Uchakachuaji Mafuta Unatumaliza Na Serikali Haifanyi Kitu

Nchi hii hatuna viongozi kabisa. Kwa nini lakini wote wako kimya?
Teh teh teheee......hapo umenena mkuu, maana JANA NILIKUWA NAANGALIA TBC1 KUHUSU WACHAKACHUAJI....... WE ACHA TU......MKULU WA NCHI ANAONGEA KINYOOOONGE, YAANI HATA KAMA MIMI NDIYE NINAYE CHAKACHUA SIWEZI OGOPA.......HAONGEI KITU KWA SAUTI KUU...ANABEMBELEZA BEMBELEZA TU. HAKUNA CHA KUKEMEA WALA NINI......

......MIMI NILITEGEMEA ANGEONGEA KWA SAUTI KUU.....KWAMBA HAWA LAZIMA TUFE NAO....HAIWEZEKANI WATU WACHACHE...WANATUVURUGA KIASI HIKI...

ONA SASA HADI WATU TU WA KAWAIDA WANAWATAJA WATU WANAOHUSIKA HALAFU YEYE ANACHEKA TU.............
MWAKA HUU TWAFWA.......
 
Nchi inaingia hasara ya bilioni 25-35 kwa muezi ikiwa ni pamoja na kuharibu magari ya watu. Imebainika kuwa huo ni mtandao mkubwa wa mafisadi ambao umeenea nchi nzima kwa sasa. Pamoja na polisi na vyombo vya serikali kuelezwa na wahusika juu ya mtandao huo na hata majina ya wahusika, hatua zozote zimeshindwa kuchukuliwa kwa kuwa wanaohusika ni 'vigogo na wenye ushawishi mkubwa serikalini'. Akitoa maelezo kwenye kamati ya bunge ya nishati na madini, mzee Buba
kwa kuonyesha uzito wa tatizo hilo,

"alitoa mfano wa mkutano kati yao (Tatoa)na Mkuu wa Jeshi la Polisi Inspekta Jenerali (IGP), Said Mwema, ambao aliutumia kuwataja kwa majina vigogo hao lakini, dakika chache alipotoka nje, mmoja wao alimpigia simu na kumwambia, "sawa fitna zako nimezisikia."....

Vituo vikuu vya uchakachuaji mafuta kwa kiwango cha kutisha hapa nchini ni Igunga (mkoani Tabora) na Gairo(Kilosa, mkoani Morogoro)," alisema Buba na kuwaacha wabunge wakiwa wameduwaa".

soma zaidi hapa: Vigogo watajwa mtandao wa uchakachuaji mafuta

my take:
Kila sehemu palipo na mtandao wa kutisha wa ufisadi wa mabilioni ya fedha za kitanzania-fisadi rostam aziz yupo!!! imefika wakati akamatwe na mtandao wao kwa sheria za uhujumu uchumi wa nchi kulinusuru taifa, vinginevyo... tunatwanga maji kwenye kinu!!!

Mimi naona hii amani watu wanaichezea sana.Tusije kushangaa wananchi wakichukua hatua mikononi mwao kwani inafika wakati watu tunachoka.What is the point ya kuwa na mahakama,polisi,bunge na raisi kama haya yote ya ufisadi ni vigumu kushughulikiwa?Mobutu alikuwa hivi hivi.Trust me,itatokea mtu mmoja tu kwenye army akasema sasa basi.Am not wishing for this lakini tunaelekea huko."We create our own monsters", so they say and that is the case here.Maisha si kuchekeleana.Just because umezaliwa kwenye bomba la maji isiwe tabu kwa wewe kuwanyanyasa watu na kutaka hata kile kidogo kilichopo kwenye kisima cha kijiji.
 
Nchi inaingia hasara ya bilioni 25-35 kwa muezi ikiwa ni pamoja na kuharibu magari ya watu. Imebainika kuwa huo ni mtandao mkubwa wa mafisadi ambao umeenea nchi nzima kwa sasa. Pamoja na polisi na vyombo vya serikali kuelezwa na wahusika juu ya mtandao huo na hata majina ya wahusika, hatua zozote zimeshindwa kuchukuliwa kwa kuwa wanaohusika ni 'vigogo na wenye ushawishi mkubwa serikalini'. Akitoa maelezo kwenye kamati ya bunge ya nishati na madini, mzee Buba
kwa kuonyesha uzito wa tatizo hilo,

"alitoa mfano wa mkutano kati yao (Tatoa)na Mkuu wa Jeshi la Polisi Inspekta Jenerali (IGP), Said Mwema, ambao aliutumia kuwataja kwa majina vigogo hao lakini, dakika chache alipotoka nje, mmoja wao alimpigia simu na kumwambia, "sawa fitna zako nimezisikia."....

Vituo vikuu vya uchakachuaji mafuta kwa kiwango cha kutisha hapa nchini ni Igunga (mkoani Tabora) na Gairo(Kilosa, mkoani Morogoro)," alisema Buba na kuwaacha wabunge wakiwa wameduwaa".

soma zaidi hapa: Vigogo watajwa mtandao wa uchakachuaji mafuta

my take:
Kila sehemu palipo na mtandao wa kutisha wa ufisadi wa mabilioni ya fedha za kitanzania-fisadi rostam aziz yupo!!! imefika wakati akamatwe na mtandao wao kwa sheria za uhujumu uchumi wa nchi kulinusuru taifa, vinginevyo... tunatwanga maji kwenye kinu!!!

Kwani vituo anavimiliki RA, au haupati usingizi usipomtaja RA. Kwa kweli WA-TZ hatuwezifika, badala ya kuangalia chanzo cha tatizo tunaendeleza majungu. Usipojua chanzo cha tatizo hautaweza tatua tatizo lilio mbele yako. Wewe endelea kung'ang'ana na RA kwenye kila jambo utaliwa.
 
Uwajibikaji wa watu wetu ni mdogo. Hulka ya kulindana inalitafunataifa hili.
Kama mtu anaweza kukupa information za muhimu ili uchukue hatua, kisha inageuka kuwa informer wa watuhumiwa wakati ulitakiwa uwachukulie hatua ni aibu kubwa sana. Great thinkers tupeni njia Mbadala ya kukabiliana na tatizo hili maana wenye mamlaka wanatuzunguka. Tufanyeje kama taifa kutokomeza uchakachuaji maana unaathiri uzalisha,mitambo magari na hivyo kudhoofisha uchumi pia.
 
kwani vituo anavimiliki ra, au haupati usingizi usipomtaja ra. Kwa kweli wa-tz hatuwezifika, badala ya kuangalia chanzo cha tatizo tunaendeleza majungu. Usipojua chanzo cha tatizo hautaweza tatua tatizo lilio mbele yako. Wewe endelea kung'ang'ana na ra kwenye kila jambo utaliwa.

mzizi wa mambo ni ra: Kama huamini trust me, utakuwa umepigwa upofu na hao mafisadi. Some thing should be done kunusuru taifu ndugu yangu. Think!!
 
Hivi mkuu wa kaya ukisikia haya unalala kweli?? Au unapanda zako ndege kwenda kupumzika japo siku mbili tatu! Kwa kiongozi makini majina yamekwisha tajwa lililobaki utekelezaji tu, sheria zipo za uhujumu uchumi na huo pia ni uhujumu, maana hukosi kusema utawala wako ni wa kisheria na katiba ili uwanusuru rafiki zako!
 
Kwani vituo anavimiliki RA, au haupati usingizi usipomtaja RA. Kwa kweli WA-TZ hatuwezifika, badala ya kuangalia chanzo cha tatizo tunaendeleza majungu. Usipojua chanzo cha tatizo hautaweza tatua tatizo lilio mbele yako. Wewe endelea kung'ang'ana na RA kwenye kila jambo utaliwa.

Huyo RA anakula watu? Au ataliwaje ndg yangu?
 
Uwajibikaji wa watu wetu ni mdogo. Hulka ya kulindana inalitafunataifa hili.
Kama mtu anaweza kukupa information za muhimu ili uchukue hatua, kisha inageuka kuwa informer wa watuhumiwa wakati ulitakiwa uwachukulie hatua ni aibu kubwa sana. Great thinkers tupeni njia Mbadala ya kukabiliana na tatizo hili maana wenye mamlaka wanatuzunguka. Tufanyeje kama taifa kutokomeza uchakachuaji maana unaathiri uzalisha,mitambo magari na hivyo kudhoofisha uchumi pia.

Ndg yangu iko cku itafika mwisho wao. Huu utawala mbovu namna hii, watu watachoka na hakuna atakaewazuia!
 
Nchi la mataahira hili!! Mimi naenda kulala!!! Utafikiria hatuna Rais nchi linajiendea tu!! Pam******f
 
Niliwahi kusikia katika mazungumzo haya ya uchakachuaji wafuta jamaa mmoja akesema ukiagiza lita milioni moja za mafuta ya taa ukichakachua unapata milioni 440! Nani ataacha? Labda kwa kutumia shaba! Ndiyo wataacha.
 
Back
Top Bottom