Uchaguzi wa CCM Arumeru Mashariki: Siyoi ashinda na kupitishwa kukiwakilisha chama

Mkuu Matola, nitazidi kusema watu wanavamia siasa nakujifanya propagandist bila kuwa na malengo. Wanapoona tunashabikia Lowassa au Sioi awe mgombea basi tumekuwa pro Lowassa, wanapomwona Pasco anashabikia Lowassa basi amechukua bahasha au na yeye ni fisadi.

Lowassa anakuwa na wapenzi wengi si kwa sababu yeye ni msafi ni kwa sababu ya majungu ndani ya CCM, wanapomtenga kuwa yeye fisadi na kuwaacha wengine huo ni unafiki ndio maana watu wanakuwa na sympathy naye. Naweza ku bet CCM wasipoangalia watastukia yuko magogoni, nafikiri wewe nishahidi, jamaa yuko Ujerumani huku kazi inamalizwa na bwana mdogo tu. Ile mipango yao ya juzi ku publish msg za Lowassa zimekamatwa zikihusishwa na rushwa pale USA river ilikuwa ni mind set play ya TISS kuwatayarisha watu endapo jina la Sioi litakatwa.

Kuhusu kampeni za Arumeru Mashariki, Chadema wasibweteke kudhani Sioi ni mwepesi, uchaguzi uliopita mbali ya Sumari kufanya kampeni akiwa kitandani still aliibuka na ushindi, hiyo maana yake ni nini nguvu ya pesa ilitumika. Ila tofauti na sasa wakati ule CCM ilikuwa moja leo imegawanyika na kwa ninavyosikia kuna ka mgomo baridi ka naendelea, si unajua aliyetakiwa kapigwa chini, lakini CCM si wa kuaminika kama Chadema wanalitaka jimbo they should work harder.

Uchambuzi wako uko sahihi kwa asilmia zote, ila tu kidogo hapo kwenye TISS ningependa ufahamu kwamba ni Idara ambayo iko chini ya Lowasa, Mkurugenzi mkuu wa mstaafu wa TIIS Apson Mwang'onda ambaye ni swahiba mkubwa wa lowasa tayari alishawapanga vijana wake humo idarani siku nyingi ndio maana Lowasa ana uwezo wa kufanya lolote hata akiwa nje ya nchi.

Tatizo watu wengi humu ni wavivu wa kufikiri, kama Lowasa wanamuweza kwa nini walishindwa kumdhibiti asiwe mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama na mabo ya nje? hivi wana JF mnafahamu vizuri nafasi ya Lowasa kwa kuwa tu Mwenyekiti wa kamati hiyo? huyu jamaa anapokea taarifa zote za ulinzi na usalama za nchi hii kama President. kalaghabaho!!
 
Feedback, nipo nimejinyamazia kimya!. Ila pia nimegundua ni wanabodi wachache sana huwa wanaukubali ukweli halisi!, wengi zaidi huogopa ukweli halisi na badala yake kung'ang'ania ukweli wa kujifariji nafsi zao kwa kujipa matumaini ya uwongo na mwisho wa siku huishia kulia lia tuu!.

Baada ya kupitishwa Sioi, uchaguzi Arumeru ndio umemalizika!. Kinachoendelea sasa ni kwa NEC kukamilisha tuu taratibu kukidhi matakwa ya kidemokrasia kusubiria kumtangaza rasmi!.

Wenye akili wataisoma hii post na kujinyamazia kusubiria April 2!. Ving'ang'anizi wa maubishi mtaanza kubisha na kuendelea kujifariji kuwa mtu yule yule toka chama kile kile aliyeshindwa na mahututi kitandani, sasa anaweza kushindana na mwana mfalme wa mtu yule yule aliyewashinda mwanzo na akashinda!.

Wengi wanategemea zaidi kura za chuki za wana CCM dhidi ya siasa za uchifu, usultani na ufalme za CCM kwa mtoto kumrithi baba yake bila kutambua asili ya Wameru ni ufalme wa koo fulani fulani!. Jerry alikuwa ni mfalme wao na Sioi ndiye mwana mfalume!.
Kwa wapenzi wa demokrasia ya kweli mtanisamehe sana kwa kuwadondolea ukweli mchungu!. Ili kuupata ukombozi wa kweli, lazima tukubali kukimeza "the bitter pill"- Sioi ndiye Mbunge Mteule wa Arumeru akisubiri kuapishwa!.

Pasco (wa jf).

Leo ndio nimegundua ni kwa nini Ntambaswala alikuanzishia uzi jukwaa la habari na hoja mchanganyiko kuhusu Ugonjwa wa Mwakyembe. Wewe Pasco ni msemaji hata wa vitu usivyotakiwa kusema. Kama unafahamu mpango ulivyoandaliwa wa nyinyi kupata ushindi kwa njia yeyote kaa kimya. Huwezi kuwa na confidence kiasi hicho wakati mnaenda kupambana na mtu mwenye mtaji wa kura 19,000. Lazima mmeandaa kitu mnachokitegemea.
Kuongea ongea ni kutibua nyongo za wana pipozzz halafu mwisho wa siku wakinukishe huko. Hivi hivi ulianza hadi ukatibua ile ishu ya Mwakyembe halafu Ntambaswala akakukomalia baada ya ishu kutokea.
Ila this time kaka pole zenu tu, kazi yenu itakua ngumu kama kubaka simba kwani Arumeru ya Jerry si hii ya Siyoi.
Karibu Arumeru ndugu yangu Pasco.
 
Kazi kweli kweli, you are fighting to eliminate the corrupt people in the Party, but those corrupt in the party forcing you to work hard on the campaign to add their counterpart to safegard their interests.Una kazi mdogo wangu unapigania kuwaondoa mafisadi na mafisadi haohao wanakutumikisha kuwapigia debe watoto wao. Pole sana kwa kazi kubwa kama hii. This is the problem of embrassing corruption. Corruption has poisoned every important area like police, anticorruption squard, many areas including municipal councils... ,matokeo yake imekuwa kutoana roho tu.. Macho ya maarchtect of the constitutional wa nchi hii wanatazama nani anakwamisha maslahi yake badala ya kuangalia nchi yetu iko wapi na inatoka wapi. My advise to you wewe Nape ni kijana mdogo ni kama vile hawa wazee wanakuchora tu. Is time now to make the real promise of democracy .Wachangia mada wanaposema Nape ni mtoto mdogo inaniuma sana kwa sababu misemo hiyo ndiyo inayokwamisha maendeleo ya jumuia, jamii na nchi. Eti wewe mtoto mdogo unajua nini, wazee wengi hutamka hivyo, mimi nimefundiswa computer na mtoto wangu, kwa namna hiyo namheshimu. Tukiheshimiana tutafika somewhere better than today, remember we are all children of God.
 
Feedback, nipo nimejinyamazia kimya!. Ila pia nimegundua ni wanabodi wachache sana huwa wanaukubali ukweli halisi!, wengi zaidi huogopa ukweli halisi na badala yake kung'ang'ania ukweli wa kujifariji nafsi zao kwa kujipa matumaini ya uwongo na mwisho wa siku huishia kulia lia tuu!.

Baada ya kupitishwa Sioi, uchaguzi Arumeru ndio umemalizika!. Kinachoendelea sasa ni kwa NEC kukamilisha tuu taratibu kukidhi matakwa ya kidemokrasia kusubiria kumtangaza rasmi!.

Wenye akili wataisoma hii post na kujinyamazia kusubiria April 2!. Ving'ang'anizi wa maubishi mtaanza kubisha na kuendelea kujifariji kuwa mtu yule yule toka chama kile kile aliyeshindwa na mahututi kitandani, sasa anaweza kushindana na mwana mfalme wa mtu yule yule aliyewashinda mwanzo na akashinda!.

Wengi wanategemea zaidi kura za chuki za wana CCM dhidi ya siasa za uchifu, usultani na ufalme za CCM kwa mtoto kumrithi baba yake bila kutambua asili ya Wameru ni ufalme wa koo fulani fulani!. Jerry alikuwa ni mfalme wao na Sioi ndiye mwana mfalume!.
Kwa wapenzi wa demokrasia ya kweli mtanisamehe sana kwa kuwadondolea ukweli mchungu!. Ili kuupata ukombozi wa kweli, lazima tukubali kukimeza "the bitter pill"- Sioi ndiye Mbunge Mteule wa Arumeru akisubiri kuapishwa!.

Pasco (wa jf).
Pasco, mbali na nguvu ya pesa iliyotumika ilikuwa ngumu sana kwa CC kukata jina la Sioi, kwanza jamii hasa wananchi wa ARM wangefikiri wamedharauliwa kwa hiyo wangepiga kura za maruhani, pili CC haikuwa na base grounds za kukata jina lake, kumbuka kama mwanzo wasinge clear uraia wake kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kutumia njia hiyo, tatu ingawa walianza kumuhusisha na rushwa lakini ilikuwa ngumu sana kutumia mbinu hiyo kwa vile ingeingiza na wasiohusika(??) kumbuka jana kwenye kamati ya mkoa mjumbe mmoja alileta faili la Takukuru. Nne CC yenyewe imegawanyika. Mwisho sikubaliani na wewe kuwa Sioi tayari ni mbunge mteule kuna kamanda Nassari pale nafikiri anakubalika ARM.
 
Inaana ujabakiwa na ata chembe ya akili yakuweza kufikiri kua akikukutwa na atia uchaguzi utarudiwa nakulitia tafaia hasara nyingine?
 
huyu Nape angeombwa kusaidia raiasi wa marekani au Israel kutatua matatizo ya uchumi na kupunguza unemployment rate, angetoa mchango gani kwa serikali hizo? anajua kweli lolote kuhusu eurozone crisis?
 
Pasco, mbali na nguvu ya pesa iliyotumika ilikuwa ngumu sana kwa CC kukata jina la Sioi, kwanza jamii hasa wananchi wa ARM wangefikiri wamedharauliwa kwa hiyo wangepiga kura za maruhani, pili CC haikuwa na base grounds za kukata jina lake, kumbuka kama mwanzo wasinge clear uraia wake kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kutumia njia hiyo, tatu ingawa walianza kumuhusisha na rushwa lakini ilikuwa ngumu sana kutumia mbinu hiyo kwa vile ingeingiza na wasiohusika(??) kumbuka jana kwenye kamati ya mkoa mjumbe mmoja alileta faili la Takukuru. Nne CC yenyewe imegawanyika. Mwisho sikubaliani na wewe kuwa Sioi tayari ni mbunge mteule kuna kamanda Nassari pale nafikiri anakubalika ARM.
Mkuu feedback, nakubaliana na wewe kwa yote, tutakutana tena April 2 kupeana mrejesho!. All the best!.
 
Leo ndio nimegundua ni kwa nini Ntambaswala alikuanzishia uzi jukwaa la habari na hoja mchanganyiko kuhusu Ugonjwa wa Mwakyembe. Wewe Pasco ni msemaji hata wa vitu usivyotakiwa kusema. Kama unafahamu mpango ulivyoandaliwa wa nyinyi kupata ushindi kwa njia yeyote kaa kimya. Huwezi kuwa na confidence kiasi hicho wakati mnaenda kupambana na mtu mwenye mtaji wa kura 19,000. Lazima mmeandaa kitu mnachokitegemea.
Kuongea ongea ni kutibua nyongo za wana pipozzz halafu mwisho wa siku wakinukishe huko. Hivi hivi ulianza hadi ukatibua ile ishu ya Mwakyembe halafu Ntambaswala akakukomalia baada ya ishu kutokea.
Ila this time kaka pole zenu tu, kazi yenu itakua ngumu kama kubaka simba kwani Arumeru ya Jerry si hii ya Siyoi.
Karibu Arumeru ndugu yangu Pasco.
Mkuu Chilli, kama unadhani mimi ni CCM, endelea kudhania hivyo!. Na kuna wengi wanaamini mimi nalipwa na EL kumpigia debe, endeleeni kuamini hivyo!.

Mimi ni realist na ukiwa mkweli daima, sio tuu watu watakuchukia, bali pia utajenga maadui wengi kwa sababu nyingi ya siasa zetu sio siasa za reality ni longo longo nyingi, na unafki kwa kwenda mbele!.

Nimesoma mahali chama fulani ndio kimetoa fungu nene kuimarisha chama kwa jina la "feasibility study" ya mazingira ya ushindi Arumeru!. Hawa sio watu wa kuuza kura zao kwa shibe ya siku moja!.

Mtu anapotoa hoja za ushindi wa CCM Arumeru na nikatoa sababu, na kueleza kama Chadema ilishindwa na mahututi kitandani, unamtegemea mtu yule yule atamshinda mwana wa yule yule aliyewashinda akiwa hoi?.

Kunapotokea mijadala, tubishane kwa hoja kujibiwa kwa hoja na sio kumjadili mleta hoja!.

Asante kunikaribisha Arumeru, mimi muzew wa chaguzi ndogo ndogo, ndiye niliyewaletea humu jf, update za uchaguzi mdogo wa Tarime, Busanda, Biharamulo, na wakati wa uchaguzi mkuu wa 2010, mimi ndie mwana jf niliyekuwa pale matokeo rasmi yalipotangazwa niki update jf!. Kwa vile kwa maoni yangu Arumeru is done, kujahuko to its a waste!.
Asante and all the best, tukumbushane April 2 tukipeana mrejesho!.
 
Nape ni kibaraka tuu na lazima atekeleze matakwa ya boss wake lowasa,lowasa ni jembe nape na uwezi kushindana nae kivyovyote lazima ukubali huna nguvu za kushindana na lowasa sita kashindwa sembuse ww ? mpambanaji wa ufisadi wapi ww wakati ww mwenyewe ni fisadi mkubwa unatafuna tuu hela za chama na kitambi kimeota
 
baba ajamaliza 40 unasherekea ushindi upi hapo/kumbe baba alikuwa anamcheleweshea ubunge..stupidity..ningekuwa baba yake ningefufuka na kuzaba vibao kumi mfulululizo then nakufa.
 
baba ajamaliza 40 unasherekea ushindi upi hapo/kumbe baba alikuwa anamcheleweshea ubunge..stupidity..ningekuwa baba yake ningefufuka na kuzaba vibao kumi mfulululizo then nakufa.

wivu huo . Kwahiyo maisha yasiendelee kisa mzee amekufa ?
 
Uchambuzi wako uko sahihi kwa asilmia zote, ila tu kidogo hapo kwenye TISS ningependa ufahamu kwamba ni Idara ambayo iko chini ya Lowasa, Mkurugenzi mkuu wa mstaafu wa TIIS Apson Mwang'onda ambaye ni swahiba mkubwa wa lowasa tayari alishawapanga vijana wake humo idarani siku nyingi ndio maana Lowasa ana uwezo wa kufanya lolote hata akiwa nje ya nchi.

Tatizo watu wengi humu ni wavivu wa kufikiri, kama Lowasa wanamuweza kwa nini walishindwa kumdhibiti asiwe mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama na mabo ya nje? hivi wana JF mnafahamu vizuri nafasi ya Lowasa kwa kuwa tu Mwenyekiti wa kamati hiyo? huyu jamaa anapokea taarifa zote za ulinzi na usalama za nchi hii kama President. kalaghabaho!!

asante .
 
Back
Top Bottom