GE2025 Uchaguzi mkuu wa tanzania hufanyika kila baada ya miaka mi5 kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa mujibu wa reforms anazotaka mtu au chama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,828
Ni vizuri wale ambao wanahadaa wananchi na kuwapotosha kwa makusudi kabisa, eti ya kwamba hapatakua n uchaguzi mkuu baadae mwaka huu mwezi wa wafahamu na kuelewa kwamba huo ni uongo wa wazi na upotoshaji wa kiwango cha chini sana.
Sio lazima pawepo na reforms ili uchaguzi mkuu ufanyike, bali kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi lazima uchaguzi mkuu ufanyike kila baada ya miaka mi5.

Uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi Tanazania, utafanyika Tanazania October 29,2025, katika mazingira ya usawa na salama kwa wote watakao shiriki.

Chini ya serikali sikivu ya CCM, uchaguzi mkuu wa Tanazania utaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, na sio kwa mujibu wa reforms ambazo watu fulani wachache wanataka au chama fulani cha siasa kinavyotaka.

Hilo kamwe haitakubalika na halitawezekana hususani kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu huo wa kihistoria Tanzania.

Usikose kutumia haki yako ya msingi kuamua mustakabali wa taifa lako kwa kujitokeza kupiga kura Oct 29,2025.
Asante sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Kwahiyo ujumbe hasa ni upi?
 
Unaweweseka sana leo gentleman. Switch mnakata sangapi?
 
Mlioelewa mfanye kama mnajikuna tuwaone mimi na Tlatlah
jipapase tu kwenye upara unaweza ongeza uelewa na ufahamu wako dhidi ya hoja mahususi mezani 🐒
 
Kinyeo cha CCM utananuka mavi hapo rumumba sio kwa buku saba ofisi za JF.
 
Ni vizuri wale ambao wanahadaa wananchi na kuwapotosha kwa makusudi kabisa, eti ya kwamba hapatakua n uchaguzi mkuu baadae mwaka huu mwezi wa wafahamu na kuelewa kwamba huo ni uongo wa wazi na upotoshaji wa kiwango cha chini sana.
Sio lazima pawepo na reforms ili uchaguzi mkuu ufanyike, bali kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi lazima uchaguzi mkuu ufanyike kila baada ya miaka mi5.

Uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi Tanazania, utafanyika Tanazania October 29,2025, katika mazingira ya usawa na salama kwa wote watakao shiriki.

Chini ya serikali sikivu ya CCM, uchaguzi mkuu wa Tanazania utaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, na sio kwa mujibu wa reforms ambazo watu fulani wachache wanataka au chama fulani cha siasa kinavyotaka.

Hilo kamwe haitakubalika na halitawezekana hususani kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu huo wa kihistoria Tanzania.

Usikose kutumia haki yako ya msingi kuamua mustakabali wa taifa lako kwa kujitokeza kupiga kura Oct 29,2025.
Asante sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Screenshot_20250816-101833~2.png
 
Nyuzi zingine ni za kujizalilisha tu
 
Nakuta kukupa pongezi zangu wewe mtu usiyefaa. Mafuta pongezi nilizokupa kwa kushiriki kura za maoni za ubunge.
 
Back
Top Bottom