Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,554 Reaction score 110,096 Aug 31, 2024 #1 Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini? Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi? Mbona zile purukushani za wagombea kuwekeana mapingamizi na kuengua wagombea hazipo?
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini? Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi? Mbona zile purukushani za wagombea kuwekeana mapingamizi na kuengua wagombea hazipo?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,636 Aug 31, 2024 #2 Kampeni ni siku 14 kabla ya Uchaguzi 😄
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,185 Reaction score 103,520 Aug 31, 2024 #3 Ratiba ya uchaguzi/kampeni ipo.
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,852 Reaction score 58,642 Aug 31, 2024 #4 Kampeni ni siku 14 baada ya Uchaguzi
Chief Sam JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 2,579 Reaction score 4,877 Aug 31, 2024 #5 Wiki mbili yakhe umetia nia ,unaweza anza kutupa bukubuku za viroba
Sir John Deere JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 14,246 Reaction score 27,509 Aug 31, 2024 #6 Kampeni zipo ila zinapigwa kienyeji sana si unajua huu uchaguzi unahusisha viongozi wa vitongoji , vijiji na Mitaa ?
Kampeni zipo ila zinapigwa kienyeji sana si unajua huu uchaguzi unahusisha viongozi wa vitongoji , vijiji na Mitaa ?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 122,266 Reaction score 201,308 Aug 31, 2024 #7 Chief Sam said: Wiki mbili yakhe umetia nia ,unaweza anza kutupa bukubuku za viroba Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chief Sam said: Wiki mbili yakhe umetia nia ,unaweza anza kutupa bukubuku za viroba Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,670 Reaction score 14,647 Aug 31, 2024 #8 Yoda said: Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini? Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi ? Mbona zile purukushani za wagombea kuwekeana mapingamizi na kuengua wagombea hazipo? Click to expand... CCM wamesha shinda kwa kishindo kampeni za nini
Yoda said: Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini? Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi ? Mbona zile purukushani za wagombea kuwekeana mapingamizi na kuengua wagombea hazipo? Click to expand... CCM wamesha shinda kwa kishindo kampeni za nini
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,554 Reaction score 110,096 Aug 31, 2024 Thread starter #9 Benny Haraba said: CCM wamesha shinda kwa kishindo kampeni za nini Click to expand... Uchaguzi umemalizika??
Benny Haraba said: CCM wamesha shinda kwa kishindo kampeni za nini Click to expand... Uchaguzi umemalizika??
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,670 Reaction score 14,647 Aug 31, 2024 #10 Yoda said: Uchaguzi umemalizika?? Click to expand... Uchaguzi unakuwa ni ushahidi tu, swali fikirishi wasimamizi ni akina nani wanateuliwa na nani
Yoda said: Uchaguzi umemalizika?? Click to expand... Uchaguzi unakuwa ni ushahidi tu, swali fikirishi wasimamizi ni akina nani wanateuliwa na nani
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,292 Reaction score 28,722 Sep 1, 2024 #11 Yoda said: Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini? Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi? Mbona zile purukushani za wagombea kuwekeana mapingamizi na kuengua wagombea hazipo? Click to expand... Unagombea ngazi ipi na chama ipi,kwani inawezekana wenzio wameshachaguana na kuenea tayari.
Yoda said: Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini? Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi? Mbona zile purukushani za wagombea kuwekeana mapingamizi na kuengua wagombea hazipo? Click to expand... Unagombea ngazi ipi na chama ipi,kwani inawezekana wenzio wameshachaguana na kuenea tayari.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25,013 Reaction score 39,772 Sep 1, 2024 #12 Kwa kauli ya DC wa Longido hatuhitaji kampeni.