Uchambuzi wa Clouds 360 na STAR TV

muzi

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,039
1,453
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!!!!!

Kwa ujumla ukijaribu kuangalia uchambuzi wa magazeti kati ya Clouds 360 na STAR TV unaona tofauti kubwa. Clouds 360 jamani story tena hazina mvuto wala haiwasaidiii watanzania, tena inafikia mahala mnasema ya kwenu ambayo hayajaandikwa. Nafikiri hamjakomaa kwenye kazi hiyo, mbona wenzenu wa
Clouds Radio wapo vizuri???. Tangu mlivyosifiwa na mkuu wa kaya yaaani ndo mnaboronga kabisa tena mnaboa kabisa. Habari zinazokosoa serikali mna skip, waulizenu Tb... viewers wanapungua kila wakati, shauri yenu. Mmesahau tembo akisifiwa sana....................
STAR TV
Bravo, no one like you. Kwa kweli mpo makini na mna weledi kwenye kazi yenu. Kinachonifurahisha ni kugusa angle zote pasipokupendelea upande wowote either wa serikali, upinzani, na kadhalika. Mwanzo mwisho mpo focused and alreday planned what to hit on the spot. Sio wale wengine wakifika pale ndo wanaaza stori wa wake, watoto, marafiki, kabla ya kuanza kazi. Mwendelee hivyo hivyo watanzania wanawakubali, hata kama hamjasifiwa na mtu mmoja lakini jueni mamilioni wa wananchi wanawakubali na wapo nyuma yenu. Keep it up
 
Back
Top Bottom