uchaguzi wa spika

wikama

Member
Nov 2, 2010
81
4
vipi huyu Chenge mbona kama anamponda Samweli Sitta ? hivi mnamuonaje anaweza kulimudu bunge kama alivyolimudu Sitta ? naomba maoni yenu.
 
vipi huyu Chenge mbona kama anamponda Samweli Sitta ? hivi mnamuonaje anaweza kulimudu bunge kama alivyolimudu Sitta ? naomba maoni yenu.

anaonekana ni mtu mwenye dharau sana,, maana jinsi alivyo mshusha sita haijapendeza kabisa kwa kiongozi mwenye dhamana kama yake bariadi vipi huko?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom