Uchaguzi wa CCM Arumeru Mashariki: Siyoi ashinda na kupitishwa kukiwakilisha chama

Wana JF
Hatimaye kamati kuu ya CCM imempitisha na kumteua rasmi Sioi Sumary kuwa mgombea wa ubunge jimbo la Arumeru Mashariki.

Hivi aliyesema kuwa baba akiwa mwanasiasa na basi mtoto afuate nyayo kuziba pengo ni nani??????? tutayaona kwenye uchaguzi ila sio kwa wiziiiiiiiiiiii ccm aaaaah!
 
Mkuu Kimbunga,
Inafurahisha kuona Pro-Chadema wote wapo upande wa Lowassa, kimsingi wameishakubali wameshindwa uchaguzi.

Angalia michango yao kwenye hii thread utakubaliana na mie kwa muda mfupi wameishamsahu mgombea wao Nassari.

Kila siku nawambia ndani Chadema kumejaa mapandikizi wa Lowassa, mpaka wengine wanamuita dume la mbegu.
Naye alipotaka kupaa akawaambia...Farijianeni kwa maneno hayo....
 
Nani alisema Sioi asipitishwe, kwanza angalia siginature yangu halafu maombi yangu yote yalikuwa Sioi apitishwe hana political background zozote Sarakikya angesumbua kidogo, hata hivyo katika kampeni kumchanganya mpinzani ni moja ya propaganda nafurahi kwa vile hamkuelewa lengo langu.
Kweli wewe ni Great Thinker na umefuzu kwenye Political science, unajuwa kwa wiki hii yote mimi nimekuwa shabiki mkubwa wa Lowasa si kwamba namkubali kama kiongozi au mimi ni CCM la hasha!, bali sikubaliani na unafki wa wana CCM kumwita Lowasa ndio Fisadi wakati hakuna Mtanzania asiyeijuwa List of shame ambayo jina la kwanza ni Jakaya Kikwete.

Sasa basi kwakuwa CCM kimeonesha ni chama ambacho kupitia kura za maoni huwezi kupata mgombea safi, ni dhahiri kabisa kama kweli kuna wanaochukia rushwa ndani ya CCM, ningewaomba kupitia thread hii wampe kura zao zote za ndio Joshua Nassari wa CHADEMA. ni kuizazalisha Demokrasia kama amekufa Baba mtu halafu nafasi inakuja kurithiwa na mtoto mtu, hili halina tija katika nchi ambazo sio za kifalme.
I strong support Joshua Nassari for Arumeru Mashariki. piga chini Magamba wote.
 
Mkuu Kimbunga,
Inafurahisha kuona Pro-Chadema wote wapo upande wa Lowassa, kimsingi wameishakubali wameshindwa uchaguzi.

Angalia michango yao kwenye hii thread utakubaliana na mie kwa muda mfupi wameishamsahu mgombea wao Nassari.

Kila siku nawambia ndani Chadema kumejaa mapandikizi wa Lowassa, mpaka wengine wanamuita dume la mbegu.

Read between the line, pitia Mabandiko yangu yote wiki hii yanayohusu Lowasa kila nilipomtaja ni lazima nilitumia neno ndani ya CCM.
Lowasa mtandao wake ni ndani ya CCM tu na sio otherwise, Rais wa Watanzania ni Dr Slaa. period
 
Tuache utani wana jf Lowassa ni kiboko ,makashfa yotee lakini bado anadunda,anasikika kwa kwenda mbele.kweli pesa sio ubuyu.
 
Vyovyote itakavyokuwa, Nape amfanyie kampeni Siyoi au la, akae akijua kwamba hukumu yake ilikwisha pitishwa zamani bado utekelezaji tu.
NAPE HAYUKO SALAMA as long as those triplets are still free as they are. Maskini Nape.
Personaly i mis some point here, Nape ana uwezo gani wa kumfanyia kampeni sioyi Sumari kama yeye mwenye Nape alishindwa kujifanyia kampeni za Ubunge kwenye kura za maoni za CCM na atimaye akaangushwa na mwanamke Hawa Nghumbi?
 
Kweli wewe ni Great Thinker na umefuzu kwenye Political science, unajuwa kwa wiki hii yote mimi nimekuwa shabiki mkubwa wa Lowasa si kwamba namkubali kama kiongozi au mimi ni CCM la hasha!, bali sikubaliani na unafki wa wana CCM kumwita Lowasa ndio Fisadi wakati hakuna Mtanzania asiyeijuwa List of shame ambayo jina la kwanza ni Jakaya Kikwete.

Sasa basi kwakuwa CCM kimeonesha ni chama ambacho kupitia kura za maoni huwezi kupata mgombea safi, ni dhahiri kabisa kama kweli kuna wanaochukia rushwa ndani ya CCM, ningewaomba kupitia thread hii wampe kura zao zote za ndio Joshua Nassari wa CHADEMA. ni kuizazalisha Demokrasia kama amekufa Baba mtu halafu nafasi inakuja kurithiwa na mtoto mtu, hili halina tija katika nchi ambazo sio za kifalme.
I strong support Joshua Nassari for Arumeru Mgharibi. piga chini Magamba wote.

am surpoter of joshua kuwa mbunge wa arumeru mashariki
 
wewe ni m2mwa,utamsifiaje fisadi...sasa 2one huko meru.alimbeba batilda ngoma ikawa ngumu arusha mjini
Lowasaphobian......
Fisadi namba moja ni JK.
Pitia upya list of shame kama umeshaisahau. why mkisikia jina la Lowasa mnaweweseka kama mchawi kasikia jina la yesu?
 
Pasco uko wapi kwa hili la Lowassa tuko pamoja ingawa mengine tunapishana.

If you cant fight join the winning team.
Feedback, nipo nimejinyamazia kimya!. Ila pia nimegundua ni wanabodi wachache sana huwa wanaukubali ukweli halisi!, wengi zaidi huogopa ukweli halisi na badala yake kung'ang'ania ukweli wa kujifariji nafsi zao kwa kujipa matumaini ya uwongo na mwisho wa siku huishia kulia lia tuu!.

Baada ya kupitishwa Sioi, uchaguzi Arumeru ndio umemalizika!. Kinachoendelea sasa ni kwa NEC kukamilisha tuu taratibu kukidhi matakwa ya kidemokrasia kusubiria kumtangaza rasmi!.

Wenye akili wataisoma hii post na kujinyamazia kusubiria April 2!. Ving'ang'anizi wa maubishi mtaanza kubisha na kuendelea kujifariji kuwa mtu yule yule toka chama kile kile aliyeshindwa na mahututi kitandani, sasa anaweza kushindana na mwana mfalme wa mtu yule yule aliyewashinda mwanzo na akashinda!.

Wengi wanategemea zaidi kura za chuki za wana CCM dhidi ya siasa za uchifu, usultani na ufalme za CCM kwa mtoto kumrithi baba yake bila kutambua asili ya Wameru ni ufalme wa koo fulani fulani!. Jerry alikuwa ni mfalme wao na Sioi ndiye mwana mfalume!.
Kwa wapenzi wa demokrasia ya kweli mtanisamehe sana kwa kuwadondolea ukweli mchungu!. Ili kuupata ukombozi wa kweli, lazima tukubali kukimeza "the bitter pill"- Sioi ndiye Mbunge Mteule wa Arumeru akisubiri kuapishwa!.

Pasco (wa jf).
 
Personaly i mis some point here, Nape ana uwezo gani wa kumfanyia kampeni sioyi Sumari kama yeye mwenye Nape alishindwa kujifanyia kampeni za Ubunge kwenye kura za maoni za CCM na atimaye akaangushwa na mwanamke Hawa Nghumbi?

Loading.............
 
Feedback, nipo nimejinyamazia kimya!. Ila pia nimegundua ni wanabodi wachache sana huwa wanaukubali ukweli halisi!, wengi zaidi huogopa ukweli halisi na badala yake kung'ang'ania ukweli wa kujifariji nafsi zao kwa kujipa matumaini ya uwongo na mwisho wa siku huishia kulia lia tuu!.

Baada ya kupitishwa Sioi, uchaguzi Arumeru ndio umemalizika!. Kinachoendelea sasa ni kwa NEC kukamilisha tuu taratibu kukidhi matakwa ya kidemokrasia kusubiria kumtangaza rasmi!.

Wenye akili wataisoma hii post na kujinyamazia kusubiria April 2!. Ving'ang'anizi wa maubishi mtaanza kubisha na kuendelea kujifariji kuwa mtu yule yule toka chama kile kile aliyeshindwa na mahututi kitandani, sasa anaweza kushindana na mwana mfalme wa mtu yule yule aliyewashinda mwanzo na akashinda!.

Wengi wanategemea zaidi kura za chuki za wana CCM dhidi ya siasa za uchifu, usultani na ufalme za CCM kwa mtoto kumrithi baba yake bila kutambua asili ya Wameru ni ufalme wa koo fulani fulani!. Jerry alikuwa ni mfalme wao na Sioi ndiye mwana mfalume!.
Kwa wapenzi wa demokrasia ya kweli mtanisamehe sana kwa kuwadondolea ukweli mchungu!. Ili kuupata ukombozi wa kweli, lazima tukubali kukimeza "the bitter pill"- Sioi ndiye Mbunge Mteule wa Arumeru akisubiri kuapishwa!.

Pasco (wa jf).

Pasco
Mimi nina wewe hadi siku ya uchaguzi. Naamini utakuja na excuse kibao hapa. Nitakukumbusha yote haya
 
Kweli wewe ni Great Thinker na umefuzu kwenye Political science, unajuwa kwa wiki hii yote mimi nimekuwa shabiki mkubwa wa Lowasa si kwamba namkubali kama kiongozi au mimi ni CCM la hasha!, bali sikubaliani na unafki wa wana CCM kumwita Lowasa ndio Fisadi wakati hakuna Mtanzania asiyeijuwa List of shame ambayo jina la kwanza ni Jakaya Kikwete.

Sasa basi kwakuwa CCM kimeonesha ni chama ambacho kupitia kura za maoni huwezi kupata mgombea safi, ni dhahiri kabisa kama kweli kuna wanaochukia rushwa ndani ya CCM, ningewaomba kupitia thread hii wampe kura zao zote za ndio Joshua Nassari wa CHADEMA. ni kuizazalisha Demokrasia kama amekufa Baba mtu halafu nafasi inakuja kurithiwa na mtoto mtu, hili halina tija katika nchi ambazo sio za kifalme.
I strong support Joshua Nassari for Arumeru Mgharibi. piga chini Magamba wote.
Mkuu Matola, nitazidi kusema watu wanavamia siasa nakujifanya propagandist bila kuwa na malengo. Wanapoona tunashabikia Lowassa au Sioi awe mgombea basi tumekuwa pro Lowassa, wanapomwona Pasco anashabikia Lowassa basi amechukua bahasha au na yeye ni fisadi.

Lowassa anakuwa na wapenzi wengi si kwa sababu yeye ni msafi ni kwa sababu ya majungu ndani ya CCM, wanapomtenga kuwa yeye fisadi na kuwaacha wengine huo ni unafiki ndio maana watu wanakuwa na sympathy naye. Naweza ku bet CCM wasipoangalia watastukia yuko magogoni, nafikiri wewe nishahidi, jamaa yuko Ujerumani huku kazi inamalizwa na bwana mdogo tu. Ile mipango yao ya juzi ku publish msg za Lowassa zimekamatwa zikihusishwa na rushwa pale USA river ilikuwa ni mind set play ya TISS kuwatayarisha watu endapo jina la Sioi litakatwa.

Kuhusu kampeni za Arumeru Mashariki, Chadema wasibweteke kudhani Sioi ni mwepesi, uchaguzi uliopita mbali ya Sumari kufanya kampeni akiwa kitandani still aliibuka na ushindi, hiyo maana yake ni nini nguvu ya pesa ilitumika. Ila tofauti na sasa wakati ule CCM ilikuwa moja leo imegawanyika na kwa ninavyosikia kuna ka mgomo baridi ka naendelea, si unajua aliyetakiwa kapigwa chini, lakini CCM si wa kuaminika kama Chadema wanalitaka jimbo they should work harder.
 
Back
Top Bottom