Uchaguzi leo TUCTA: Ni wakati wa kukata mzizi huu dhaifu!

kwanza mfumo wa uchaguz wa huyu jamaa TUCTA hauelewek,pia kwa umbumbu wa wanaowakilisha huyu kada lzma apite make njaa wabongo imezd!
 
kwanza mfumo wa uchaguz wa huyu jamaa TUCTA hauelewek,pia kwa umbumbu wa wanaowakilisha huyu kada lzma apite make njaa wabongo imezd!

Then itabidi tukubaliane ya kuwa asimilia kubwa kati yetu ni hamnazo.

Na tusilaumu tunapoona bunge bunge linapitisha vipengele vya ajira dereva awe atleast form four lakini mbunge anahtaji critical financial decisions kwa ajili budget eti awe la saba.

Huu wehu
 
Very unfortunate wakuu wa wilaya,wabunge,mawaziri nk wao wakiachishwa kazi wanapewa chao

Hii nchi hii,
 
Hongereni sana wawakilishi wa vyama vya wafanyakazi kwa kuwaondoa viongozi wote wa TUCTA tunataka chama imara
 
Hongereni sana wawakilishi wa vyama vya wafanyakazi kwa kuwaondoa viongozi wote wa TUCTA tunataka chama imara

Safu mpya ni kina nani?
Mind you...Viongozi wote wa TUCTA huwa wanakuwa vetted pale Oysterbay...kabla hata ya kugombea
 
Safu mpya ni kina nani?
Mind you...Viongozi wote wa TUCTA huwa wanakuwa vetted pale Oysterbay...kabla hata ya kugombea

Labda ispokuwa this time, mambo yalikuwa magumu sana jana.
Angina nifuatilie majina lakini vigogo wote out
 
Labda ispokuwa this time, mambo yalikuwa magumu sana jana.
Angina nifuatilie majina lakini vigogo wote out

Ndio nakupa taarifa sasa...wote waliopita kwa ajili ya kuchaguliwa ..tayari wamekuwa vetted pale karibu na St Peters Oysterbay
 
Nahamia Rwanda nimeshindwa kukaa hapa, kule kuna green pastures General Kagame hataki watu wake wapate taabu kabisa
 
Back
Top Bottom