Uchaguzi wa Madiwani kata za Arusha Waahirishwa hadi Juni 30, 2013

Laiti kama uchaguzi way meya ungefanyika kwa haki haya yasimgelitokea. E mungu wapumzishe kwa amani waliotangulia
 
Yaani nimefurahi sana maana nasafiri kwa amani. Nilihofia sana watoto wangu endapo fujo ingetokea
 
Habari hizi niza kweli nimesikia kupitia redio Triple A fm,mkurugenzi wa jiji ametoa tangazo la kuahirisha hadi juni 30 hivi.
 
Wewe uliye andika thread hii ni mwehu!!! kama umeoa mdanganye mwenzako hapo kitandani na kama ww ni bachelor kama mm tafuta wa kudanganya. TUME YA TAIFA IMEKAA UCKU WA LEO NA NANI KAWAITA? NI SERIKALIYA CHICHIEMU NINAYOHIFAHAMU MM? YA KUSHEREHEKEA YALIYOTOKEA ILI WACHAKACHUE ARUSHA? AU ARUSHA HATUOGOPI MABOMU, KUTOLEWA KUCHA KWA PISIPISI TUKO TAYARI TUKIONGONZWA NA KIJNA WETU WANAMAPINDUZI MH. GODBLESS LEMA. POLENI WAFIWA WOTE TUKO NYUMA YENU , DAMU YENU NI UKOMBOZI WA NCHI HII. VIVA CHADEMA!

acha kukurupuka kndossi
 
Last edited by a moderator:
Baada ya ccm kubanwa kila upande na kuona hawapata kata hata moja wameamua kuua ili uchaguzi usifanyike Kama ccm haitaki kushindwa kwanini wanaitisha uchaguzi? Kwani A town walikaa nila madiwani kwa muda gani?
 
Uhuru wa wapiga kura haupo hata kama mlipuko usingetokea bado siasa zetu za maji taka kutishana rushwa na madudu mengine mengi yapo na yanaoundoa uhuru halisi wa mpiga kura..
Vyama vya siasa badala ya kutetea ilani na manifesto zao wanapanda chuki sasa what is next?
 
kama ni kweli uchaguzi umeahirishwa sio mbaya japo najua wananchi wa arusha walikuwa na hamu ya kumsukuma shetani motoni ila naona amejisogezea huku yake mpk hiyo june 30,pole zangu nyingi ziwafikie makamanda waliopoteza maisha na wanaouguza majeraha huko mahospitalini,CDM simamieni huduma za matibabu kwa hawa mashujaa wetu hata kama mtaweka namba ya simu tuchangie hizo garama sio mbaya, tupo kwenye vita na muovu hivyo umoja wetu ndio ushindi wetu......
 
Problem,reaction,solution!linatengenezwa tatizo makusudi,linarudiwa tena,wanasubiri mlalamike,watumie malalamiko hayo kutekeleza agenda yao kwa kupandikiza wanachotaka mkibebe vichwani!watz kuwa makini.order inatafutwa kwa chaos hapa!
 
Hata waahirishe mpaka lini bakora zpo pale pale

Hizi ndo huwa karata zao za mwisho. Tume iliwaikuhairisha uchaguzi mwezi mmoja 2005 kama sio 2000 wakatumia mwanya huo kujipanga: waligawa rushwa haijawai kutokea, ndipowalijifunza pia kuchukua kadi za wapiga kura baada ya kuwapa rushwa.

Nasubiri intervention ya serikali kama ikishindwa this time around kutakuwakumejenga taswira mbaya sana za siasa ya tanzn. najiuliza mengi juu ya hili na hali ya amani yetu huko mbeleni.

Nasema hivyo kwasababu kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kujengeana hasira kali za kisiasa ambazo zitakuwa janga la taifa kwa uzembe wa serikali iliyo madarakani.
 
NEC na CCM hawana jipya...wanajaribu kukimbia kivuli cha CHADEMA wameshaona wameshindwa uchaguzi huo
 
Hii sasa ni zaidi ya hatari.

Tatizo la kuzoea kutawala badala ya kuongoza ndio hilo.
Mabavu mengi, akili kidogo! Hakuna tena great and wise thinkers katika kambi yenu. Mnatumia mbinu za kijinga ambazo hazijapevuka.

Iwapo udiwani yu ni hivi, ubunge je? Urais?

Sasa ndio picha inaonekana kuwa kumbe utawala wenu ulikuwa ni wa kujinufaisha nyinyi binafsi. Ingekuwa mnaongoza kwa kuwapenda watu, msingepanga njama za kuwaua mnawowaongoza, na kama hampangi kwanini iwe ni kwa CDM tu?
 
YANI CCM HAWAKO TAYARI KUTOA NCHI KWA CHAMA KINGINE? Mnaanza kuwauwa raia wasio na hatia? ALUTHA CONTINUA TUTAFIKA TU.
 
Back
Top Bottom