Mhina Martin
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 204
- 261
Super groHabari wadau wa kilimo poleni na majukumu, misimu ya kilimo hii kama tunavyojua kipindi hichi kumezuka mbolea nyingi sana za makampuni tofauti tofauti za vimiminika (booster) ,na wakulimu tunazitumia na
Tunaona ubora wake naomba tushare uzoefu wa booster nzuri ulioyoitumia na kuletaa matokeo chanya kwa kiwango kikubwa katika mazao uliyolima ili wakulima wengine wapya wapate la kujifunza Nakaribisha mawazo.
Hasa ile Java nimeielewa sanayaraMila
Kiwango gani Kwa ekari?Natumia samadi ya ng'ombe na mbuzi. Haina gharama na inadumu shambani balaa. Mahindi yangu ya kijanii Hadi raha. Karibu turudi edeni
Yaramila Java ni booster au granular fertilizer ya kawaida?Hasa ile Java nimeielewa sana
Ni granular ya kawaida. Hii naweka Mara moja tu Baada ya DAP na Mazao hasa mahindi yanatoboaYaramila Java ni booster au granular fertilizer ya kawaida?
Hapo sawa nilidhani unasema eti ni booster.Ni granular ya kawaida. Hii naweka Mara moja tu Baada ya DAP na Mazao hasa mahindi yanatoboa
Sasa yenyewe ina virutubisho vya CAN na UREA kwa pamoja na phosphate ambayo ipo kwenye DAPHapo sawa nilidhani unasema eti ni booster.
Ni nzuri kuliko hata CAN
Mbona ni maalum kwa Kahawa?Hapo sawa nilidhani unasema eti ni booster.
Ni nzuri kuliko hata CAN
Wanajiandikiaga tuu lakini Haina shida kokote.Mbona ni maalum kwa Kahawa?
Unaitumia kwenye zao gani?