Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Ugumu wa Maisha na #KaziNaBata

Chama cha ACT hakiko organized kabisa, ukipiga simu makao makuu hazipokelewi hivi mna matatizo gani, ? hakuna katibu mwenezi?
 
Zito ,kama ni kweli kuna maagizo hayo kutoka kwa viongozi wa ccm kwenda kwa watendaji kata ,hili swala ni hatari sana. Sidhani kama kuandika tu hapa inatosha ,lielezeni hili swala kwa uma kwa uwazi zaidi. Vinginevyo tutaingia kwenye shida kubwa sana.
 
Kabisa. Mipango advanced kabisa. Pia anaanzisha Mkoa mpya utakaochukua Wilaya za Biharamulo, Chato, Bukombe na Kakonko. Makao makuu ya Mkoa Chato na utaitwa Mkoa wa Chato-Burigi

Nimekuja geita hapa nimesikia watu kama watatu kwenye kupiga story kufanya chato kuwa mkoa hii nchi mpk 2035 itakua kila baada ya 10km mkoa duh
 

Kila la heri ACT, Lkn mjipange kujibu tuhuma za udini kwa Chama cha ACT. Hili litqtumika kuwabomoa
 
Zitto is a snitch.....haka kajamaa kana matatizo...nilipotezwa zamani nikifikiri amebadikika bada ya dem wake wa Congo kumuacha, kumbe bado.

Huyu anatuchelewesha sana.
 
Naunga mkono juhudi kwa kuikosoa Serikali ili kuiondoa madarakani tupate fursa ya kujenga Nchi yetu kwa misingi ya haki na demokrasia

Mke wa Filikunjombe anaendeleaje?
 
Niletee na wako
Ni vizuri umeanza kujitokeza kujibu comments mbalimbali hapa jf, members walilalamika na umekuwa msikivu kwa hilo nakupongeza, ila kwa umaarufu wako ni ngumu kujibu kila comment, chagua chache zitazokujenga zaidi na chama chako kipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…