USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,674
- 25,434
Jana baada ya kuangalia BBC SWAHILI DIRA YA DUNIA wakaja hao wajamaa wanaitwa FUTUHI kwa English Comedy hapo kuna jamaa anaitwa Sharobaro wa Kihaya kuja a mmoja kujikomboa ngozi kama mkongo vile aliwaita walimu wajinga sana, wapumbavu sana bila aibu huku akionekana kukerwa michango ya shule.
Kwa kuwa lengo la maigizo ni kufikisha ujumbe kwa hadhira basi jana alifanikiwa kuwadhalilisha walimu tena kwa kurudia rudia.
Kwa kuwa star TV mpo humu nawaomba mkawaombe radhi walimu tena kwa kurudia rudia matangazo ya radhi kabla walimu hawaja fika mahakamani kuwasulubu.