Uchaguzi wa CCM Arumeru Mashariki: Siyoi ashinda na kupitishwa kukiwakilisha chama

hatimae kamati kuu ya Ccm imempitisha rasmi Bw sioi sumari kuwa mgombea rasmi wa ubunge jimbo la arumeru mashariki,kupitia chasma hicho.
Tukio hili limetokea huku kukiwa na sintofahamu ya nini kinaendelea kuhusu sakata la kukamatwa kwa baadhi ya wana CCM kadhaa jimboni humo wakihusishwa na tuhuma za rushwa ,katika kinyang'anyiro hicho na mpaka sasa inasemekana wako chini ya ulinzi wa jeshi la polisi mjini arusha.tuhuma hizi zimehusishwa rasmi na mgombea sioi sumari

My take!
Kitendo cha Nape kujitokeza katika vyombo vya habari jioni hii kuutangazia umma kwa mbwembwe kuwa kampeni hizo zitaongozwa na Mhazini wa ccm Bw mwigulu nchemba,na akijitapa kuwa chama chake kitashinda.ni sawa na KULAMBA MATAPISHI YAKE,

Sioi sumari,mbali ya kuwa na mahusiano ya kifamilia na mtuhumiwa mkuu wa tuhuma za ufisadi,lakini pia hata zoezi lenyewe limechafuliwa na tuhuma lukuki za Rushwa.
Nape amekuwa akijitambulisha kama mpinga ufisadi namba moja ndani ya ccm na nilitarajia kuwa asingejitokeza hadharani kuyasema hayo aliyoyasema kama kweli ni mpiganaji wa kweli wa ufisadi ndani ya chama hicho
Naomba kuwakilisha ....
 
ccm tayari imeshashnda,cdm kwisha kazi,hapo ndo mtajuta kwenda huko arumeru,yaleyale ya uzini ya kura 280,kaz mnayo
 
ccm tayari imeshashnda,cdm kwisha kazi,hapo ndo mtajuta kwenda huko arumeru,yaleyale ya uzini ya kura 280,kaz mnayo


Shida ya CDM ni kwamba wanakubali kuibiwa ushindi kila siku.

Wahenga walisema kuwa ukikubali watu kukutia mad0l3, basi watu watafikiri kuwa unapenda hiyo kitu na wataendelea kukusokomezea mpaka siku utapopigana
 
Safi sana kamati kuu ya CCM imefanya vyema kumpitisha Sioi Sumari kwa kuwa ndiye chaguo la wanachama wa CCM waliopo Arumeru Mashariki naamini ushindi wa kishindo utapatikana kwa kuwa mtu waliyemchagua kupitia kura za maoni jina lake limepitishwa nina hakika watampigania kwa nguvu zote na kuweka tofauti zao pembeni,Kidumu Chama Cha Mapinduzi CCM!
 
Hongera sana Kamati kuu ya CCM kwa kupitisha jina la Sioi Sumari kuwa mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki mmefanya vizuri kuheshimu chaguo la wanachama wa CCM waishio Jimbo la Arumeru Mashariki mmewapa wakitakacho nina hakika wataweka tofauti zao pembeni watampigania kwa nguvu zao zote na ushindi wa kishindo utapatikana,Kidumu Chama Cha Mapinduzi CCM!
 
Hili ni pigo kubwa sana kwa genge la Kikwete. Lowassa ameshinda tena.

hivi wewe unamjua Jk au unamsikia,hivi kama kamuweza Slaa atamshindwa Lowassa?!,kwenye siasa za fitna yule mtoto wa kikwele ana PHD kama 7 hivi!,magoli yake ni ya counter attack,Slaa aliulizwa na mabalozi umeibiwa vp kura zako kakosa jibu!!
 
Pasco, mbali na nguvu ya pesa iliyotumika ilikuwa ngumu sana kwa CC kukata jina la Sioi, kwanza jamii hasa wananchi wa ARM wangefikiri wamedharauliwa kwa hiyo wangepiga kura za maruhani, pili CC haikuwa na base grounds za kukata jina lake, kumbuka kama mwanzo wasinge clear uraia wake kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kutumia njia hiyo, tatu ingawa walianza kumuhusisha na rushwa lakini ilikuwa ngumu sana kutumia mbinu hiyo kwa vile ingeingiza na wasiohusika(??) kumbuka jana kwenye kamati ya mkoa mjumbe mmoja alileta faili la Takukuru. Nne CC yenyewe imegawanyika. Mwisho sikubaliani na wewe kuwa Sioi tayari ni mbunge mteule kuna kamanda Nassari pale nafikiri anakubalika ARM.
Mkuu kwenye uraia hapo wangeweza kuutumia wakamwengua kisha baada ya muda wakamtakasa. Rejea sakata la Bashe. Alienguliwa kisha wenyewe wakamtakasa! Mkuu nadhani kulikuwa na fukuto kubwa hadi wakaenda plan B ya 50% ambayo nayo ni kwa uchaguzi huu tu hasa kwa kura za maoni za wabunge. Hivi kama ndivyo ilivyo kwamba ndani ya CCM hakuna simple majority kwa kurejea kura za maoni za urais 1995; ina maana mwaka juzi wagombea wote wa CCM walipata zaidi ya 50% kweli? Kama kura za maoni zitaendelea ndani ya CCM mwaka 2015 tutegemee kurudiwa kwa kura za maoni kila jimbo.
 
kweli Lowasa ni mvua ya mawe nape mtoto wa jana anpma maji ya bahari na rula...2015 bila lowasa kuwa rais ccm sijui haipo
 
hatuja ftna zake kwan chama ni ccm tu...ata nyerere alisema ccm si baba wala mama yake unafkr lowasa hajui kwamba si chaguo la huyo mzee wa ftna kajpanga ktambo kwa sasa hamfkrii membe..sta wala migro anapanga baraza la mawazr upo apo...atatoka kwa chama chochote upoooooooooooooooooooooo...vva lowasa mzee wa optn b na mpambanaji uliyeondoka na shule zako za kata na zahanati ulizopanga kujenga leo wazaz wetu waliokufa kwa kukosa huduma kutokana na mgoma 50% zngewaokoa ww sapota wa membe na sta upoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo 2015 kama mbwai acha iwe mbwai
 
Back
Top Bottom