Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Weka akiba ya maneno, anaweza kuwa mgombea urais wa chadema 2020Yule Mgaya akafie mbele
Baada ya gia kubadilishwa angani na mwenyekiti.
Weka akiba ya maneno, anaweza kuwa mgombea urais wa chadema 2020Yule Mgaya akafie mbele
Afadhali na Mungu awalaani huko waendakoWana jamvi amani kwenu.
Ninayofuraha kuwataarifu safu mpya ya shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania kama ifuatavyo.
Rais: Tumain Nyamhoka~TAGWU
Makamu: Qambos M Sule~CWT
K/Mkuu😀r Yahya Kitambazi~TUGHE
Makamu Katibu: Jones Kyaruzi ~TUICO
Mweka Hazina: James C Kalanje~RAAWU
Hongereni sana wawakilishi wetu kwa kukataa kuwa Daraja.
To do list:
Kwa kuwa wenzenu walichemka mswaada wa habari, naombeni FAO la kujitoa lirudi.
1.Jiulize utasomeshaje wanao kazi ikikoma
2.Utatibiwaje kazi ikikoma
3.Utakula nini kazi ikikoma
4.Huku ukitambua kila mwaka vijana laki nane wanamwagwa mtaani utapata wap kazi haraka haraka.
5.mtambue kuna vijana wengi wanapenda kujiendeleza baada muda flani, sekta binafsi inataka uache kazi ndio ukasome atafanyaje kijana aliyemaliza veta anataka kwenda DIT kusoma FTC na sasa yuko kigoma au karagwe.
Kila la kheri sana, fanyeni kazi
Safi sana wametuondolewa wale makada wasaliti.
Yani hakuna wapagani pale?Mbona ni wa dini moja tu
Wana jamvi amani kwenu.