Uchakachuaji wa mafuta ya alizeti ya Singida

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,668
30,551
Kwa mlioona jioni hii kulikuwa na mada kuhusu Yale mafuta ya Singida ya alizeth kwanini wengine wanakomaa elfu 16 wengine hadi elfu 12.

Mmoja wa wauzaji akakiri kuna changamoto mafuta mengi yanayouzwa kwenye mikono kwa kuwapa abiria kwenye mabasi wanakuwa wameyachanganya na mafuta yenye choelesteral

Cha pilii wakasema wakati mwingine mkinunua dumu angalieni chini pale wanapigaga kama ngumi dumu linaingia kwa ndani, we unaona yamejaa

Na wauza chips wameanza kutuuzia kwa kuivisha na mafuta ya transformer kama ulikuwa hujui sijui kipi sio hewa uwiii.
 
Back
Top Bottom