Uchambuzi wa sakata la Mohammed Damaro Camara

Uchambuzi wa sakata la Mohammed Damaro Camara

Hiyo case imekuja baada ya Nsue kuchezea national team mbili je ni lini Damaro kachezea mataifa mawili?

2) kwenye hiyo kesi hauwezi kukuta wakiongelea juu ya ushiriki wa Nsue kwenye mashindano ya ndani ( ligi kuu) bali kesi yake imehusishwa na ushiriki wake katika national team

Narudia tena ligi za ndani zinamilikiwa na FA ila mashindano ya kimataifa kama vile national team ni FIFA anayehusuka na usimamizi. Na ndio maana Nsue imemkuta hilo kwavile kachezea national team mbili pasipo kufuata utaratibu wa FIFA.
Damaro kacheza timu ya taifa ya vijana ya Guinea kama Nsue alivyocheza timu za taifa za vijana za Hispania.
Kwenye ruling wamesema wazi
  • The Ruling: In May 2024, FIFA found that Nsue was ineligible because he played for Spain’s youth teams and did not receive proper authorization to switch associations to Equatorial Guinea.
 
Damaro alivyochezea timu ya taifa ya vijana ya Guinea akachezea timu ipi nyingine ya taifa ili umlinganishe na Nsue?
 
Back
Top Bottom