Ni vizuri wale ambao wanahadaa wananchi na kuwapotosha kwa makusudi kabisa, eti ya kwamba hapatakua n uchaguzi mkuu baadae mwaka huu mwezi wa wafahamu na kuelewa kwamba huo ni uongo wa wazi na upotoshaji wa kiwango cha chini sana.
Sio lazima pawepo na reforms ili uchaguzi mkuu ufanyike, bali kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi lazima uchaguzi mkuu ufanyike kila baada ya miaka mi5.
Uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi Tanazania, utafanyika Tanazania October 29,2025, katika mazingira ya usawa na salama kwa wote watakao shiriki.
Chini ya serikali sikivu ya CCM, uchaguzi mkuu wa Tanazania utaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, na sio kwa mujibu wa reforms ambazo watu fulani wachache wanataka au chama fulani cha siasa kinavyotaka.
Hilo kamwe haitakubalika na halitawezekana hususani kipindi hiki tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu huo wa kihistoria Tanzania.
Usikose kutumia haki yako ya msingi kuamua mustakabali wa taifa lako kwa kujitokeza kupiga kura Oct 29,2025.
Asante sana 🐒
Mungu Ibariki Tanzania.