Huyu Mgaya kuna kipindi alikaza mpaka JK akaja na msemo wa mbayuwayu na akili za kuambiwa .....????
Utamtoa ukiwa Jamii forums au kwa kupiga kura
Nguvu ya kura itaamua kama Mgaya must go or Stay in
We jamaa kila kitu na wewe kinakuhusu duuFao lakujitoa jamani ni muhimu sana................mie nadai 28,000,000/= na nina miaka 36 muda huu....na mkataba wangu umebakiza miaka 2 tu sasa niake mpaka baada ya miaka 17 ndo nipewe hiyo fedha jamani sijui kama nitakuwepo mwenzenu
Fao lakujitoa jamani ni muhimu sana................mie nadai 28,000,000/= na nina miaka 36 muda huu....na mkataba wangu umebakiza miaka 2 tu sasa niake mpaka baada ya miaka 17 ndo nipewe hiyo fedha jamani sijui kama nitakuwepo mwenzenu
Kama unajua maana kura za kidemokrasia usipopiga utaamuliwa na waliopiga.
Maamuzi watakayofanya leo yatatugarimu sote