Uchaguzi wa Tanzania ni mfano wa kuigwa hapa Afrika

Ninakumbuka kauli hii ya Lipumba hii ni mara ya 3 anaitoa, aliwahi kuitoa 2005 pia, huwa anazungumza bila ushahidi wowote ule, huyu ni mtu wa kumpuuza sio mtu wa kumsikiliza.

Ninakumbuka alishauriwa sana na Profesa Safari wakati wote wakiwa CUF kutoshiriki uchaguzi wowote badala yake wadai kwanza tume huru ya uchaguzi, akamjibu Profesa Safari kwamba, wakiacha kushiriki uchaguzi ni sawa na kumsusia nyani shamba la mahindi, jambo la kushangaza baada ya kuangushwa vibaya sana katika uchaguzi huu, amesema CUF haitoshiriki tena uchaguzi wowote hadi kupatikane tume huru ya uchaguzi, sasa mtu mwenye akili za hovyo kiasi hiki bado unamuami
Wizi wa hivyo CCM haijaanza Leo, mwaka 2OOO mrema akiwa mgombea urais TLP, kituo alicho-vote yeye na my wife wake alipata ziro.
 
Wizi wa hivyo ccm haijaanza Leo, mwaka 2OOO mrema akiwa mgombea urais TLP, kituo alicho-vote yeye na my wife wake alipata ziro.
Haya ni maneno ya ujinga yanayotumiwa na losers popote pale Africa, hata Kenya Raila alishawahi kusema hivyo, hata huko Uganda Bisigye alishawahi kusema hivyo. Hayo ni maneno ya kushindwa hayana ukweli wowote.
 
Sasa unataka ushahidi upi.

Na wakati huyo mgombea ubunge wa lipumba alikwenda na familia yake ya watu 7 na yeye mwenyewe akiwa wa 8.

Wakaenda kupiga kura Cha AJABU akapata kura 000000000%.

Kweli jamani hata Kama wizi huu umezidi.

Mngemuachia japo kura yake 1

Weka ushahidi kama anayosema Lipumba ni kweli, wacha kusikiliza maneno yasiyokua na ushahidi, hayo ni maneno ya mfa maji lazima atapetape
 
Ngoja kwanza.tusifunike kombe ili mwana haramu apite, hichi nini?

Kweli tunajua CCM mnakipenda chama CHENU atukatai.

Ila kwenye ukweli mseme ukweli.

Hii ngoma mlibuma,sio bara Wala visiwani.bila nguvu ya NEC na polisi mlikuwa mnapotea

Huu ndio ushahidi?, wacha kujidhalilisha kaka, you are better than this.
Screenshot_20201101-095851.jpg
 
Sasa unataka ushahidi upi.

Na wakati huyo mgombea ubunge wa lipumba alikwenda na familia yake ya watu 7 na yeye mwenyewe akiwa wa 8.

Wakaenda kupiga kura Cha AJABU akapata kura 000000000%.

Kweli jamani hata Kama wizi huu umezidi.

Mngemuachia japo kura yake 1
Wewe unaushahidi gani kama hayo anayosema ni kweli?, sasa kila mtu akisema na wewe ukaamini tu bila hata kujiridhisha kama anayosema ni kweli, utaishi maisha ya ajabu sana.

Sasa basi niamini mimi nikisema kwamba hicho kituo alichosema huyo mgombea sipo alipojiandikisha na wala hakupiga kura hapo, na hana familia ya watu saba waluojiandikisha, utaniamini?
 
Huu ni upuuzi tupu, nani kabaini kuwa hizo ni karatasi za uchaguzi? hata wewe mwenyewe unaweza chapisha zako badia kirahisi sana, tupo majira ya technology..acheni kutapatapa kama wafa maji..Hii inaitwa FAKE news
Hata mimi ninashangaa jinsi anavyoweza kudanganyika kirahisi na habari za mitandaoni
 
Ngoja kwanza.tusifunike kombe ili mwana haramu apite.hichi nini?.
Kweli tunajua CCM mnakipenda chama CHENU atukatai.
Ila kwenye ukweli mseme ukweli.
Hii ngoma mlibuma,sio bara Wala visiwani.bila nguvu ya NEC na polisi mlikuwa mnapoteaView attachment 1620050
Kwahiyo tukiokoteza picha na kuziweka hapa kuthibitisha tunayosema, kwako huo ni ushahidi tosha?, kwa akili hizi CCM itaendelea kuongoza miaka 100 ijayo.
 
Ebu tuambie.nini kilitokea kuhusu hizo kura.
Samahani, hii yaarifa nimeikuta facebook News, chini ya hiyo taarifa kuna jamaa ameweka comment inayosomeka " Mimi na mke wangu tulimpigia kura Lisu, lakini kura zilipihesabiwa, Lisu amepata zero ", ndio nilitaka kuweka hiyo comment, badala yake imekuja habari yenyewe
 
Kwani wewe upo NEC?.
UENDA UKAWA UNAUJUA UKWELI.
Niambie ukweli kuhusu kura feki
Huo hauwezi kuwa ushahidi kaka wacha kujidhalilisha. Kwahiyo mimi niliyekuambia kwamba huyo jamaa hajajiandikisha ktk hicho kituo wala hana familia ya watu saba, utaamini?,
 
Kwani wewe upo NEC?.
UENDA UKAWA UNAUJUA UKWELI.
Niambie ukweli kuhusu kura feki
Tatizo lako unasikiliza maneno ya mitaani bila ushahidi wowote, ulipaswa kuonyeshwa hizo kura feki ambazo zimekamatwa katika masanduku ya kupigia kura, vyama husika vilipaswa kutoa ushahidi usiokua na shaka kwa kuonyesha tukio zima la kukamtwa hizo kura feki kwa kuambatanisho video, kama ambavyo wanaonyesha wanapopigwa mabomu na polisi.
 
Huu utetezi hata mtoto wa chekechea hawezi kukubali.

Bora NEC waliokataa kabisa kwa kusema hakuna kura feki zilizokamatwa Wana afadhari kuliko wewe.

Mtu makaratasi unayaona kabisa ya kupigia kura yamekamatwa lakini bado unakomaa unataka ushahidi.

Kweli kushangilia CCM inahitaji ujitoe ufahamu
Tatizo lako unasikiliza maneno ya mitaani bila ushahidi wowote, ulipaswa kuonyeshwa hizo kura feki ambazo zimekamatwa katika masanduku ya kupigia kura, vyama husika vilipaswa kutoa ushahidi usiokua na shaka kwa kuonyesha tukio zima la kukamtwa hizo kura feki kwa kuambatanisho video, kama ambavyo wanaonyesha wanapopigwa mabomu na polisi.
 
Huu utetezi hata mtoto wa chekechea hawezi kukubali.
Bora NEC waliokataa kabisa kwa kusema hakuna kura feki zilizokamatwa Wana afadhari kuliko wewe.
Mtu makaratasi unayaona kabisa ya kupigia kura yamekamatwa lakini bado unakomaa unataka ushahidi.
Kweli kushangilia CCM inahitaji ujitoe ufahamu
Yako wapi na yamekatwa na nani? Ameripoti wapi?, lazima ukikamata jinai polisi lazima wahusishwe, nje ya hapo huo ni uhuni na udaku

Hawa ndio waliotuambia kwamba Hospitali zetu zimejaa wagonjwa wa Corona lakini serikali inaficha, hawahawa walituambia bungeni kuna Corona wakakimbia kwa siku 14 baadae wakarudi humo humo kwenye Corona, hawa walituambia kwamba tutashitakiwa kwa kuzuia makinikia, vipi leo ghafla unawaamini?

Hawa watu ni wazandiki wakubwa sana, kama kweli hizo kura ni feki na walizikamata, ni kuzibiti tosha cha kupekeka mahakamani ili kufungua kesi ya kupinga matokeo, kwanini wasiende mahakamani kama wanaoushahidi mzuri kama huu? Wacheni kutulisha matango pori sisi ni watu wazima.
 
Back
Top Bottom