Uchaguzi Serikali za Mitaa: CCM wampitisha tapeli, mwizi na jambazi kuwa mwenyekiti wa mtaa wa Nyambwera kata ya Tandika Temeke

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
UCHAGUZI WA WIZI NA WAGOMBEA WAO NI MAJAMBAZI.

Ndugu Bushiri Ally Nassoro (Pichani) leo hii hii, tarehe 18 November 2019 Amekamatwa na Maafisa wa Uhamiaji kwa tuhuma za kuwatapeli na kuwalaghai wateja wanaokuja kupata huduma za kiuhamiaji katika ofisi ya Uhamiaji Makao Makuu Kurasini, Dar es slaam.

Ndugu Bushiri pia ndio mgombea kwa nafasi ya Uenyekiti kupitia tiketi ya ccm kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa na ambae tayari amepita bila kupigwa kutokana na kadhia ya hujuma zilizofanywa na TAMISEMI na kupelekea vyama makini vya upinzani kujiondoa kwenye uchaguzi huu haramu.

Ndugu Bushiri Ally ni mgombea kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa na ambae amepita bila kupingwa kama nilivyotangulia kusema kupitia tiketi ya ccm kwenye Mtaa wa Nyambwera, kata ya Tandika ndani ya jimbo la Temeke.

Nini maoni yako.

A. Ndambo
FB_IMG_1574098238058.jpg
 
... jamaa yupo yupo tu, na hilo shati la kijani limempendeza kweli!

#copyright
 
Pale Mbezi - Mpigi Magohe kuna S.Duchile kapita bila kupingwa licha ya kutolewa taarifa ya mwenendo wa tabia zake lakini wana CCM na wananchi walipuuziwa huyu labda abanwe na kanuni za uongozi toka kwenye chama hama ashushiwe nehma toka kwa Mora aache utapeli wa mashamba na ujinga mwingine.
 
Habari hii mbaya haitadumu hapa muda Mrefu,ila kwenye mambo hayo hawa jamaa ni wabobezi wanatofautiana tu urefu wa kamba.Kila mmoja kwa nafasi yake,kiujumla huwezi kuwaweka mbali na uovu dhidi ya Watanzania wanyonge wasiokuwa na mtetezi halisi.

Imagine huo mtaa utakaoongozwa kwa lazima na huyu mwenyekiti kwa miaka mitano wanapakusemea au kujitetea?
Hii ni mbaya mno,unawapora watu haki yao ya kuchagua kwa Uhuru wagombea wawapendao na unajisifu kupendwa?
 
Haitofautiani sana na ile kesi iliyowahi kumkabili Sambaya lakini kwa kuwa ni mwenzetu atanedelea na shughuki zake za uenyekiti wa mtaa kama kawaida haina shida sana
 
Back
Top Bottom