Uchaguzi wa CHADEMA Jimbo la Arumeru Magharibi 23/8/2014

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Jimbo la arumeru magharibi.

Walioomba nafasi za uongozi wa chama ngazi ya jimbo.

Mwenyekiti.
1. Ernest elisha sheshe- 38
2. Gibson blasius meiseyeki-106

Katibu
1. Christopher rashid njiku- alijitoa
2. Albert elias olttereu-65
3. Charles adiel abraham- 78

katibu mwenezi.
1. Boniphace barnabas kimario-67
2. Solomon onesmo mmari-75

mweka hazina.
1. Masanja mihalalo kapalatu-28
2. Olais wavii ole loibanguti-118

mjumbe mwakilishi wa wilaya mkutano mkuu taifa
1. Charles beda masumbuko-33
2. Stephano valentino hotay-23
3. Simon lawrence ole rayan-
4. Bahati daudi mollel-83

nafasi zisizozidi 4 za ujumbe wa kamati ya utensaji
1. Lucas sirikwa mollel-52
2. Lebahati ngotee mollel-45
3. Elirehema soori mollelel-29
4. Eliakimu lekeri mollel-20
5. Longidare loishiye mollel-13
6. Ngomanzito wami nyanga-102
7. William paulo mollel-34
8. Noah william lewanga-18
9. Meshack loisujaki siwandeti-62
10. Agustino christopher kimweri-83
11. Ismail loibanguti ngotee-88
 
Bawacha ngazi ya jimbo.

Mwenyekiti.
1. Getrude Samson David-4
2. Nuru Elias-19

katibu
1. Joyce Benedicto Msahizi-0
2. Upendo Onesmo John-13
3. Cesilia Thomas Hango-10

mratibu wa uenezi
1. Naini Loybanguti Mollel-16
2. Debora Kisioki Lasery-7

bavicha ngazi ya jimbo.

Mwenyekiti.
1. Maliaki Loisulie Nassary-6
2. Onesmo Lameck Kivuyo-5
3. Doctor Labaran Kivuyo-14

karibu
1. Gerald Gwandu Yohana-4
2. Ayub Exzaud Laizer-21

mratibu wa uhamasishaji
1. Einoth Francis Mollel-24

mweka hazina.
1. John S. Sipitali -16
2. Catherine Gasper Kissamo - 7

baraza la wazee ngazi ya jimbo.

Mwenyekiti.
1. Elias Said Mollel -8
2. Oloi Loilole Mollel- 21

makamu mwenyekiti
1. Justin Mangula Mollel - 10
2. Maiko Ole Loimooja Laizer -18

katibu.
1. Eliackimu lomitu mollel 10
2. Augustino k. Hongoa - 20

naibu katibu.
1. Mch Edward ole supeet mollel - 25
 
Yes ukombozi karibu,chadema ndani ya famila sasa,tutawatwanga 2015 maana hawatubabaishi.
 
by kichondi77;
Kamanda Mungu Asante kwa Tarifa Nzuri za Chama




Mkuu kichondi77 HAPO BLUE sio Mungu ni kamanda Mungi,
Najua umeteleza kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Uchaguzi unaendelea, Baraza la wazee wameshapata viongozi wao, sasa ni uchaguzi wa baraza la vijana!
 
Nafasi ya Mweka hazina inagombewa na vijana wawili. Wote wanaelimu ya chuo kikuu. Mdada na Mkaka!
 
Nafasi ya Mwenezi imeshafanyiwa uchaguzi. Sasa ni nafasi ya katibu wa Bavicha. Wapo vijana wawili. Ni makamanda kweli kweli!
 
Nafasi ya katibu imemaliza uchaguzi wake. Sasa ni nafasi ya M/kiti
 
Competition iko juu sana, na washindani karibu wote wasomi wanaoijua katiba ya chama, kanuni na taratibu...... wote wamekuwa determined kuiondoa ccm madarakani....


kwakweli hamasa ni kubwa sana
 
Wagombea wa nafasi ya M/kiti wa Bavicha umekamilika. Sasa ni Baraza la Wanawake!
 
Back
Top Bottom