adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 15,479
- 33,511
Moja kwa moja...
Kabla sijaanza mada yangu ningependa kuweka wazi msimamo wangu wa tokea awali katika yale yanayoendelea Gaza ;
1. Siwaungi mkono Hamas na njia wanazotumia ambazo hazikubaki kidini wala kikawaida tu , ukijumlisha utekaji wao wa watoto , Wazee , wanawake na makandokando yao mengine.
2. Siwaungi mkono Israel kwa unyanyasaji na maujaji ya kutisha wanayofanya kwa raia wa Palestina waliokuwa na hatia ,their actions are unjustifiable..na yeyote anayewaona Hamas Magaidi wanafanya unyama huku akisapoti Israel kuwaona wanafanya ya sawa kwa kuua raia huyo Mtu sina cha kumsaidia , He is worse than a dog.
www.jamiiforums.com
Twende kwenye Mada
Ipo wazi na Inafahamika kuwa chanzo Cha machafuko middle East ni Iran hayo sio maneno yangu , Viongozi wakubwa wa Marekani na Israel wamekuwa wakisema mara kwa mara na ushahidi upo wazi kwamba Iran inasapoti vikundi mbalimbali vya kigaidi tena kwa Msaada mkubwa wa silaha na mengineyo.
Sasa kwa nini Marekani na Israel wasiungane kwa pamoja na nguvu zao zote za kijeshi na kiintelijensia kuondoa chanzo cha matatizo ? maana unampiga Leo hao wanaojiita Hizbulllah , Houth , Hamas kesho Iran anaongeza nguvu mashambulizi ya kigaidi yanatokea tena halafu unapambana na vidagaa unaliacha Kambale likinenepa hiyo ni sawa ?
Isitoshe unaenda kupiga Gaza , Yemen , Lebanon na kufanya mauaji ya raia wengi na kuharibu miundombinu na kusababisha hali mbaya za kibinadamu huku chazo cha matatizo unamlea na kumuacha akila urojo.
Kupiga matawi na kuacha mzizi ni useless maana mziziz unaweza kusababisha mmea kushamiri tena , kuzaliwa kwa matawi mapya au ya Zamani yalikuwa dhaifu kupata nguvu tena . Na tumeshuhudia Netanyahu anaishia kulalama tu kuwa Iran chanzo Cha matatizo na kugeuka kuwa chawa wa Iran mara kwa mara bila kufanya serious and significant military action ya kuondoa mizizi ya Ugaidi na US nae amekuwa mtu wa mikwara tu.
Sasa waache kuonea dagaa na kuua Raia wafanya combination na waondoe mizizi ya Ugaidi bila ya hivyo tutajua kuwa lao ni Moja au wana maslahi na Ugaidi unaendelea kutokana na Fact waliwahi kupiga Afghanistan hata Iraq kumtoa Saddam Hussein lakini miaka nenda rudi wanamlea Iran.
#Uzi Unaendelea

Nawalaumu sana Hamas, Serikali ya Israeli pamoja na wale wanaowaunga mkono
Moja kwa moja.. 1. Kwa nini nawalaumu Hamas ? Sikatai ukweli kwamba Raia wa Palestine wameishi kwa mateso miaka mingi chini ya utawala wa Wazayuni,wakiuwawa kunyimwa haki za msingi nk na nakubali kwamba wanayo haki ya kupambana katika kujikomboa na madhila wanayopitia. Ninapowapinga ni njia...