, kesi ya Simba dhidi ya Hassan Kesy, Kesi ya yanga dhidi ya Morison na kesi ya yanga dhidi ya Kagoma ambazo zote Simba alihusishwa.
Linapokuja swala la kisheria mara zote Simba wanaibuka kidedea kulinganisha na yanga ambao wanaita mpaka press na kuwaaminisha washabiki wao kuwa wao ndio wenye haki rejea kesi ya Morisson na Kagoma.
 
Passport ya Tanzania
Kumiliki passport peke yake hakutoshi kumfanya mchezaji awe mzawa kwa mujibu wa kanuni za FIFA
2. Kanuni za FIFA Kuhusu Kubadilisha Shirikisho (Change of Association)
Kwa mujibu wa FIFA Regulations on the Status and Transfer of Players, mchezaji anapaswa:

Kupeleka maombi rasmi FIFA ya kubadilisha Member Association

Kusubiri uthibitisho wa maandishi kutoka FIFA

Kupata kibali kabla ya kucheza
siku Damaro akiitwa kuchezea timu ya taifa lake ndipo watapigwa na butwaa kwa sababu taratibu hazijafatwa.
 
Hii ishu nilijua utani Simba kufungua kesi kuhusu uraia wa Damaro, kumbe ni kweli wamefungua shauri. Hapa kuna shida kwa wanasheria na viongozi wa Simba kutojua maswala ya mipaka ya sheria na taratibu za FIFA zinapokomea. Na wengi wanafanana na huyu anayejiita mchambuzi nguli
Mtaalamu, narudi usinene ukamala. Subiri uone kete zinavyosukumwa na wanasheria wa Simba.
Hii ngoma sio rahisi kama unavyofikiria. Ingelikuwa hajatumikia timu ya taifa ya Guinea hapo kungekuwa na mashiko, tatizo ameshatumikia shirikisho moja.
 
Huyu hajapewa uraia wa kimpira mzee bali ana uraia wa nchi hivyo hakuna makosa yoyote kuchezea ligi kuu ya Tanzania. Ambacho harusiwi ni kucheza timu ya taifa ya Tanzania mpaka afuate sheria za FIFA. Nimetoa mifano kadhaa huko juu kuhusu mazingira hayo mfano ishu ya uraia wa Diego Costa na Da Silva
 
siku Damaro akiitwa kuchezea timu ya taifa lake ndipo watapigwa na butwaa kwa sababu taratibu hazijafatwa.
Damaro pamoja na kupewa uraia wa Tanzania harusiwi kucheza timu ya taifa ya Tanzania kwasababu hajabadilisha uraia wake kimpira. Ligi kuu ni mashindano yanayosimamiwa na sheria za ndani TFF na kwavile Damaro amepewa uraia wa Tanzania basi anayo haki ya kufanya kazi ndani ya Tanzania. Hakuna uvunjivu wa sheria kwa Yanga na TFF hapo
 
Ingekuwa rahisi kutoa maamuzi kila mtu angetoa maamuzi yake, ndio maana kuna vyombo kama kamati ya hadhi ya wachezaji, Fifa, Cas.
Halafu ni kweli muda wote mpaka kamati ya hadhi ya wanasheria wanapanga tarehe ya kusikiliza shauri yanga na Damaro hawakupewa taarifa, inaingia akilini.
 
Huyu hajapewa uraia wa kimpira mzee bali ana uraia wa nchi hivyo hakuna makosa yoyote kuchezea ligi kuu ya Tanzania. Ambacho harusiwi ni kucheza timu ya taifa ya Tanzania mpaka afuate sheria za FIFA. Nimetoa mifano kadhaa huko juu kuhusu mazingira hayo mfano ishu ya uraia wa Diego Costa na Da Silva
Kwahiyo leo ni mTZ hapa bongo kesho akisajiliwa APR ataenda kama mtanzania au mGuinea?
 
Ataenda kulingana na uraia wa nchi iliyo kwenye pasi yake ya kusafiria. Ulishawahi kujiuliza hilo swali kwa Diego Costa ama Da Silva ambao walikuwa wana uraia wa aina mbili tofauti? (wa kiserikali na wa kimpira)
 
Tanzania mna wajinga wengi sana asiee,na ndio maana mnaburuzwa sana na hamfanyi kitu
 
Ataenda kulingana na uraia wa nchi iliyo kwenye pasi yake ya kusafiria. Ulishawahi kujiuliza hilo swali kwa Diego Costa ama Da Silva ambao walikuwa wana uraia wa aina mbili tofauti? (wa kiserikali na wa kimpira)
Sawa sawa
 
Usijibu kama umekatwa kichwa Tanzania hairuhusu uraia pacha. Kuwa mtanzania rasmi ilibidi akane uraia wa Guinea. Amekana? Huyu kwa maelezo yako ana uraia pacha nje ya Sheria za Tanzania.
 
Usipaniki mkuu, kusema kujibu kama umekatwa kichwa ni dhahiri unaelekea kwenye kupaniki na kuingia kwenye matusi, kejeli, na mipasho.

Hiyo swala la Tanzania kutoruhusu uraia pacha sio la Yanga wala la TFF hilo ulijue kwanza. Wanachojua TFF na Yanga ni kwamba huyo mchezaji serikali imempa uraia wa Tanzania. Yeyote yule ambaye ana uraia wa Tanzania anaruhusiwa kufanya kazi nchini Tanzania kama watanzania wengineo. Hivyo kwavile ligi kuu ni mashindano ya ndani na mwenye mamlaka katika mashindano ya ndani ni FA (TFF) na kwavile Damaro tayari kapewa uhalali wa kuwa mtanzania ni ruksa kucheza ligi inayosimamiwa na shirikisho la ndani ya Tanzania na sio mpira tu bali anahesabika ni mtanzania hivyo atafanya kazi zinginezo zozote kama ilivyo kwa watanzania wengineo.

Kimpira ni raia wa Guinea mpaka pale atakapofuata taratibu za FIFA za kubadilisha uraia, inaposemwa kimpira maanake unagusa mambo ya nje ya mipaka ya Tanzania ( kimataifa) hapo taratubu za FIFA ndipo inapokuja kuhusika kwaajili ya kuweza kuchezea timu ya taifa ya Tanzania.
 
Unakumbuka kesi ya Emilio Nsue wa Equatorial Guinea, tena alicheza mpira zaidi ya miaka 11. Baadae iligundulika na yeye hakubadilisha uraia wa kimpira namaanisha shirikisho. kama unafatilia mpira utakuwa unaijua vizuri.
 
Mkuu embu basi tofautisha kati ya kucheza national team na ligi kuu. Ligi kuu inasimamiwa na FA ila mechi za national team husimamiwa na FIFA hivyo kesi ya Nsue haifanani na ishu ya Damaro hata kidogo. Ishu ya Damaro inafanana na ya Diego Costa na ya Da Silva.

Nsue alichezea timu za vijana za Spain (U17 hadi U21) katika mechi rasmi. FIFA ilikuja kugundua kuwa wakati anaanza kuichezea Equatorial Guinea mwaka 2013, alikuwa hana uraia wa nchi hiyo.

Damaro anabakia kama raia wa Tanzania kiserikali ambapo anaruhusiwa kucheza ligi kuu ya Tanzania pekee, ila kwenye upande wa national team anatambulika kuwa ni mchezaji wa Guinea hadi pale atakapofuata taratibu za FIFA juu ya kubadilisha uraia wa kimpira.
 
ishu ya Nsue si kubadilisha uraia bali ni kubadilisha shirikisho la Taifa.
Hivi unaamini mtu achezee nchi yake kwa miaka kumi bila kuwa na uraia inawezekana?
Key Aspects of the FIFA Case:
  • The Ruling: In May 2024, FIFA found that Nsue was ineligible because he played for Spain’s youth teams and did not receive proper authorization to switch associations to Equatorial Guinea.
  • Sanctions: FIFA imposed a six-month ban on Nsue from international football and fined the Equatoguinean Football Federation (FEGUIFUT) 150,000 Swiss francs.
  • World Cup Impact: Equatorial Guinea was ordered to forfeit two 2026 World Cup qualifying wins against Namibia and Liberia (originally 1-0 victories) as 3-0 losses.
  • Precedent: This was a repeat of 2013 FIFA rulings where Equatorial Guinea was ordered to default 2014 World Cup games for fielding Nsue illegally.
  • Appeals and Developments: Both Nsue and the federation appealed the ruling, citing that Nsue is Equatoguinean, with the federation president expressing confusion over the decision, arguing he has familial ties and has played for them since 2013.
  • Further Developments: The Court of Arbitration for Sport (CAS) upheld the sanction in May 2025, confirming the points deduction. However, by March 2025, FIFA officially cleared Nsue to play for Equatorial Guinea following a new request by the federation. [1, 2, 3, 4, 5, 6]
Impact on 2026 World Cup:
The forfeiture of points significantly hampered Equatorial Guinea's chances of qualifying for the 2026 World Cup, causing them to drop in the Group H rankings, with Namibia rising in contention. [1, 2]
Hakuna sehemu iliyotaja kuhusu uraia
 
Dah mkuu unaelewa unachobisha? Unakuja kuleta andiko ambalo moja kwa moja linaelezea kile kile nilichokuwa nakizungumza halafu bado unabisha.

* The Ruling: In May 2024, FIFA found that Nsue was ineligible because he played for Spain’s youth teams and did not receive proper authorization to switch associations to Equatorial Guinea."

Hapo umeelewa kwanza kilichozungumzwa? Je kilichozungumzwa kimepishana nini na nilichosema huko juu?
 
ishu ya Nsue si kubadilisha uraia bali ni kubadilisha shirikisho la Taifa.
Hivi unaamini mtu achezee nchi yake kwa miaka kumi bila kuwa na uraia inawezekana?
Key Aspects of the FIFA Case:
  • The Ruling: In May 2024, FIFA found that Nsue was ineligible because he played for Spain’s youth teams and did not receive proper authorization to switch associations to Equatorial Guinea.
  • Sanctions: FIFA imposed a six-month ban on Nsue from international football and fined the Equatoguinean Football Federation (FEGUIFUT) 150,000 Swiss francs.
  • World Cup Impact: Equatorial Guinea was ordered to forfeit two 2026 World Cup qualifying wins against Namibia and Liberia (originally 1-0 victories) as 3-0 losses.
  • Precedent: This was a repeat of 2013 FIFA rulings where Equatorial Guinea was ordered to default 2014 World Cup games for fielding Nsue illegally.
  • Appeals and Developments: Both Nsue and the federation appealed the ruling, citing that Nsue is Equatoguinean, with the federation president expressing confusion over the decision, arguing he has familial ties and has played for them since 2013.
  • Further Developments: The Court of Arbitration for Sport (CAS) upheld the sanction in May 2025, confirming the points deduction. However, by March 2025, FIFA officially cleared Nsue to play for Equatorial Guinea following a new request by the federation. [1, 2, 3, 4, 5, 6]
Impact on 2026 World Cup:
The forfeiture of points significantly hampered Equatorial Guinea's chances of qualifying for the 2026 World Cup, causing them to drop in the Group H rankings, with Namibia rising in contention. [1, 2]
Hakuna sehemu iliyotaja kuhusu uraia
Neno uraia na neno shirikisho hakuna tofauti mzee na ndio maana huko juu niliksema kuna aina mbili za uraia, kuna uraia wa kiserikali na uraia wa kimpira. Mkuu jitahidi kusoma ili uelewe badala ya kusoma ili kubishana.
 
labda tuna uelewa tofauti ungesoma hukumu yenyewe ungeelewa aau labda umesomaa hujaelewa
 
ishu ya Nsue si kubadilisha uraia bali ni kubadilisha shirikisho la Taifa.
Hivi unaamini mtu achezee nchi yake kwa miaka kumi bila kuwa na uraia inawezekana?
Key Aspects of the FIFA Case:
  • The Ruling: In May 2024, FIFA found that Nsue was ineligible because he played for Spain’s youth teams and did not receive proper authorization to switch associations to Equatorial Guinea.
  • Sanctions: FIFA imposed a six-month ban on Nsue from international football and fined the Equatoguinean Football Federation (FEGUIFUT) 150,000 Swiss francs.
  • World Cup Impact: Equatorial Guinea was ordered to forfeit two 2026 World Cup qualifying wins against Namibia and Liberia (originally 1-0 victories) as 3-0 losses.
  • Precedent: This was a repeat of 2013 FIFA rulings where Equatorial Guinea was ordered to default 2014 World Cup games for fielding Nsue illegally.
  • Appeals and Developments: Both Nsue and the federation appealed the ruling, citing that Nsue is Equatoguinean, with the federation president expressing confusion over the decision, arguing he has familial ties and has played for them since 2013.
  • Further Developments: The Court of Arbitration for Sport (CAS) upheld the sanction in May 2025, confirming the points deduction. However, by March 2025, FIFA officially cleared Nsue to play for Equatorial Guinea following a new request by the federation. [1, 2, 3, 4, 5, 6]
Impact on 2026 World Cup:
The forfeiture of points significantly hampered Equatorial Guinea's chances of qualifying for the 2026 World Cup, causing them to drop in the Group H rankings, with Namibia rising in contention. [1, 2]
Hakuna sehemu iliyotaja kuhusu uraia

Nchi nyingi Ulaya watu wana uraia pacha wa nchi zaidi ya moja, hivyo ni lazima mtu huyo asajailiwa kwenye shirikisho mijawapo kati ya nchi ambamo ni raia. Tanzania haina uraia wa pacha, kwa hiyo alipochukua uraia wa Tanzania basi akapoteza haki zake zote za nchi alikotoka.
 
labda tuna uelewa tofauti ungesoma hukumu yenyewe ungeelewa aau labda umesomaa hujaelewa
Hiyo case imekuja baada ya Nsue kuchezea national team mbili je ni lini Damaro kachezea mataifa mawili?

2) kwenye hiyo kesi hauwezi kukuta wakiongelea juu ya ushiriki wa Nsue kwenye mashindano ya ndani ( ligi kuu) bali kesi yake imehusishwa na ushiriki wake katika national team

Narudia tena ligi za ndani zinamilikiwa na FA ila mashindano ya kimataifa kama vile national team ni FIFA anayehusuka na usimamizi. Na ndio maana Nsue imemkuta hilo kwavile kachezea national team mbili pasipo kufuata utaratibu wa FIFA.
 
Back
Top Bottom