UCHAMBUZI: UKAWA epukeni kufanya makosa kama ya CCM wakati wa kampeni

Mgombea wa ccm aliongea kama anagombea udiwani,mihemko,haraka,panic...hakujiandaa kwa hiyo nafasi.
Ahadi lukuki alizotoa ameongea kibinafsi sana,aelewe ahadi hizo wenzake wameshindwa kutekeleza ndani ya ccm kwa zaidi ya miaka 30.

Kwa ufupi LOWASSA ndo mwarobaini.
Nimegundua lowassa akiongea ata maneno matatu tu nafsi za wa Tanzania wengi zinatulia maana anaongea kama kiongozi haongei kama kasuku huyu anaye karirishwa vitu vingi vya uwongo !
 
6/ Jukwaa la CCM limejaa mafisadi kama wengi sana kitu kilicholeta taswirq mbaya kwa jamii hivyo UKAWA hawa mafisadi mf Mamvi& Suma wasiwepo Jukwaani kabisa
 
huna lolote wewe, tulichoona ni ccm imeonyesha ukomavu na unguri wake ktk siasa za bongo, Magufuli kaonyesha ubora wa hali ya juu wa kuongea na kujenga hoja na ameonyesha hasa ni raisi mwenye udhati wa kuwatumikia wa tz na kuingoza nchi yetu kuwa ya viwanda na kutatua tatizo la ajira

Siku ya leo CCM wamezindua kampeni zao za Urais katika viwanja vya Jangwani, mwelekeo mzima wa kampeni za CCM umeoneka leo, kuna kasoro kubwa sana katika uzinduzi huo, na hapa nitazijadili ili UKAWA wasijaribu kabisa
Kuiga, na wajaribu kwa gharama yoyote ile kuziepuka.

1/BURUDANI
Leo ilikuwa ni tamasha la bure la burudani kwa wakazi wa Dar. Burudani ilianza toka saa tano asubuhi mpaka usiku imeendelea. Hichi kitu hakina mantiki kabisa, ni kupoteza muda kwa watanzania wenye kiu ya kupata mabadiliko.

2/KUBEBA WATU.
Huu umekuwa ni utamaduni wa kawaida sana kwa CCM, hauna faida yoyote kisiasa, ni mtindo wa woga tu, unafanywa kukwepa aibu tu, haina mantiki yoyote, ni ujinga mtupu.

3/WINGI WA WATOA HOTUBA.
Kulikuwa na utitiri wa makada wa CCM kutoa hotuba. Kulikuwa na mlolongo mrefu wa ajabu ajabu kabla ya Magufuli kuhutibia. Huo mtindo unachosha sana wahudhuriaji. Wingi wa wahutubiaji anaweza kuharibu badala ya kujenga, kila mmoja anaweza kuropoka tu.

4/LUGHA CHAFU.
Wengi wa wahutubiaji wa CCM wa leo walikuwa wanatukana, wanaropoka, wanapiga vijembe, wanatoa mipasho. Hii haijengi kisiasa, inatoa hamasa tu kwa wanaCCM wenye mihemko ya haraka lakini haiwezi kamwe kumvutia mtanzania wa kawaida isiyeipenda CCM.

5/UVUNJIFU WA SHERIA.
Sheria na kanuni za kampeni za mwaka huu zilizotolewa na NEC na jeshi la polisi zimeshuhudiwa kuvunjwa hadharani na wazi wazi. Kwa mfano
-Maandamano yasiyo rasmi.
-Matusi ya nguoni majukwaani.
-Malori kubeba watu
-Taasisi za umma, serikali na jeshi kujihusisha na kampeni.
-Kupiga kampeni hata baada ya saa 12jioni

.
 
Hivi yule major Wa jeshi mpambe Wa jk kumpigia salute magufuli ndio nn
 
-Kupiga kampeni hata baada ya saa 12jioni.
...ccm wamepanick sana....hajajipanga...na wanategemea watawala wenye dola ili kufanikisha mambo...ndio maana wameweza hata kupitiliza muda uliopangwa...
....wameanza vibaya na misururu ya mihotuba ya vijembe...huku wakisahau kumpa muda wa kutosha mhusika wao mkuu Magufuli kunadi sera zake....matokeo wameishia kumtoa kwenye steji kabla hajamaliza kwa kuishiwa muda...Huu ni upungufu mkubwa...na UKAWA lazima wajiufunze....wala wasizidishe muda wao waliopangiwa...ili kwaonyesha nidhamu ccm wanaotegemea dola....Naona dola ikifanikisha mambo ya ccm kwenye uchaguzi huu...
 
huna lolote wewe, tulichoona ni ccm imeonyesha ukomavu na unguri wake ktk siasa za bongo, Magufuli kaonyesha ubora wa hali ya juu wa kuongea na kujenga hoja na ameonyesha hasa ni raisi mwenye udhati wa kuwatumikia wa tz na kuingoza nchi yetu kuwa ya viwanda na kutatua tatizo la ajira
Unaonge bila mpangilio kama uliekula kinyesi cha fisi!! What kind of person are you??!
 
Raisi Kikwete leo kavunja ukimya baada ya
kusema CCM mwaka huu haikutaka raisi mwenye
mikindomikindo, kwa kauli hii ni wazi kabisa
Lowasa ana madhambi na makindo mengi
ambayo tulio nje hatuyajui. Taadhari EL sio wa
kuaminiwa tena hafai hata kuongoza mtaa wa
nyumba kumi.
 
Wajikite zaidi katika sera na hoja za kuwakomboa wananchi

Ilani ilikuwa inatengenezwa na Slaa sasa mmemtosa.

Ukawa itakuwa na sera gani?

Mgombea katoka ccm halafu mgombea mwenza katoka CUF na wanagombea kupitia Chadema??
 
Muwakilishi wa Boda Boda anasema hawaungi mkono UKAWA kwa sababu hawana DOLA!!
 
Mgombea wa ccm aliongea kama anagombea udiwani,mihemko,haraka,panic...hakujiandaa kwa hiyo nafasi.
Ahadi lukuki alizotoa ameongea kibinafsi sana,aelewe ahadi hizo wenzake wameshindwa kutekeleza ndani ya ccm kwa zaidi ya miaka 30.

Kwa ufupi LOWASSA ndo mwarobaini.

Kupanic Kwake Kukamfanya Aombe Huruma Ya Watanzania Wasije Waka Iua CCM.
 
Hasante mkuu kwa ushuri wako wa bure. Pia mie nawashauri waachane na kujibu mitusi. pia waachane na mbwembwe zisizo na faida kama vile kusema kofia yangu oyeee!, Miwani yangu Oyeee!Kijasti bikozi changu hoyeeeeee!. UKAWA wajikite sana kwenye kueleza ilani yao inakitu gani, Vission yao wakiingia Ikulu watatufanyia nini watanzania.

gharama kubwa ya ushauri WA bure ni pale wale unaowashauri hawako tayari kupokea ushauri wako
 
Back
Top Bottom