Uchaguzi wa Viongozi wa CCM Vijana na Wasomi Washiriki Kikamilifu.

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,077
2,000
Uchaguzi unaoendelea wa kuchagua viongozi wa CCM mikoani umeonyesha taswiraa nzuri kwani kwa zaidi ya miaka 25 kwa mara ya kwanza kuona kuna wagombea vijana na wenye elimu sio utajiri wakigombea nafasi mbali mbali.
Natoa pongezi nyingi kwa sektretarite ya CCM ikiongozwa na Mwenyekiti wake kwa kurudisha imani kwa wanachama wa CCM. Baada ya uchaguzi huu nategemea CCM yenye sura mpya itapatikana.
Kidumu chama cha CCM
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom