Mbowe amekuwa mwenyekiti toka lini yakhe ukilinganisha na hao CCM-B wako?
Mkuu unataka uchaguzi gani tena wakati Mbowe ni mwenyekiti wa maisha wa Chadema na Dr Slaa ni katibu mkuu wa maisha.
aaah, kumbe matokeo tayari, basi tusichezee ruzuku inayotokana na kodi za wananchi, wafalme wale wale waendelee tuuchaguzi utafanyika lakini kuna uwezekano mkubwa msiowapenda magamba wakarudi hao hao, sijui itakuwaje, ebu angalia na ile picha pale juu, ndo maana ukiwa mwana ccm lazima akili ziwe pungufu kumbe mnafanyiwa matambiko
halafu mtu utakaaje kwenye madaraka tangia 2003 hadi leo na unashindwa kukiwezesha chama kushika dola bado unajiona kuwa unafaa kwenye nafasi hiyo. si waachie wengine wanaoweza. tatizo la chadema ni uchaga, udini na ukanda
kwani huo uchaguzi ulikuwa uwe wa mwenyekiti na katibu peke yao??? au povu tu. kinachotakiwa ni uchaguzi hata kama watarudi wale wale lakini wawe wamechaguliwa kisheriaNa hampendi kweli kweli kusikia Mbowe na Slaa siyo!?
Kwa hiyo uchaguzi mzuri kwako ni ule utakaohakikisha SI MBOWE WALA SLAA ANAYEKUWA KWENYE NAFASI YOYOTE siyo?!
Wana-CHADEMA ndiyo watakaoamua hatima ya chama chao, si nyie wakuja.
mueleze kwa mujibu wa hiyo katiba ni lini utafanyika. hiyo ndiyo busara inayofaa hapa kuliko kutukana
Unalalamikia tetesi? Uchaguzi hufanywa kwa mujibu wa katiba na sio tetesi you dope
Mkuu ulipewa jukumu la kuwa mamluki ndani ya uchaguzi wetu!! subirini mnyolewe!!
Kwani hayo mnayoyaongea ni mageni kwa CHADEMA!Mh. Mbowe amemuoa mtoto wa mwenye CHADEMA. Kwa hali ya namna hiyo unaweza kuona kabisa kwamba CHADEMA ni mali ya familia na hakuna wa kuweza kumtoa Mh. Mbowe kwenye nafasi yake ndani ya CHADEMA.
hey great sinker, why matusi badala ya hoja??
Unalalamikia tetesi? Uchaguzi hufanywa kwa mujibu wa katiba na sio tetesi you dope
Ni nani aliwaambia hayo? Tupatie ToR za umbea wako huu
halafu mtu utakaaje kwenye madaraka tangia 2003 hadi leo na unashindwa kukiwezesha chama kushika dola bado unajiona kuwa unafaa kwenye nafasi hiyo. si waachie wengine wanaoweza. tatizo la chadema ni uchaga, udini na ukanda
mnachojua nyie ni matusi tu sio kingine.look at you!!!!!!!! mbona mleta mada ameuliza swali zuri tu kwann usitumie ustaarabu kumjibu, kwani utapungukiwa nn??
Unalalamikia tetesi? Uchaguzi hufanywa kwa mujibu wa katiba na sio tetesi you dope
mkuu soma taarifa hii ya hapa chini. CHADEMA mbona mnaaibika sana. yaani unajifanya hujui kuwa taarifa za uchaguzi ziliwekwa hadharani kupitia waandishi wa habari
Wednesday, January 30, 2013
Chadema yatangaza mchakato uchaguzi
NA MUHIBU SAID
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza mchakato wa uchaguzi wa ndani ya chama hicho kwa ngazi zote; kuanzia msingi hadi taifa pamoja na mabaraza yake yote, utakaofanyika sambamba na operesheni ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) katika kanda 10 nchini kote Aprili hadi Desemba, mwaka huu.
mnachojua nyie ni matusi tu sio kingine.look at you!!!!!!!! mbona mleta mada ameuliza swali zuri tu kwann usitumie ustaarabu kumjibu, kwani utapungukiwa nn??