siyoi koroi
Senior Member
- Sep 6, 2016
- 177
- 214
Mipango hii michafu na ya kifedhuli ya kuvuruga uchaguzi kata ya ngarenanyuki inafanyika kwa vikao vizito maeneo ya usa river.
Vikao hivi vinahusisha viongozi wote wazito wenye mamlaka.
viongozi wote wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Arumeru.
wasimamaizi wa uchaguzi na mapolisi.
kuna mbinu kadhaa zimepangwa kwa lengo la kuvuruga uchaguzi huu.
Tunamuomba mwenyekiti wa tume afike arumeru kwa kwa hakika hali ya usalama siyo shwari kabisa