Uchaguzi wa Magogoni Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Uchaguzi wa visiwani baraza la wawakilishi hauna tofauti na wa serikali za mitaa,kura 3000 zinamwingiza mtu kwenye bunge la wawakilishi.Sioni sababu ya Chadema kujikita huko,wakati kura zote zipo bara.
 
Chadema hoi huko Magogoni! Kibunango, mbona leo umechanganyikiwa? Hukutaja Chadema ktk simulizi yako kwamba wamesimamisha mgombea. Nimethibitisha na Makao Makuu ya Chadema wakasema waliwaachia CUF wasimamishe mgombea wao Magogoni na kwamba viongozi wa Chadema Zanzibar wange-kampeni kusaidia mgombea wa CUF.
Kwa hiyo Chadema hawawezi kuwa "hoi" mahala ambapo hawana mgombea.
 
^^ Kwa taarifa tu, uchaguzi wa leo ni wa Mbunge, na sio wa Mwakilishi.
 
^^ Kwa taarifa tu, uchaguzi wa leo ni wa Mbunge, na sio wa Mwakilishi.

haya Jimbo la Wawi nalo lipo wazi.

Wakati wananchi wa Magogoni leo wanachagua mwakilishi wa kuziba pengo lililoachwa kwa kifo cha Mwakilishi wa CCM, Daud Hassan Daud, Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani katika Baraza la Wawakilishi, Mwakilishi wa Wawi, Soud Yussuf Mgeni, 61 (CUF), naye amefariki dunia. Mgeni alifariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam, wodi ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU).

My take: Nafikiri sasa na wabunge nao wawe na wagombea wenza kuepuka gharama za chaguzi ndogo, au waweke sheria ya kugombea ubunge sharti uwe below 50years na upimwe na daktari kuwa huna maradhi yoyote yale yatakayokufanya uwe kwenye risk ya kupoteza maisha.
 
Chadema hoi huko Magogoni! Uchaguzi uliofanyika leo tarehe 23 Mei ni kujaza nafasi iliyoachwa wazi kutokana na kifo cha Mwakilishi. Siyo ya Ubunge. Tusichanganye mambo! Hata kama ni ccm damdam, hatuwezi kuwafanya Chadema hoi mahala ambapo hawapo. Kibunango ungesema "ccm hoi huko busanda" ningekupongeza kwa uadilifu for speaking frankly.
 
Magogoni wapo Wachaga wengi tu, hapana shaka Chadema wapo vilevile!, anyway vipi kuhusu Jimbo la Kwahani, 2010 mtaweka mtu pale?
 
Hatimae CCM yatetea kiti chake kwa kishindo..! - Chadema naona wameingia mitini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom