Kinachoonekana mpaka sasa, uchaguzi wa mwaka 2024/2025 utakuwa ni uchaguzi wa kihistoria kabisa kuwahi kutokea katika Nchi hii.
Utakuwa ni uchaguzi wa:-
1. Kuikataa mikataba mibovu Nchini.
2. Kuwakataa viongozi mafisadi.
3. Kuurudisha utajiri wa Nchi mikononi mwa Watanzania.
4. Kuleta uwajibikaji wa viongozi wa umma.
Utakuwa ni uchaguzi wa:-
1. Kuikataa mikataba mibovu Nchini.
2. Kuwakataa viongozi mafisadi.
3. Kuurudisha utajiri wa Nchi mikononi mwa Watanzania.
4. Kuleta uwajibikaji wa viongozi wa umma.