Uchaguzi Serikali za mtaa, CHADEMA waambulia mtaa mmoja

Uchaguzi Serikali za mtaa, CHADEMA waambulia mtaa mmoja

Uchaguzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
914
Reaction score
171
Jana Jumapili Jijini Dar es Salaam kulikuwa na uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa katika mitaa mipya na ile ya zamani iliyotakiwa kujazwa nafasi, Kampeni zilikuwa kali zikijumuisha viongozi wa vyama vyote, hasa Chadema waliowatuma wabunge wao wote kugawana mitaa ili kuhakikisha ushindi mnono wa chama chao.

Taarifa kamili za matokeo zinaonyesha Chadema pamoja na nguvu kubwa waliotumia jijini Dar es Salaam, wameambulia mtaa mmoja wa Jogoo -Mbezi na mitaa mingine yote zaidi ya 9 ikiwa imechukuliwa na CCM.

Hii ni ishara ya nini kwa Matokeo haya hapo mwaka 2014?
 
Nimeshangazwa na kipigo hiki tena mjini Dar es Salaam.
 
Hii habari humu JF ni mkuki kwa pro CHADEMA.

cc: Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:
Hii habari humu JF ni mkuki kwa pro CHADEMA.

cc: Dr.W.Slaa

Kila mshindani huwa na kambi yake ....sema kinachokuharibu ni kushauriwa na Shoga yako au Mkeo....kule Arusha CCM walikwenda akina nani na hali ilikuwaje. This is normal in Politics...............Miaka kadhaa iliyopita hata hiyo moja haikuwepo....!! Ila pole tutaeleweshana taratibi sana mpaka utaelewa. Mie huyu ninayekwambia nilisukuma gari la JK akiwa kwenye Kampeni Dar na kugawa T - Shirt nyingi sana za CCM mwaka 2005 pale Diamond Jubileee.....nikiwa Mlimani na akina Se ya Mtemi.........Mwita Mwikwabe n.k lakini hali ya sasa ni Tofauti jitahidi kukubali ukweli ili kulisaidia taifa lako. Ndo nyie mnakuta maumbile yenu ya sehemu za siri hayafanyi kazi lakini badala ya kusema ukweli washikaji wakusaidie unakaa kimya wajamaa waanza kukugongea mke wako. Sema Ukweli watu wajirebishe.
 
Jana Jumapili Jijini Dar es Salaam kulikuwa na uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa katika mitaa mipya na ile ya zamani iliyotakiwa kujazwa nafasi, Kampeni zilikuwa kali zikijumuisha viongozi wa vyama vyote, hasa Chadema waliowatuma wabunge wao wote kugawana mitaa ili kuhakikisha ushindi mnono wa chama chao.

Taarifa kamili za matokeo zinaonyesha Chadema pamoja na nguvu kubwa waliotumia jijini Dar es Salaam, wameambulia mtaa mmoja wa Jogoo -Mbezi na mitaa mingine yote zaidi ya 9 ikiwa imechukuliwa na CCM.

Hii ni ishara ya nini kwa Matokeo haya hapo mwaka 2014?

Du nilifikiri hawakuambulia kiti hata kimoja...kama ilivyokua Arusha kwa magamba, mwelekeo 2014 smart
 
Kila mshindani huwa na kambi yake ....sema kinachokuharibu ni kushauriwa na Shoga yako au Mkeo....kule Arusha CCM walikwenda akina nani na hali ilikuwaje. This is normal in Politics...............Miaka kadhaa iliyopita hata hiyo moja haikuwepo....!! Ila pole tutaeleweshana taratibi sana mpaka utaelewa. Mie huyu ninayekwambia nilisukuma gari la JK akiwa kwenye Kampeni Dar na kugawa T - Shirt nyingi sana za CCM mwaka 2005 pale Diamond Jubileee.....nikiwa Mlimani na akina Se ya Mtemi.........Mwita Mwikwabe n.k lakini hali ya sasa ni Tofauti jitahidi kukubali ukweli ili kulisaidia taifa lako. Ndo nyie mnakuta maumbile yenu ya sehemu za siri hayafanyi kazi lakini badala ya kusema ukweli washikaji wakusaidie unakaa kimya wajamaa waanza kukugongea mke wako. Sema Ukweli watu wajirebishe.

Kipigo cha Tisa moja kimekuchanganya mpaka unanza kuwataja waliokulisha madawa ya kulevya.
kudadadeki, hapa Dar sio Rombo.
 
Umeshaambiwa wamepata mtaa mmoja hapa DAR sasa usichoelewa nini hapo...ni Arusha na Dar pia

Yaani pamoja na kutumia Mamilioni ya Shillingi, Miposho na Magari wameambulia mtaa mmoja kwa ushindi wa kura 5? hao wanastahili viboko.
 
maandamano yasio halali ni kwa CCM kwa woga wenu, lakini katiba inasema ni halali, kama mnafikiri mnaungwa mkono na wtanzania walio wengi simruhusu maandamano kama haki ilivyo kwenye katiba? acheni porojo fuateni katiba na mtoe haki lasivyo tutaitafuta CHADEMA
 
siasa ni mchakato muhimu sana katika taifa sio kudadadeki au piga bao, vyama vyote vinafaidisha wananchi wote, kusingekuwepo CHADEMA tungeshauzwa, hivyo badilisha mtazamowako kuhusu siasa, ila sikulaumu hii ndio elimu ya siasa ianayotolewa na chama chako, tuombe mungu tujepata viongozi wenye mtazamo sahihi watoe elimu sahihi ya uraia. unafikiri kwanini vio vinavyotoa walimu wa uraia kwa wingi? unazani ni bahati mbaya? au haiwezekani? wakubwa wanataka wamalize biashara zao kwanza. waingie mikataba kwa maslahi yao, wakati wewe unabaki na kudadadeki.
 
Dar wastaafu wote wako pale. CCm ndiyo chanzo cha mapato yao. Jaribu kufanya utafiti kidogo kuna ukweli wake hapo. Wakikosa mwaliko wa wazee wa Dsm basi wanaambulia hizi za khanga, chumvi, kofia t-shirt na yeboyebo! Wasomi na wafanyakazi wako busy na kazi zao. Kwa ujumla hatujitambui.
 
jana jumapili jijini dar es salaam kulikuwa na uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa katika mitaa mipya na ile ya zamani iliyotakiwa kujazwa nafasi, kampeni zilikuwa kali zikijumuisha viongozi wa vyama vyote, hasa chadema waliowatuma wabunge wao wote kugawana mitaa ili kuhakikisha ushindi mnono wa chama chao.

Taarifa kamili za matokeo zinaonyesha chadema pamoja na nguvu kubwa waliotumia jijini dar es salaam, wameambulia mtaa mmoja wa jogoo -mbezi na mitaa mingine yote zaidi ya 9 ikiwa imechukuliwa na ccm.

Hii ni ishara ya nini kwa matokeo haya hapo mwaka 2014?

ni ishara kuwa watu wa dar es salaam bado hawajui wanakoelekea.
 
Pamoja na yote ni aibu kubwa kwa DAR kuwa pango la watu woga, cha kale dhahabu, kumbe kweli pamoja na ujanja mwingi dar, ukombozi utaletwa na watu wa mikoani na vijijini.
 
Nyie ni waongo,

Ina maana chadema ni Arusha tu??
Walianza CHADEMA ni ya wachaga (KILIMANJARO TU), sasa wanasema ARUSHA TU, wanasahau kwamba Kagera ndio mkoa uliopigia kura kwa CHADEMA kwa asilimia kubwa kuliko mikoa yote nchini mwaka 2010. Sio ajabu ukasikia wakija kusema CHADEMA ni KAGERA TU, na baadae MWANZA TU mwisho ni TANZANIA TU !
 
Watu wanachoshindwa kuelewa ni kitu kimoja, ukweli mchungu , Dar es salaam watu wapo aina mbili wanaojiweza kiuchumi na wasiojiweza , kwa mwendo ule wa kuhonga na kutumia nguvu ya pesa kwa watu katika uchaguzi wa serikali za mitaa ccm lazima washinde, wanatumia umasikini wa watu kulazimisha ushindi,
 
Back
Top Bottom