Uchambuzi wa sakata la Mohammed Damaro Camara

Ikifika mechi na Yanga ndio mambo ya uraia yana anza hiki ni kichaka kina andaliwa baada kipigo cha Saba, Damaro kacheza Singida na walikutana na Simba akiwa na huo uraia mbona haikua kesi?
Kila kitu kina timing yake. Labda hii ndio time yake who knows. Pili, hili suala mbona watu walipiga sana kelele mwanzoni wakati wako Singida hao wachezaji? Kama wewe ni mtu wa soka basi itakuwa unajua kuna Sheria za nchi na sheria za soka ambazo FIFA wanasimamia. Simba wanachodai katika taratibu za huko FIFA ndio zina shida na wala sio za uhamiaji. Kama za uhamiaji walizitimiza basi za FIFA hazikutimizwa wewe Unabisha nn? Nakupa mfano, mchezaji wa kigeni anapohama timu moja ya nchi A kwenda B, anatakiwa kufuata Sheria za FIFA pamoja na nchi B. Akishamaliza za FIFA (mfano kukubaliana Ada za uhamisho, ITC nk) anakuja kufuata Sheria za ndani ya nchi (vibali vya kazi, vibali vya kuishi nk). Nakuuliza wewe endapo huyu mchazaji HATATIMIZA mojawapo katika ya vitu hivi je ni kosa? Kama ni kosa mwanzoni lisipoonekana muda wa baadae likija kuonekana linakuwa hakuna maana tena au bado Lina mantiki?
 
Mimi ni shabiki wa Simba ila kwenye kundi la mbumbumbu simo, viongozi wetu kupitia Ahmed Ali wamekua wajanja wajanja ikifika derby wana anzisha vijisababu tuonekane tuna onewa Damaro, Keyekhe, Bada walikuwepo kwenye mechi ya nusu final ya CRDB last season tukatolewa na Singida mbona hawakulalamika? Nnacho jua sasa hivi baada ya kutuaminisha timu tunayo yana andaliwa mazingira ya kujificha endapo watapoteza mechi ya mtani
 
Kwenye Ligi ya Ndani (TFF): Barua ya Uhamiaji inatosha kumpa mchezaji haki ya kucheza kama mzawa. TFF ni taasisi inayofuata sheria za nchi, hivyo haiwezi kumnyima raia wa Tanzania (aliye na cheti halali cha Uhamiaji) haki ya kufanya kazi kama mzawa.

Kucheza timu ya taifa ya Tanzania hapa ndipo sheria za FIFA (ACT/Change of Association) zinapohitajika. Ili mchezaji achezee 'Taifa Stars', ni lazima taratibu za FIFA zifuatwe kwanza. Huwezi kuichezea timu ya taifa kwa kutumia barua ya Uhamiaji pekee bila kibali rasmi kutoka FIFA.
 
Sitetei chochote ila maswali haya yameibuka baada ya yule mchezaji wa JS Kabyle aliyepewa uraia kuja tanzania na passport ya kwao sio TZ. Nahisi baada ya hilo, ndo wakaanza kuhoji uraia na utaratibu wa huyu mwingine. Na taarifa zilizopo hata tarehe za kuzaliwa zinatofautiana Ile ya mwanzo na hii ya passport aliyopewa ya TZ.
 
Taarifa zilizopo hata hiyo passport aliyopewa tarehe zinatofautiana.
 
Watu mnachanganya kati ya uraia wa nchi na uraia wa kimpira, Damaro ni raia wa Tanzania na sio raia wa Tanzania kimpira.

Hili sakata la Damaro linafanana kabisa na ishu ya Diego Costa ( raia wa nchi vs raia wa kimpira)

Diego Costa alizaliwa Brazil, lakini baada ya kuishi na kucheza soka Uhispania kwa miaka mingi (akiwa Atletico Madrid), alipata Uraia wa Uhispania (Naturalization) mwezi Julai 2013.

Mara tu alipopata pasipoti ya Spain, Atletico Madrid walimfuta kwenye orodha ya wachezaji wa kigeni"(Non-EU players). Alianza kucheza kama mzawa/raia wa Uhispania mara moja bila kuhitaji kibali cha FIFA, Ni kama ilivyokuwa Damaro na Singida black stars.

Sasa ishu ikaja kwenye Uraia wa Mpira (The FIFA Conflict)

Costa alikuwa ameshacheza mechi mbili za kirafiki kwa timu ya taifa ya Brazil mapema mwaka 2013.
Baada ya kupata uraia wa Spain, alitaka kuichezea Spain.lakini Brazil waligoma, wakidai kuwa yeye ni mchezaji wao "kimpira
Ilibidi mchakato uende FIFA. FIFA iliamua kuwa kwa sababu mechi alizocheza Brazil zilikuwa za kirafiki (sio za mashindano rasmi), anaweza kufanya Change of Association (ACT) hivyo Costa alicheza kama mzawa klabuni (Atletico Madrid) kuanzia Julai 2013, lakini hakuruhusiwa kuichezea Timu ya Taifa ya Spain mpaka mwezi Machi 2014 baada ya makaratasi ya FIFA (ACT) kukamilika.

"Mcheki Diego Costa: Alipata pasipoti ya Uhispania na akaanza kucheza kama mzawa klabuni kwake (Atletico Madrid) bila shida yoyote, kwa sababu sheria za nchi (La Liga) zilimtambua kama raia. Lakini, alilazimika kusubiri vibali vya FIFA (ACT) kwa miezi kadhaa ili aruhusiwe kuichezea Timu ya Taifa.
Hivyo, Damaro kuwa raia wa Tanzania kunampa haki ya kucheza Ligi Kuu kama mzawa mara moja, lakini haimfanyi kuwa mzawa wa 'kimpira' mbele ya FIFA mpaka taratibu za kimataifa zikamilike."

Mfano mwingine wa uraia wa nchi vs uraia wa kimpira ni mchezaji Eduardo da Silva ( Brazil vs Croatia)

adakiss23 , chilonge , rodrick alexander
 
Sitetei chochote ila maswali haya yameibuka baada ya yule mchezaji wa JS Kabyle aliyepewa uraia kuja tanzania na passport ya kwao sio TZ. Nahisi baada ya hilo, ndo wakaanza kuhoji uraia na utaratibu wa huyu mwingine. Na taarifa zilizopo hata tarehe za kuzaliwa zinatofautiana Ile ya mwanzo na hii ya passport aliyopewa ya TZ.
Mkuu, kwani kuna uthibitisho wowote kuwa alipokuja hakutumia passport ya Tanzania?
 
"Kama wanacheza ina maana wamekidhi vigezo " basi hata huyo Damaro amekidhi vigezo ndio maana anacheza
umeelewa pointi ya simba kuuliza uadilifu wa TFF, ina maana wanaweza kucheza lakini hawajakidhi vigezo
 
Sitetei chochote ila maswali haya yameibuka baada ya yule mchezaji wa JS Kabyle aliyepewa uraia kuja tanzania na passport ya kwao sio TZ. Nahisi baada ya hilo, ndo wakaanza kuhoji uraia na utaratibu wa huyu mwingine. Na taarifa zilizopo hata tarehe za kuzaliwa zinatofautiana Ile ya mwanzo na hii ya passport aliyopewa ya TZ.
Uraia unaweza kubadilika inawezekana kaamua kurudia passport yake ya zamani
 
Hata kama Yanga na TFF wana hoja za kujibu, sidhani kama Simba ina viongozi wenye mbupu za kuweza kutingisha kiberiti hiki. Yaani waende kumchafua Mwigulu wakati kila dirisha anawapa mchezaji bure?

Inawezekana kabisa huyo Damaro hajakamilisha taratibu za FIFA ambazo zinamaanisha Yanga anaweza kupokonywa point za CAF za msimu huu, kupigwa faini na labda hata kifungo fulani (sijajua adhabu hasa inasemaje). Hata upewaji wake wa passport ya Tanzania una maswali mengi sana.

Hapa tunachezewa siasa tu na timu zote mbili. Wote wahuni tu wanatuona mafala. Kesi ya Yanga kuchangia kwenye siasa liliishia wapi?
 
Inapofika dabi lazima Simba walete vipengele kwa vile wanajikuta wamebanwa sana na tumbo la kuharisha.
 
Na kwa vyovyote itakavyokuwa, Yanga hawajibiki katika hili sakata bali ni serikali kupitia uhamiaji ndiyo iliyompa uraia Damaro akiwa ni mchezaji wa Singida black stars na yupo Yanga kwa mkopo tu. Hivyo Yanga wamesajili mchezaji ambaye tayari alishapewa uraia kabla hata hajasaliwa na Yanga

Meza anayojaribu kuitikisa Simba ili kukimbia mechi ya derby ni meza za VVIP ambayo Yanga hayumo humo. Hapo ni Simba vs serikali View attachment 3546978
Umeelewa mada?
 
sheria za mpira ziko chini ya FIFA na sio serikali
Passport ya Tanzania
Kumiliki passport peke yake hakutoshi kumfanya mchezaji awe mzawa kwa mujibu wa kanuni za FIFA
2. Kanuni za FIFA Kuhusu Kubadilisha Shirikisho (Change of Association)
Kwa mujibu wa FIFA Regulations on the Status and Transfer of Players, mchezaji anapaswa:

Kupeleka maombi rasmi FIFA ya kubadilisha Member Association

Kusubiri uthibitisho wa maandishi kutoka FIFA

Kupata kibali kabla ya kucheza
 
Soma post namba 48 nimefafanua hilo jambo
 
andiko hili limedadavuliwa kutoka kwenye andiko cha mchambuzi nguli wa michezo Tanzania ORUMA
Simba SC wanaandaa barua rasmi kwa TFF (Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania) kupinga uhalali wa mchezaji Mohammed Damaro Camara kutumiwa kama mchezaji mzawa badala ya mchezaji wa kigeni.

HOJA KUU ZA SIMBA SC

1. Suala la Passport
Simba wanadai taratibu za nchi zimekiukwa wakati Camara alipopewa Passport ya Tanzania
Kumiliki passport peke yake hakutoshi kumfanya mchezaji awe mzawa kwa mujibu wa kanuni za FIFA
2. Kanuni za FIFA Kuhusu Kubadilisha Shirikisho (Change of Association)
Kwa mujibu wa FIFA Regulations on the Status and Transfer of Players, mchezaji anapaswa:
[emoji736]
Kupeleka maombi rasmi FIFA ya kubadilisha Member Association
[emoji736]
Kusubiri uthibitisho wa maandishi kutoka FIFA
[emoji736]
Kupata kibali kabla ya kucheza
[emoji777]
Simba wanadai hatua hizi hazikufuatwa

USHAHIDI WA ZIADA - KESI YA JOSEPHAT ARTHUR BADA
Hii ndiyo hoja yenye nguvu sana:
Mchezaji Josephat Arthur Bada (ambaye pia alipewa Passport ya Tanzania kama Camara) alitumia Passport yake ya Ivory Coast (si ya Tanzania) wakati alipokuja Tanzania kwa mechi ya JS Kabylie vs Yanga katika mashindano ya Afrika.
Hii inamaanisha:
Kama Bada kweli angekuwa raia wa Tanzania, angetumia passport ya Tanzania
Kutumia passport ya Ivory Coast kunaonyesha uraia wa Tanzania unaweza kuwa wa mashaka
Inatoa mfano wa moja kwa moja kuhusu jinsi passport za Tanzania zinavyoweza kutolewa kwa njia zisizo halali

ATHARI ZINAZOWEZEKANA
Kama madai ya Simba yatathibitishwa:
Kwa Klabu inayomiliki Camara (inawezekana Yanga SC au klabu nyingine):
Kupoteza pointi za mechi zote alizocheza
Faini kubwa kutoka TFF na huenda FIFA
Kupunguziwa pointi au adhabu nyingine
Kwa TFF:
Uchunguzi wa FIFA kuhusu uadilifu
Vikwazo vinavyowezekana kutoka FIFA
Aibu ya kimataifa
Kwa Mpira wa Tanzania:
Uadilifu wa ligi utakuwa mashakani
FIFA inaweza kuingilia kati

MTAZAMO WA KISHERIA (FIFA Regulations)
Kifungu muhimu ni Annexe 1 ya FIFA RSTP kinachosema:
Mchezaji ambaye ana uraia wa nchi zaidi ya moja na ameshacheza kwa timu ya taifa ya nchi moja, anaweza kubadilisha tu kwa masharti maalum ya FIFA - si kwa kupata passport tu.
Pia Article 5 ya FIFA RSTP inasisitiza kwamba:
Mchezaji anapaswa kusajiliwa na Member Association moja tu kwa wakati mmoja, na uhamisho kati ya associations lazima ufuate taratibu rasmi.

HITIMISHO
Sakata hili ni kubwa na linaweza kuwa na athari za muda mrefu kwa mpira wa Tanzania. Kama FIFA itafungua uchunguzi, matokeo yanaweza kuwa makubwa sana kwa wadau wote waliohusika. Suala la msingi ni kwamba passport si sawa na eligibility ya kucheza mpira - hizi ni taratibu mbili tofauti kabisa.
Hii ishu nilijua utani Simba kufungua kesi kuhusu uraia wa Damaro, kumbe ni kweli wamefungua shauri. Hapa kuna shida kwa wanasheria na viongozi wa Simba kutojua maswala ya mipaka ya sheria na taratibu za FIFA zinapokomea. Na wengi wanafanana na huyu anayejiita mchambuzi nguli
 
Hata kama Yanga na TFF wana hoja za kujibu, sidhani kama Simba ina viongozi wenye mbupu za kuweza kutingisha kiberiti hiki. Yaani waende kumchafua Mwigulu wakati kila dirisha anawapa mchezaji bure?

Inawezekana kabisa huyo Damaro hajakamilisha taratibu za FIFA ambazo zinamaanisha Yanga anaweza kupokonywa point za CAF za msimu huu, kupigwa faini na labda hata kifungo fulani (sijajua adhabu hasa inasemaje). Hata upewaji wake wa passport ya Tanzania una maswali mengi sana.

Hapa tunachezewa siasa tu na timu zote mbili. Wote wahuni tu wanatuona mafala. Kesi ya Yanga kuchangia kwenye siasa liliishia wapi?
Lini Mwigulu aliwapa Simba mchezaji bure au unasikiliza propaganda za msemaji wa Singida Black Star ambaye hata mchezaji akisajiliwa hana taarifa kamili.
 
Back
Top Bottom