Uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA utafanyika lini?

Ni muda mrefu sasa Chama kinachojinasibu kuwa cha Demokrasia kimeendelea kuwa na Mwenyekiti asiye na Ukomo.

Matokeo yake Chama kinazidi kuporomoka kwa kasi ya ajabu kwa kuteua Katibu Mkuu asiye na uwezo na kuitupa Sera ya Kupinga Ufisadi na Kutetea Rasilimali za Nchi.

Kwa kukosa mwelekeo sasa Chama hakina Dira wala Mwelekeo zaidi ya kufanya Vurugu ndani ya Bunge na kukosoa hata yale ambayo yana tija kwa Taifa eti kwa kuwa yanafanywa na CCM.

Ndio maana nauliza hivi hakuna ukomo wa Uenyekiti katika Chama hiki ambacho kilikuwa tishio wakati wa Dr Slaa na kabla ya kuwapokea waliokataliwa na CCM?
Itafanyika siku Lumumba mtaacha uwizi
 
Ila nyie chadema fanyeni uchaguzi maana mnafanya jamaa wawe wazito kutuhudumia asee
 
Mwanachama yoyote wa CHADEMA anayeunga mkono au kushiriki kuhoji nafasi au matendo ya Mbowe ni "MSALITI".
 
Sasa kama chama hakina Dira wewe unaumia nini? Mbowe kiboko ya ccm subirini 2020 anabadilisha gia ardhini ile ya angani ilikuwa rasharasha, mana mmejitahidi kumtafutia sababu aachie uenyekiti lakini wapi mtoto wa mjini hajateteleka
 
Back
Top Bottom